Nina mkono kila siku huwa ninautunia kula chakula, ninahitaji kufanya utafiti gani tena wa kujua kuwa huwa ninautunia mkono kula chakula? Irrespective of the type of mind, the mind cannot be and will never become a storage facility. Serikali unaijua? Ulishawahi kuiona sura yake au mumbo lake lilivyo?Je umesema haya kwa mujibu wa tafiti au kwa mujibu wa uelewa wako. Je Subconscious mind ni nini? Na inafanya kazi gani???
Akili ni matokeo.Me kwa upande wangu naona akili ni Kama battery ya ubongo. Yani Kila kiumbe kina ubongo. Ila uwezo wa kutumia ule ubongo ndio tunaita akili, hii inatokana/inaathiriwa zaidi na mazingira tunayoishi na tunayokutananayo.
Kwa mfano ngombe Ana ubongo, nyani, Simba, chui, mbuzi na viumbe vyote vina ubongo ..lakini namna wanavyotumia bongo zao kufikiri ndio tunaita akili lakini itaathiriwa na mazingira yao Kama wao. Na kwa binadamu pia ..hakuna asiye na ubongo Ila kwa Nini Kuna watu wanaweza kufanya mambo makubwa ilihali wote tuna ubongo? Hapo ndio uwezo wa akili unapoibuka, Yani akili ni Kama vile computer zilivyo na version mbali mbali window xp,7,8,8.1pro, 10 na Sasa 11 ndivyo akili ilivyo ..Yani uwezo unatofautiana. Jinsi unavyoweza kutumia ubongo wako ndio tunaita akili.
NB: Viumbe vyote vina ubongo lakini siyo Kila kiumbe chenye ubongo kina akili.
Kwa hivyo "storage facility" ni lazima iwe (physical) organ? Kwa nini? Btw, kwa nini kuhitajike physical organ kuhifadhi non-physical things (data, info., kumbukumbu)?Mind is not a storage facility for it is not a physical organ but rather, a logical processing tool. Hakuna storage yoyote inayoweza kufanyika kwenye mind. Hicho kitu hakipo leo na hata milele.
Kiwa mfano, mtu anaweza akawa na Ubongo usio na akili, kwa mfano mtu kichaa, lakini mtu hawezi kuwa na akili bila ya kuwa na ubongo. Leo umeniangusha sana kwenye post yako hii
You can not create something from nothingKwa hivyo "storage facility" ni lazima iwe (physical) organ? Kwa nini? Btw, kwa nini kuhitajike physical organ kuhifadhi non-physical things (data, info., kumbukumbu)?
NB: Mimi sio mtaalamu wa hizi mambo kabisa. Nataka kujifunza tu na nipo tayari kufunzwa. Asanteni.
Nawewe mbona unataka kupotosha? Unasema vichaa hawana akili?Mind is not a storage facility for it is not a physical organ but rather, a logical processing tool. Hakuna storage yoyote inayoweza kufanyika kwenye mind. Hicho kitu hakipo leo na hata milele.
Kiwa mfano, mtu anaweza akawa na Ubongo usio na akili, kwa mfano mtu kichaa, lakini mtu hawezi kuwa na akili bila ya kuwa na ubongo. Leo umeniangusha sana kwenye post yako hii
Sub counscious mind is controlled by the celebellum and the stem of brain, subconscious mind means set of brain activities that control your body semi counsciously (yaani yale mambo ambayo yapo kati kati ya hiari na yasiyo ya hiari) mfano kuua bila kukusudia chukulia umetoka pilini kukata kuni, umefika nyumbani kwako na panga mkononi ghafla ukamkuta mkeo kabananishwa kwenye kona analiwa uroda na njemba nyingine do you know what will happen?Yes, agreed. Is this the reason (subconscious) mind cannot "store" memory as postulated by Da'Vinci ?
