uhaale
JF-Expert Member
- Sep 25, 2012
- 303
- 153
Ulimaliza vipi mkuu? tupe elimu kidogo.Ukienda kwa mfano NSSF lazima wa update taarifa hasa Jina liendane na nida na watalazimisha majina yaliyomo nida ndiyo yatumike na kama nida wamekosea Jina hapo ndio shida itakapoanzia. Mi nimepatwa na Hilo lakini namshukuru Mungu nimemalizana nao