Utofauti wa majina yangu kwenye vitambulisho umepelekea nishindwe kupata mafao yangu, nifanyeje?

Kubadilisha jina sio kama kubadilisha nguo.
Unaijua lkn End of contract letter & certificate of service??

Kwa private sectors inakuwaga ni kitendo cha kubadili jina. Sasa kina ugumu gani?
Unless asiwe huko ndio iwe ngumu
 
Asante
Anza mchakato wa kukubali hayo majina mengine kama yako:-
  • Nenda ofisi ya ardhi wakupatie abc​
  • Nenda ofisi ya wakili (advocate) kuna nyaraka watakuandalia ya kuhusu hayo majina yako mengine; watapeleka kwa ajili ya kuapa​
  • Rudisha hiyo nyaraka ardhi ikiwa na picha zako, watagonga mihuri na utalipia kiasi kidogo​
  • Utapewa nyaraka za kutambua hayo majina​
  • Ambatanisha kwenye madai yako ya mafao​
  • Baada ya hapo, huyo anayekuambia hustaili kulipwa, mtaje jina hapa jukwaani; kwa sababu kuna wengine wapo kazini hawajui kazi walizosomea.​
a

Yah wengi wanasema hivyo ila naona
Unaijua lkn End of contract letter & certificate of service??

Kwa private sectors inakuwaga ni kitendo cha kubadili jina. Sasa kina ugumu gani?
Unless asiwe huko ndio iwe ngumu
HR kaamuakunikazia tu maana hata michango alikuwa anatumia hilo hilo jina la tofauti na kwenye mkataba wake ila sasa hivi ndio naona anaijua sheria vizuri sijui alilala wapi
 
Ongea vizuri na huyo HR
Hizo end of contract letters/ extension letters & certificate of service uwa zipo kwa soft copies. Ni kitendo cha kuedit jina baasi.
 
Unaijua lkn End of contract letter & certificate of service??

Kwa private sectors inakuwaga ni kitendo cha kubadili jina. Sasa kina ugumu gani?
Unless asiwe huko ndio iwe ngumu
Inawezekana mkuu lakini documents offucial huwa hazichezewi hovyo eti kisa ni private sector.

erickelly
 
USSR! Sasa aku PM kwa lipi wewe mwongoze huku ili na wengine wapate faida, ila huko unakutaka naona umeingia kwenye ukishoka tamaa mbaya mno dadangu USSR!
Sasa mkuu ushasikia mtu anastaafu na ana zaidi ya mil20 zipo anaitwa PM akatapeliwe mkuu
 
Gazeti nimepata issue ni hapo n

gazeti nimepata issue ni hapo nida wameniambia niandike tena barua kwenda kwa mkurugezi wa nida kuomba ridhaa ya kubadilisha hilo jina
Basi mchakato wako unaelekea mwishoni. Banana nao hapo NIDA sasa! Watakuwa wanataka rushwa hao kwa sababu wanaona wewe ni mstaafu na unauhitaji wa hilo suala

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Ulipitia njia Gani?, Maana Mimi pia mhanga nishapita mahakaman, ardhi, nk lakini mpaka Sasa nna deedpoll lkn Jina haljabadilika
Mimi hata wakichelewa shida yangu mafao yangu nssf nipate sasa wao wanaleta pingamizi hadi nibadilishe
 
Mf mie
NSSF,kazini, NIDA, DL,Bank kuna majina ma3

Vyeti vya shule kuna ma2

Haitonisumbua lolote huko mbele?
Hakuna shida hapo ilimradi tu hayo mawili yawepo kwenye yale matatu.
 