Okay, nakuelewa unachokisema hapa. Ingawa nashindwa kuona inavyojibu swali nililouliza.Sub counscious mind is controlled by the celebellum and the stem of brain, subconscious mind means set of brain activities that control your body semi counsciously (yaani yale mambo ambayo yapo kati kati ya hiari na yasiyo ya hiari) mfano kuua bila kukusudia chukulia umetoka pilini kukata kuni, umefika nyumbani kwako na panga mkononi ghafla ukamkuta mkeo kabananishwa kwenye kona analiwa uroda na njemba nyingine do you know what will happen?
Thank you. Sasa ngoja nitulie nisome.
Mchango wako mkuu mbona unaguna?Mmhhh...
Akili (Mind) ni sehemu iliyopo ndani ya Soul(Roho) ni sehemu ambayo haionekani kwa macho ya nyama. But it's presentNimefurahi kuona umepata muda wa kufuatilia kwa kina na kutafakari kuwa akili ni nini? Zinakaa wapi? Na zinapatikanaje?
Binafsi hua naamini na kugusia kila upande..Kisayansi,kiimani na Kisaikolojiaunapotaka kujifunza kubali kuwa huru, pima hoja kwa kutokuhusisha imani.
Kwa mujibu wa Wanasaikolojia wanasema akili inapatika ndani ya roho na roho ipo ndani ya Ubongo!Haya tuanze na title ya uzi wako,
"Utofauti kati ya kumbukumbu zinazohifadhiwa kwenye ubongo(Brain) na kumbukumbu zinazohifadhiwa na akili (Mind"
Katika title umeandika kuwa kuna kumbu kumbu zinazo hifadhiwa kwenye ubongo na kumbu kumbu zinazohifadhiwa kwenye akili (mind), hapa umemaanisha kuwa akili zina exist nje ya mwili wa binadamu yaani akili sio sehemu ya ubongo,
Ndio ni vitu viwili tofauti.kwamba akili na ubongo ni vitu viwili tofauti (duality),
Ndio...Huu mtazamo wako ndio ule ule aliokuwa nao bwana RENE DISCARTE karne ya 16 kama sikosei, ni baada ya wanasayansi kuanza kujaribu kuelezea akili ni nini?
Kwa mfano:Nitajie kumbu kymbu zinazokaa kwenye mind according to your theory nikupe proof kuwa akili inapatikana kwenye ubongo
Nitajie mkuu
Does appear in the BrainMleta mada yeye theory yake kwa kifupi ipo hivi, mwili wa binadamu ni sawa na hardware (kompyuta isiyo na window) ukiufaunyia installation ya window (akili/roho) ndio unakuwa mtu mwenye akili
Anamaanisha akili ziko nje ya ubongo
Mate.. tunakoelekea itakua inafahamika upongo umegawanyika sehemu mbili zaidi ambazo ni Left and Right brain. Theory ya part tatu za ubongo inawezekana imepitwa na wakati..Akili sio kama betri , ila ubongo ndio unafanya kazi kwa mfumo wa umeme,
Utofauti kati ya ubongo wa mbuzi na binadamu ni kwamba binadamu ana ubongo mkubwa kuliko hata wa tembo, pia ubongo wake wa mbele ni mkubwa huu ubongo ndio unadeal na logical decision, ila ubongo wa mbele wa mbuzi ni mdogo sana
Sijui unanipata mkuu?
Kuhusu nani kafanya mambo makubwa nani hajafanya hiyo ni mada nyingine unazungumzia habari za memmory zinavyoweza kumfanya binadamu ayabadili mazingira
Kabisa nadhani badala ya kunishindilia maswali ni vyema mtu atoe kile anachofahamu kuhusu mada hii wote tujifunze zaidiPlan Paris , hapa hajajibu swali lako? Tuelimishe kabla hatujameza hii theory ya Da'Vinci . Else tuelezee alternative theory yako ili tujifunze kwa mapana. Asante ni kwa maarifa.