Sidhani kama itasumbua kwa sababu ukistaafu haupeleki vyeti vya taaluma, nahisi utapeleka barua ya ajira + salary + na hiyo Nida. Sasa hivyo vyote vikifanana majina hakuna shida, ila sina uzoefuMf mie
NSSF,kazini, NIDA, DL,Bank kuna majina ma3
Vyeti vya shule kuna ma2
Haitonisumbua lolote huko mbele?
Nenda kaape kwa mwanasheria ni jambo dogo sana hiloHabari wapendwa,
Nina shida katika ya majina kitambulisho cha (NIDA) na (NSSF) majina sawa ila katika barua yangu ya ukomo wa (ajira) na (certificate) majina tofauti na ya hivyo vitambulisho cha NIDA na NSSF.
Nimeongea na mwajiri wangu anisaidie kubalisha kwenye barua na certificate anasema haiwezekani.
NIDA, mahakaman, aridhi, gazeti nimeshaenda lakini bado nahangaika.
Nifanyeje ili niweze kupata mafao yangu?
kubadili jina Nida Sio jambo la mchezo kama unavyosema briefly mimi ni mhanga wa kubadili jina NidaNenda kaape kwa mwanasheria ni jambo dogo sana hilo
USSR! Sasa aku PM kwa lipi wewe mwongoze huku ili na wengine wapate faida, ila huko unakutaka naona umeingia kwenye ukishoka tamaa mbaya mno dadangu USSR!Nenda stationary wata scan hizo barua na certificate watabadili majina tu yaendane na NIDA na NSSF mkuu ukikwama ni pm nikusadie
USSR
Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
kukusumbua sababu ZAMANI majina ya shule yalikuwa sio lazima matatu ila Cheti Cha kuzaliwa na ivyo ulivyoorodhesha ndio majina matatuMf mie
NSSF,kazini, NIDA, DL,Bank kuna majina ma3
Vyeti vya shule kuna ma2
Haitonisumbua lolote huko mbele?
Itasumbua sana hata herufi Moja tu inatosha kukuzungusha mjini kubadili
USSR
Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
Pole mzee! Majina mangapi yametofautiana?
Kumbe wenye matatizo ya majina kutofautiana inabidi kufanya mchakato haraka sana wa kuhalalisha majina hayo
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobil
Jina moja tu la kwanza bhasiPole mzee! Majina mangapi yametofautiana?
Kumbe wenye matatizo ya majina kutofautiana inabidi kufanya mchakato haraka sana wa kuhalalisha majina hayo
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Utabadili nyaraka zipi ikiwa zamani vyeti vilikuwa vinatolewa kwa majina mawili, na kwenye ajira na NIDA ukalazimishwa kuongeza jina la tatu?Itasumbua sana hata herufi Moja tu inatosha kukuzungusha mjini kubadili
USSR
Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
Hapo sawa umeeleweka. Kuna member huko juu kadanganywa kwamba hadi majina ya vyeti vya taaluma lazima yaendane na barua ya ajira + NIDA.Kula kiapo mahakamani kuyakubali kuwa yote hayo ni majina yako.
Lakini hakikisha majina yalioko benki yapo sawa na kiapo kimojawapo.
Kwa faida ya wengine, ili upate mafao yako vifuatavyo lazima vipelekwe kwenye mfuko wa mafao;-
1. Barua ya ajira
2. Barua ya kuthibitishwa kazini
3. Bank statement
4. Salary slip
5. Kitambulisho cha NIDA/Leseni ya udereva/mpiga kura
6. Barua ya cheo cha mwisho
7. Picha za PPS nadhani sita hivi
Mf mie
NSSF,kazini, NIDA, DL,Bank kuna majina ma3
Vyeti vya shule kuna ma2
Haitonisumbua lolote huko mbele?
Pamoja na uzembe wa kuandija majina kwa sasa, lakini miaka ya 2000 kushuka chini, wengi wao vyeti vya taaluma vina majina mawili kuanzia darasa la saba, kidato cha nne, mpaka chuo. Kwenye ajira wakambiwa lazima waongeze jina la tatu ambalo limo ndani ya cheti cha kuzaliwa. Na NIDA hivyo hivyo.Hili ni janga la nchi. Tanzania watu wanarahisisha sana mambo ka sababu ya uzembe. Watu hawako makini kuandika majina na wanajiandikia wanavyotaka. Hata tofauti ya herufi moja ni kosa kubwa na kisheria ni jina tofauti. Ni vizuri wakasumbuliwa na kukwama kabisa kwani wengi ni wabishi. Watu wanafanya uzembe hata kuandika maneno marahisi kabisa lakini ukimpa alert anakutukuna. Na hapa sizungumzii kukosea kwa bahati mbaya ambako mtu yoyote anaweza kufanya hivyo. Naongelea uzembe wa kutojali.
Ina maana ajira haukuanzia kwa mwajiri uliyemaliza naye?Mfuko wa jamii na nida ni sawa jina ila jina la kwenye ajira ndio tofauti
Something is here to learnHabari wapendwa,
Nina shida katika ya majina kitambulisho cha (NIDA) na (NSSF) majina sawa ila katika barua yangu ya ukomo wa (ajira) na (certificate) majina tofauti na ya hivyo vitambulisho cha NIDA na NSSF.
Nimeongea na mwajiri wangu anisaidie kubalisha kwenye barua na certificate anasema haiwezekani.
NIDA, mahakaman, aridhi, gazeti nimeshaenda lakini bado nahangaika.
Nifanyeje ili niweze kupata mafao yangu?
Kubadilisha jina sio kama kubadilisha nguo.Mhh haaiwezekani how?? Unless kama mwajiri wako alikuwa ni serikali. Ila private ni issue ndogo sana hiyo, huyo HR aache kukubania
gazeti nimepata issue ni hapo nida wameniambia niandike tena barua kwenda kwa mkurugezi wa nida kuomba ridhaa ya kubadilisha hilo jinaNiliuliza NIDA kuhusu kubadili majina nikaambiwa jambo mojawapo ni kutangaza kwenye gazeti la serikali, vipi ulipitia huo mchakato au ni shortcut?