Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
- Thread starter
-
- #21
Kesho Jiwe akiunga mkono,utamsifia na kumuita mzalendo.Nenda Kalime kama unaona mshahara hautoshi. Pimbi
Mojanya mswali bora kabisa. Nasubiria majibuKwani mnasoma ili muwe na mishahara minono au kuongeza maarifa
Ni ushetani tu, hakuna justification. Na huu ushetani uliasisiwa na Mkapa.Tunasoma ili kuongeza maarifa siyo kwa ajili ya mishahara mikubwa! Sheria ya Kazi inasema mishahara inategemea bargaining power ya mtumishi na uhitajika wake kwenye kazi hiyo. Hivyo usishangae dreva wa form IV kulipwa mshahara mkubwa.
Ndio maana wote hawapati nafasi kwenye hizi taasisi. Kuna kipindi haziajiri. Wengine wataenda halmashauri wengine wataenda kwenye taasisi zingine.Kwahiyo kila mtu akifanya kazi katika hizo taasisi, nani atafanya kazi katika hizi Halmshauri zetu?
Duniani hanna mtu mbinafsi kama mtanzania.Si utoke hapo halmashauri uende kwenye hizo taasisi ili na wewe upate mshahara mnono? Kuna aliyekuzuia?
Kama unaona mshahara wa halmashauri haukutoshi, nenda kaombe kazi kwenye authorities pindi wakitangaza.
Unataka kulingana na wengine ili iwe nini?
Mwisho wa siku utaleta hoja ya mishahara ya Voda ilingane na ya Tigo.
Mbinafsi ni wewe unayetaka kushusha wenzako wafanane na wewe.Duniani hanna mtu mbinafsi kama mtanzania.
Nafurahi umeligundua hilo. Ubinafsi huondoa umoja; pasipo na umoja matokeo yake ndio tunaswagwa kama ng'ombe.Duniani hanna mtu mbinafsi kama mtanzania.
Hapo kuna B O T TRA TCAA TMA Na TPA ni balaa mkuu ukipata shavu hapo ni maisha tuu!!hawa nasika ni neema tupu
Mkuu anayefurahia maumivu ya wengine!!! Ok.Mkuu atalishughulikia.
Awamu hii hataki kabisa ujinga.
We akili mgando!Wapi nimesema washushwe mishahara. Uwezo wako wa kuelewa uko chini sana!!Mbinafsi ni wewe unayetaka kushusha wenzako wafanane na wewe.
Kama mshahara wa halmashauri haukutoshi simply hama hapo uende sehem nyingine unapotosha.
Sio kukaa kuomba wenzako washuke ili mlingane.
Si utoke hapo halmashauri uende kwenye hizo taasisi ili na wewe upate mshahara mnono? Kuna aliyekuzuia?
Kama unaona mshahara wa halmashauri haukutoshi, nenda kaombe kazi kwenye authorities pindi wakitangaza.
Unataka kulingana na wengine ili iwe nini?
Mwisho wa siku utaleta hoja ya mishahara ya Voda ilingane na ya Tigo.
Lets say Serikali haina uwezo wa kupandisha mishahara ya Electrical engineers wote iwe 2mil.Tuna tatizo la kufukiria kama watanzania.
Mleta mada ameleta hoja inayotakiwa kujadiliwa lakini watu mnahamisha mada na kuanza kumshambulia.
Hii fact mbona iko wazi sana, Electrical engineer wa Halmashauri alipwe laki 9 na electrical engineer wa TBS alipwe 2m ilihali wote wamesoma taaluma moja na wameajiriwa na serikali na sisi kama watanzania bado hatuoni kuna tatizo hapo? Majibu yanatoka kwa jazba tu kama vipi nayeye aende huko TBS akapate mshahara mnono, kwahiyo halmashauri hawahitaji electrical engineer?
Ni kweli hayo majibu ni majibu sahihi kwa wasomi mlioko humu jamvini au kwakuwa mwafrika ni mbinafsi zaidi regardless anafanya nini na wapi?
Kwa hiyo wafanywaje? Hebu toa solution hapa hapa.We akili mgando, wapi nimesema washushwe mishahara. Uwezo wako wa kuelewa uko chini sana!!