Utofauti huu wa umri kati ya wanandoa haukubaliki. Viongozi wa dini zingatieni maadili

Wanasema mtoto kautaka
 
Sio miaka 9 ni 6 mzee
 
Hivi hizi formulars huwa mnazotoa wapi vijana? Kwa mwamposa? Reasearch, vijiweni? kwa mama? Au kwa mwegulue? Nani alisema ukiwa na miaka 70 ukaoa bint wa miaka 16 ndio haiingii?

Baba yangu alimuoa mama yangu mzazi yeye akiwa na 51 na mama ana 20 na wakapata watoto 7 leo hii mzee wangu ana miaka 96 lakini mama anaonekana mzee, dingi linaweza kufanya mambo upya, mimi nipo kwnye 50's za kati. Maisha ya binadamu sio kama arithmetic progression na hayana formula na hamna mtu anafanana na mwingine genetically.

Kifupi fanya kinachokupa maisha na furaha usipangie wengine wafanye nini, tunza imani yako ya kukariri achia wengine zao
 
Mi nakuelewa sana mkuu, nina ideology kama zako, nilipata binti mzuri sana nikiwa na miaka 28 yeye 19, kuna mambo yalitokea tukaachana. Sasa sijapata mke wala mchumba baada ya yule, niko very selective, sasa hivi umri wangu ni Mid 30's nimepata binti ndio kwanza ana 18, sijawa serious nae, ila yeye yupo very committed kwangu. Nina wasiwasi sababu ya Age gap kubwa kama ita work ama la. My gut tells me niendelee nae tu, maana sina option na good women are difficult to come by.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…