Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa natamani kujua how Quantum physics is concerned!Ni kijana wa Quantum Physics anayejihisi ana maarifa sana.
Simdharau ila hajafahamu kwamba huwa hatuendi hivyo
Ngoja nikusaidie kuhusu hili tamko Akili kwa uchache ili siku nyingine usikosee. Tamko Akili kiasili kwa lugha yetu ya Kiswahili limetoholewa toka katika lugha ya Kiarabu. Kwa waarabu tamko hili lilikuwa linatumika kumaanisha kamba anayofungiwa mnyama(kama vile mbuzi) ili asitoke nje ya eneo alilopo.Akili (Mind) ni sehemu iliyopo ndani ya Soul(Roho) ni sehemu ambayo haionekani kwa macho ya nyama. But it's present
Jibu la akili ni nini,nalijua ila naona mtoa maada bado hajaijua akili ni nini,ndiyo maana mada yake inakuwa na upotoshaji mwingi.Hivi bado haujapata jibu la akili ni nini? Sio mara ya kwanza naona unauliza.
Nasubiri kusoma comments zenu.
Kwenye kutokukujadili mtoa mada ni kuihujumu elimu na adabu zake.Mnanisimitisha kuona kwamba mmeacha kujadili mada mnamjadili mtoa mada. This isn't a Personal post, ni post ya kuelimishana na pale mtu anapokua ana mawazo mbadala dhidi ya yale ya mtoa mada basi ruhusa kuyachangia ili sote tujifunze... I'm not that Smart panty guy.
Napenda tu kushea mawazo yangu juu ya vile navyoelewa na kufikiria vitu.
Hijanijibu bado na huwezi kunijibu.It's simple akili ipo(Mind)Ipo ndani ya Soul. Soul ipo ndani ya Ubongo. It's a software part in the brain that can't be seen...But you can feel and see its Function/Role
Ni kama vile Nafsi/Spirit ipo ndani ya Moyo ila huwezi kuiona
Nadhani nimekujibu
Couson i didn't see this aisee.Mind is not a storage facility for it is not a physical organ but rather, a logical processing tool. Hakuna storage yoyote inayoweza kufanyika kwenye mind. Hicho kitu hakipo leo na hata milele.
Kiwa mfano, mtu anaweza akawa na Ubongo usio na akili, kwa mfano mtu kichaa, lakini mtu hawezi kuwa na akili bila ya kuwa na ubongo. Leo umeniangusha sana kwenye post yako hii
Watabisha pia kua .Hivi bado haujapata jibu la akili ni nini? Sio mara ya kwanza naona unauliza.
Nasubiri kusoma comments zenu.
Swali zuri sana, naimani nitaifungua akili yakoNilikuwa natamani kujua how Quantum physics is concerned!
😝😝😝😝Watabisha pia kua .
Ukiwa unaangalia kawaida huwezi kuliona pua mpaka utulie uangalie kwa umakini ndio utaliona. Kwanini? Macho yanaliona pua ila ubongo wako unalipuuza (ignoring) pua lako ili lisikuzibe kuona mbele yako.. hii inasaidia watu wenye mapua makubwa tuone vizuri, Kwa umbali uliopo Kati ya pua na Macho na pua lilivyokaa basi tusingewez kuona mbele.
So akili hupuuza tu kuliona pua lako na sio kwamba halionekani na macho.
Kitu hiki kinafanyika tena Kwenye Miwani na Darubini
Ukivaa miwani ule mstari unaotenganisha kioo kimoja na kingine huwezi kuuona unakua kama haupo ila upo bali ubongo wako una Ignore hiyo mistari ili uone vizuri sio kuona vipande vipande.
Bado nachunguza kwanini jicho langu la kushoto ndio liko active sana kuliko la kulia!
[Mimi nikivaa miwani natumia jicho la kushoto kuona ]
Wewe jamaa nilivyosoma comment zako nikajua unauelewa mpana kumbe nawewe ni mweupe kiasi hiki? Akili zinakaa kwenye moyo?Mimi nasema akili inapatikana katika moyo (Yaani mahali ilipo akili ni kwenye MOYO) ila moyo na ubongo vinashirikiana katika upangaji mambo katika sehemu zake na kumbukumbu pia.
Daah mate unataka tu ubishi.... Nadhani ungeanza kusoma mada yangu ya mental illusion projection ungeelewa huo mfano😝😝😝😝
So Ubongo wetu una ignore roho na akili vinakuwa kama havipo ila kiuhalisia vipo?
If the answer is yes prove by showing us hiyo roho na akili viko wapi ndani ya mwili
Hiyo ndio definition ya quantum physics? Asee mnanitisha mkuu kama hujui kitu uwe unauliza uxuelimishwe au uwe unajisomea usiwe una assumeSwali zuri sana, naimani nitaifungua akili yako
I'll define it for you kwa opinion zangu, i say that quantum physics is the study of everything that has ever been in existence or is yet to be or lies in our extreme imaginations.
Nimekujibu braza?
Kwenye moyo hakuna nafsi mkuu kuna damuKwenye moyo kunakaa nafsi tu!!!
Hujawahi kuona mtu anakuambia tumia akili huku anapoint kichwani kwake?
Si kweli.Kwenye moyo kunakaa nafsi tu!!!
Yeah, umenijibu vema..Swali zuri sana, naimani nitaifungua akili yako
I'll define it for you kwa opinion zangu, i say that quantum physics is the study of everything that has ever been in existence or is yet to be or lies in our extreme imaginations.
Nimekujibu braza?
Mkuu,Hiyo ndio definition ya quantum physics? Asee mnanitisha mkuu kama hujui kitu uwe unauliza uxuelimishwe au uwe unajisomea usiwe una assume