how is experience mkuu? mtarajiwa wangu nimemzidi miaka 18Kama wote ni watu wazima hakuna shida. Mimi nishaoa lakini tangu sijaoa nikishajiwekea lengo kwamba siwezi kuoa mwanamke agemate wangu. Nitaoa mwanamke nikiemzidi miaka 8-12. Mke wangu nimemzidi miaka 10
Mmekutana mkiwa na miaka mingapi kila mmoja? Mimi nilikuatana na wife akiwa na miaka 19. Lengo langu lilikua hao wa late 10's kwa sababu katika umri huo bado mwanamke yupo fresh. Purity, innocence, no emotional baggage, she is not comparing you with her exes e.t.c.how is experience mkuu? mtarajiwa wangu nimemzidi miaka 18
Watu ni waongo sana.Kwenye ukristo Maria alikuw na unri gani alipochumbiwa na Yosefu.
Shida hata dini yenu hamjui na hamtaki kusoma.
Kwenye vitabu vyenu vya biblia (Aprocrypha of James) vinasema MARIA ALIKUWA NA MIAKA 12 NA YOSEFU ALIKUWA NA MIAKA 90!! (GAP LA MIAKA 78)
Google hata kidogo basi ndugu.
Means weee ataekuja unapiga tu awee kibibi awe undereighteenπππ!
Hapo tatizo ni kama mwanamke ni mkubwa kiumri kuliko mume, hilo halikubaliki.unakuta bibi wa miaka 60 anafungishwa ndoa na kijana wa miaka 20. Au baba wa miaka 59 anafunga ndoa na kasichana ka miaka 19. Hii ni ndoa kweli? Hakuna laana hapa?
Hapana...Means weee ataekuja unapiga tu awee kibibi awe undereighteenπππ!
Mungu sio wewe, na wewe sio Mungu.Ukisoma makala na hadithi mbalimbali kuhusu ndoa zinaonesha kuwa miaka ya nyuma viongozi wa dini ya kikristo walikuwa hawafungishi ndoa endapo wachumba wanatofautiana zaidi ya miaka 10. Walikuwa wanagoma.
Hivi sasa unakuta bibi wa miaka 60 anafungishwa ndoa na kijana wa miaka 20. Au baba wa miaka 59 anafunga ndoa na kasichana ka miaka 19. Hii ni ndoa kweli? Hakuna laana hapa?
Yaani mtoto wa miaka 19 au 20 akachezee uchi wa mtu mwenye miaka 59 au 60??
Huu siyo uchafu mbele za Mungu? Siyo laana hii?
Hapa chini ni picha mbaba mwenye miaka 61 anafunga ndoa na bonti wa miaka 20. Aibu naona mimi.
View attachment 3516942
View attachment 3516943
Lkn ni aibu mtu wa miaka 70 kumuonesha maungo yako mtoto wa miaka 19.Mungu sio wewe, na wewe sio Mungu.
Mungu hajakataza ndoa za watu wazima wanaotofuatiana umri kwa miaka mingi.
π€£ Wabongo bhana π€£Ila sisi wajuvu,wadadishi na GT tunajua.
Aisee.Kijana punguza makasiriko nyapu ya mwanamke ambae amesha barehe hata ije mboo yenye miaka 600 itapita vzr na binti hafi ma ma e
Kwanza unaanza kuchapiwa siku ya kwanza ya ndoa yako na kuanza kutumia madawa ya nguvu za kiumeVipi haka katoto kenye miaka 19 katakapofikisha miaka 39 na mumewe mwenye 50 sasa, atakapokuwa na 80+, hapo mume si atakufa kwa stress za kuchapiwa?
Kwa mtume ni kweli ila kwa Joseph huo ni uzushiKwanini isiwewezekane, hata mimi najua hizo taarifa zipo kwenye historia kuwa Joseph alikuwa na miaka 90 na Maria 12, lakini hapohapo mnaamini mtume alioa mtoto wa miaka 9 bila ya ushahidi wowote zaidi ya maandiko ya mitandaoni
GT ni nini?mkuu,Biblia hii unayoisoma wewe ilihaririwa na kuna mistari,vifungu na sura ambayo viliondolewa ili kuficha mambo fulani fulani na uhtaji wa jamii. Kuna vitabu vingi vimeondolewa katika Biblia ili kuficha mambo mbalimbali. Vitabu hivyo vipo vingi mfano: The Book Of Enoch,the Book Of Giant nk, Biblia ina dark side yake ambapo waumini hamtakiwi kuijua,ila sisi wajuvu,wadadishi na GT tunajua.
Kama wewe unaona aibu, ni sawa kwako. Ukifikisha umri huo usifanye ngono na uliowazidi umri. Hata kununua mitumba au matunda yaliyowekwa chini, kuna watu wanaona aibu na wengine hawaoni aibu. Maisha yanaendelea.Lkn ni aibu mtu wa miaka 70 kumuonesha maungo yako mtoto wa miaka 19.
Great ThinkersGT ni nini?
Miaka ile urefu wa maisha ya binadamu yalikuwa mafupi sanaKwa mtume ni kweli ila kwa Joseph huo ni uzushi
Kwa hiyo hata mimi nikija utakataa!Hahaaaa kwa utu uzima wangu huu bado siwezi olewa na mtu mwenye miaka 60,no way
Sembuse mwenye 20???
Hivi ava wazazi huyu binti???au ndo ukute aneambiwa hasikii? Au pesa?
Naana kuna wazazi wakioona pesa hawajali
ππππ