white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Burundi wao wameanza utaratibu mpya kuwa ni amri hata wafanyakazi wanaofanya kazi kwenye mashirika ya UN, yaliyopo burundi azima mishahara yao ilingane na watumishi wengine wa serikali!!!kwani kazi wanazofanya huko hata wenzao walioko serikalini wanaweza zifanya!!Africa kuna vituko sana!!Kwahiyo kila mtu akifanya kazi katika hizo taasisi, nani atafanya kazi katika hizi Halmshauri zetu?
Hivi mshahara wa TBS Kwa mtu mwenye degree mfano food science analipwa salary shillings ngapi.Lets say Serikali haina uwezo wa kupandisha mishahara ya Electrical engineers wote iwe 2mil.
Kwa hiyo Solution ni huyo Electrical Engineer wa 2mil ashuke ili naye alipwe laki 9 ili hao wafanyakazi wa serikali wawe sawa?
Hebu nijibu hili swali directly bila kupindisha pindisha maneno.
9mlHivi mshahara wa TBS Kwa mtu mwenye degree mfano food science analipwa salary shillings ngapi.
Sio lazima mmoja amfuate mwenzie,unawezatafutwa wastani.Lets say Serikali haina uwezo wa kupandisha mishahara ya Electrical engineers wote iwe 2mil.
Kwa hiyo Solution ni huyo Electrical Engineer wa 2mil ashuke ili naye alipwe laki 9 ili hao wafanyakazi wa serikali wawe sawa?
Hebu nijibu hili swali directly bila kupindisha pindisha maneno.
Hapo hoja ni Kuwa unakuta wote ni mabingwa lakini mishahara inatofautiana sana.Usivunjike moyo mkuu, unaweza kuhamia kwenye hizo taasisi na wewe ulipwe kama wao. Bahati nzuri recruitment zake zinapitia utumishi (ajira portal).
Life is not fair and it won't be fair. Tofauti zetu ndio zinafanya tuendelee kuishi sababu tunategemeana.
Hiyo harmonization hata ikifanyika bado haiwezi kuleta equality. Mfano: kuna professions ni rare kwenye nchi kama madaktari bingwa huwezi kusema mishahara iendane na daktari wa kawaida.
Hili jibu liko Na akili kubwa. Watu wanajidai taasisi ile inazalisha fedha kanakwamba ni ujanja was hao wafanyakazi kumbe ni majukumu ya kitaasisi. Ukimtoa mtu halmashauri ukimpeleka TRA atazalisha fedha kama atakaowakuta hapo TRABurundi wao wameanza utaratibu mpya kuwa ni amri hata wafanyakazi wanaofanya kazi kwenye mashirika ya UN, yaliyopo burundi azima mishahara yao ilingane na watumishi wengine wa serikali!!!kwani kazi wanazofanya huko hata wenzao walioko serikalini wanaweza zifanya!!Africa kuna vituko sana!!
Wewe ni mpumbavu elimu yako ya phd kama haina tija nani akulipe pesa ya bure.Ni ushetani tu, hakuna justification. Na huu ushetani uliasisiwa na Mkapa.
Na wa Tanesco alipwe 3mln ndo inavyotakiwa uwe umesoma elimu moja nk suala ni mazingira ya kazi ni tofauti na mashirika hayo yanatakiwa kuzalisha na kiasi wanachozalisha na kikupwa kuliko services za salary zao but nyie wa Halmashauri kwanza hata kujiendesha hamuwezi lakini pia unyeti wa kazi.Tuna tatizo la kufukiria kama watanzania.
Mleta mada ameleta hoja inayotakiwa kujadiliwa lakini watu mnahamisha mada na kuanza kumshambulia.
Hii fact mbona iko wazi sana, Electrical engineer wa Halmashauri alipwe laki 9 na electrical engineer wa TBS alipwe 2m ilihali wote wamesoma taaluma moja na wameajiriwa na serikali na sisi kama watanzania bado hatuoni kuna tatizo hapo? Majibu yanatoka kwa jazba tu kama vipi nayeye aende huko TBS akapate mshahara mnono, kwahiyo halmashauri hawahitaji electrical engineer?
Ni kweli hayo majibu ni majibu sahihi kwa wasomi mlioko humu jamvini au kwakuwa mwafrika ni mbinafsi zaidi regardless anafanya nini na wapi?