Ukienda kwa mfano NSSF lazima wa update taarifa hasa Jina liendane na nida na watalazimisha majina yaliyomo nida ndiyo yatumike na kama nida wamekosea Jina hapo ndio shida itakapoanzia. Mi nimepatwa na Hilo lakini namshukuru Mungu nimemalizana nao
Wakati wanapokea michango wala hawakuhitaji yote hayo. Bungeni lilishaongelewa. Yaani una statement ya michango yako huko lakini wanataka uende kwa muajiri akujazie. Loh.