Gazeti nimepata issue ni hapo n

gazeti nimepata issue ni hapo nida wameniambia niandike tena barua kwenda kwa mkurugezi wa nida kuomba ridhaa ya kubadilisha hilo jina
mkuu kama nida na nssf ni sawa kwaiyo jina la cheti ndio tofauti na nssf na nida, muajiri alichikua jina lililoko kwenye cheti au suluhisho apo ni deadpool nida kubadili jina ni kipengele ukiomba mafao ambatanisha barua na oyo deedpoll
 
Mfuko wa jamii na nida ni sawa jina ila jina la kwenye ajira ndio tofauti
ilo jina la kwenye ajira alilitoa wapi we sema jina la cheti ndio tofauti kama angeandika kimakosa angekua kaishabadili
 
Pamoja na uzembe wa kuandija majina kwa sasa, lakini miaka ya 2000 kushuka chini, wengi wao vyeti vya taaluma vina majina mawili kuanzia darasa la saba, kidato cha nne, mpaka chuo. Kwenye ajira wakambiwa lazima waongeze jina la tatu ambalo limo ndani ya cheti cha kuzaliwa. Na NIDA hivyo hivyo.

Sasa huyu hana kosa, inabidi apate nyaraka ya kisheria kuthibitisha majina ya kwenye vyeti vya taaluma (mawili) na ajira na NIDA (matatu) ni yake.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Naikubali hoja yako. Ni hoja ya msingi na inaonyesha jinsi nchi yetu ilivyo na ombwe la uongozi.
 
Habari wapendwa,

Nina shida katika ya majina kitambulisho cha (NIDA) na (NSSF) majina sawa ila katika barua yangu ya ukomo wa (ajira) na (certificate) majina tofauti na ya hivyo vitambulisho cha NIDA na NSSF.

Nimeongea na mwajiri wangu anisaidie kubalisha kwenye barua na certificate anasema haiwezekani.

NIDA, mahakaman, aridhi, gazeti nimeshaenda lakini bado nahangaika.

Nifanyeje ili niweze kupata mafao yangu?
Pole sana mkuu.Ulikuwa Sekta gani?
 
Madhara ya kuandika majina mtu anavyojisikia ni kubwa sana, utakuta mtu kila document kuna majina yamepishana halafu ukimuuliza anakupa majibu rahisi tu, mara hili niliandika majina ya upande wa mama hapa niliandika majina ya babu halafu analazimisha aeleweke, watu wanatumia mwanya huohuo unaoonekana mrahisi kukataa majina yao,tunaona watu mahakani wanashinda kesi kisa tu kwenye hati ya mashtaka kuna majina yalikosewa. Huyo Hr nae anatetea kazi yake, akileta mchezo mwisho wa siku anaweza pewa kesi ya kutoa barua kwa mtu asie sahihi, na wa mafao nao lazima wajitidhishe kuwa wametoa mafao kwa mtu sahihi
 
Upo sahihi ila je mbona wao walikuwa wanaweka hela kwenye jina tofauti ambalo ndio hilo wanalosema hawalitambui?
 
Habari wapendwa,

Nina shida katika ya majina kitambulisho cha (NIDA) na (NSSF) majina sawa ila katika barua yangu ya ukomo wa (ajira) na (certificate) majina tofauti na ya hivyo vitambulisho cha NIDA na NSSF.

Nimeongea na mwajiri wangu anisaidie kubalisha kwenye barua na certificate anasema haiwezekani.

NIDA, mahakaman, aridhi, gazeti nimeshaenda lakini bado nahangaika.

Nifanyeje ili niweze kupata mafao yangu?
Andaa Affidavit of proof of names uwapelekee halafu usikilizie watasemaje? Kwani yametofautiana sana kwa mfano labda cheti kimoja kina jina la Abdullah Juma wakati NIDA ina Juma Ramadhan?
 
Ukiishazeeka umestaafu, nani anajali kwa humu Tanzania. Hao wanaokusumbua wanasahau kuna siku na wao watastaafu.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Kwa kweli ukishatoka mahali unapoteza thamani, mimi hapa kuna ka Afisa utumishi kamegoma kuniandikia tu barua! Sijui nikakamatishe rushwa kapumbavu haka?
 
Back
Top Bottom