Utofauti wa mishahara katika Utumishi wa umma, kunavunja moyo na kusababisha watu kubeza kusoma sana

Tunasoma ili kuongeza maarifa siyo kwa ajili ya mishahara mikubwa! Sheria ya Kazi inasema mishahara inategemea bargaining power ya mtumishi na uhitajika wake kwenye kazi hiyo. Hivyo usishangae dreva wa form IV kulipwa mshahara mkubwa.
Ni ushetani tu, hakuna justification. Na huu ushetani uliasisiwa na Mkapa.
 
Lidhika na mnachopata kuna wengine wana ndoto tu hawana.
 
Kila mtu na bahati yake,hata huku mtaani Kuna inshu kama hzo
Mfano unaweza kuta Kuna jamaa anafanya biashara ya mtaji Mkubwa sana let say million 50 afu anahangaika sana kuiendesha na faida kwa siku anapata 30,000.

Afu unakuta Kuna msela mwingine ni msimamizi tu wa biashara ya mtu mwingine anaondoka na 100,000 kila siku na hata ahangahiki anakuwa amekaa sehemu moja na kiyoyozi juu
 
Kwahiyo kila mtu akifanya kazi katika hizo taasisi, nani atafanya kazi katika hizi Halmshauri zetu?
Ndio maana wote hawapati nafasi kwenye hizi taasisi. Kuna kipindi haziajiri. Wengine wataenda halmashauri wengine wataenda kwenye taasisi zingine.

Ndio maana hizi taasisi haziajiri kwa wakati mmoja. Wanajua kabisa nn wanafanya.
 
Si utoke hapo halmashauri uende kwenye hizo taasisi ili na wewe upate mshahara mnono? Kuna aliyekuzuia?

Kama unaona mshahara wa halmashauri haukutoshi, nenda kaombe kazi kwenye authorities pindi wakitangaza.

Unataka kulingana na wengine ili iwe nini?

Mwisho wa siku utaleta hoja ya mishahara ya Voda ilingane na ya Tigo.
 
Duniani hanna mtu mbinafsi kama mtanzania.
 
Mbinafsi ni wewe unayetaka kushusha wenzako wafanane na wewe.

Kama mshahara wa halmashauri haukutoshi simply hama hapo uende sehem nyingine unapotosha.

Sio kukaa kuomba wenzako washuke ili mlingane.
We akili mgando!Wapi nimesema washushwe mishahara. Uwezo wako wa kuelewa uko chini sana!!
 
Si utoke hapo halmashauri uende kwenye hizo taasisi ili na wewe upate mshahara mnono? Kuna aliyekuzuia?

Kama unaona mshahara wa halmashauri haukutoshi, nenda kaombe kazi kwenye authorities pindi wakitangaza.

Unataka kulingana na wengine ili iwe nini?

Mwisho wa siku utaleta hoja ya mishahara ya Voda ilingane na ya Tigo.

Tuna tatizo la kufukiria kama watanzania.
Mleta mada ameleta hoja inayotakiwa kujadiliwa lakini watu mnahamisha mada na kuanza kumshambulia.

Hii fact mbona iko wazi sana, Electrical engineer wa Halmashauri alipwe laki 9 na electrical engineer wa TBS alipwe 2m ilihali wote wamesoma taaluma moja na wameajiriwa na serikali na sisi kama watanzania bado hatuoni kuna tatizo hapo? Majibu yanatoka kwa jazba tu kama vipi nayeye aende huko TBS akapate mshahara mnono, kwahiyo halmashauri hawahitaji electrical engineer?

Ni kweli hayo majibu ni majibu sahihi kwa wasomi mlioko humu jamvini au kwakuwa mwafrika ni mbinafsi zaidi regardless anafanya nini na wapi?
 
Lets say Serikali haina uwezo wa kupandisha mishahara ya Electrical engineers wote iwe 2mil.

Kwa hiyo Solution ni huyo Electrical Engineer wa 2mil ashuke ili naye alipwe laki 9 ili hao wafanyakazi wa serikali wawe sawa?

Hebu nijibu hili swali directly bila kupindisha pindisha maneno.
 
We akili mgando, wapi nimesema washushwe mishahara. Uwezo wako wa kuelewa uko chini sana!!
Kwa hiyo wafanywaje? Hebu toa solution hapa hapa.

Kwamba mishahara ya halmashauri ipande iwe sawa na ya mashirika ya umma?
Kama serikali haina uwezo wa kufanya hivyo unashauri sasa hao wa mashirika ya umma washushwe ili sasa mlingane?

Hebu jibu hayo maswali yangu hapo
 
Back
Top Bottom