The real Daniel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2017
- 2,117
- 7,899
Kupanga ni kuchaguamtoa mada anahoja nzuri ila watu humu wanatoa majibu sio mfano mm nina jamaa zangu nilisoma nao chuo fulani wanemalia degree ya elimu hesabu na wote gpa zao ni 4.2 mmoja aliajiriwa kufundisha shule ya secondary mshahsra TGTS D1 ni 716,000 apo hajakatwa makato mwingine aliajiriwa kama tutor udsm mshahara ni 1.6M
kumbuka wote elimu sawa kabisaaa
shida hapa serikali inatakiwa kuwavuta wale wenyemishahara midogo angalau wapande wafanane na wengne
The point is here.Elimu ya kusomea mitihani inaongeza maarifa gani?
.
Ukiongeza maarifa unaongeza ufanisi wa ufanyaji kazi katika sekta yako mfano,, Kuna daktari amesoma miaka 5 degree lakini Kuna daktari bingwa mwenye super specialization, huyu kaongeza elimu yake Ina maana ana uwezo wa kufanya Mambo mengi kuliko uyo wa degree hapa maarifa yake lazima yambebe ATA kwenye mshahara wake mkuu..ukisema tusome kwa ajili ya maarifa tu afu kiwango Cha mshahara kibaki kilekile bila kuangalia elimu ya mtu sizani Kama leo hao wanaoitwa wabobezi katka sekta flani wangekuepo maana ingekua ni Kama kujichosha tu.Kwani mnasoma ili muwe na mishahara minono au kuongeza maarifa
Technically unachosema ni kwamba yule wa 2mil ashushwe ili awe anaipata 1.4m.Sio lazima mmoja amfuate mwenzie,unawezatafutwa wastani.
Kati ya laki 9 Na 2m. MF wanawezalipwa 1.4m.
Kama hayo maarifa huyatumii unaenda kuwa bodaboda kulikuwa na haja gani ya kupoteza muda miaka 25 unasoma halafu aliyesoma miaka 11 anakuzidi kipato?Kwani mnasoma ili muwe na mishahara minono au kuongeza maarifa
UN si serikali. Huwezi sema walingane mishahara wkt UN ni taasisi ambayo si ya serikaliBurundi wao wameanza utaratibu mpya kuwa ni amri hata wafanyakazi wanaofanya kazi kwenye mashirika ya UN, yaliyopo burundi azima mishahara yao ilingane na watumishi wengine wa serikali!!!kwani kazi wanazofanya huko hata wenzao walioko serikalini wanaweza zifanya!!Africa kuna vituko sana!!
Lies. Hawalipwi 9ml
Dah! Wewe jamaa mbona unatunanga hivi!!! Tunachukua hatua kwa tahadhari. Huyu jamaa humfahamu kama ni dkteta uchwara? Sasa akitufukuza kazi huoni familia zetu zitateseka!Watumishi wa umma wa Tanzania ni kikundi cha watu wasiojitambua. Inafikia mahali wao wanajifanya kama wana Ccm! Ivi unaweza kwenda nchi gani wafanyakazi wasiongezewe mishahara kwa miaka mitano na bado wanaenda kazini bila hata kuhoji??? Na raisi anakwambia kabisa sitaongeza mishahara ambayo ni takwa la kisheria wao wapo tu wameinamisha vichwa kama KONDOO anayekwenda kuchinjwa
Hovyooo
Hahaha zumbe mkuu.Dah! Wewe jamaa mbona unatunanga hivi!!! Tunachukua hatua kwa tahadhari. Huyu jamaa humfahamu kama ni dkteta uchwara? Sasa akitufukuza kazi huoni familia zetu zitateseka!
Tumeshaingia kwenye ujasiriamali na pia kilimo tofauti kabisa na ilivyokua enzi za JK
Kwa sasa wengi tumeamua kufanya kazi kwa mazoea! Tumepoteza morali ya kazi! Tumempuuza na kumdharau, nk.
Hatua zote hizi hazitoshi tu!! Usisahau kwenye vyama vyote vya wafanyakazi wameshawekwa watu wake wanao mlamba miguu kama ilivyo kwenye taasisi nyingine. Kwa sasa tunaishi kwa akili na tahadhari kubwa! Hivyo mtuchukulie tu.
Kiukweli inaleta maudhi kuona tunaendeshwa kama magari mabovu na mtu mmoja tu na kwa utashi wake. That man is a devil!! Miaka zaidi ya sita, mshahara ni ule ule! No promotion, no annual incriment!!
Kwa sasa tunajipa tu matumaini ya kwamba ipo siku ataondoka na hivyo maisha yatarudi kuwa normal. Huyu mzee anafanya mambo makubwa sana kwenye miundombinu. Kwa hilo hakuna wa kulipinga.Hahaha zumbe mkuu.
Kwanza huyu kiongozi ni muoga sana kwa wafanyakazi aliingia tu madarakani aliwahonga mamilioni na kuwapeleka kusoma nje watoto wa viongozi wote wa vyama vya wafanyakazi ngapi ya taifa ili waufyate
Ndio hapo sasa!!!, serikali ya burundi mbona ilishatoa maagizo hayo toka mwaka jana!!kuwa haitaki utofauti huo, kwani serikali za kidikteta, zina shindwa jambo?!!wao wanashindwa kuboresha masilahi ya wafanyakazi wao, wanakimbila kuona kuwa wanaolipa vizuri, wanawagombanisha!!UN si serikali. Huwezi sema walingane mishahara wkt UN ni taasisi ambayo si ya serikali
Na bahati mbaya baadhi ya hawa wanaolipwa vizuri wanajisahau na kudharau wengine wakati wote mna elimu sawa na mnatumikia serikali moja.Burundi wao wameanza utaratibu mpya kuwa ni amri hata wafanyakazi wanaofanya kazi kwenye mashirika ya UN, yaliyopo burundi azima mishahara yao ilingane na watumishi wengine wa serikali!!!kwani kazi wanazofanya huko hata wenzao walioko serikalini wanaweza zifanya!!Africa kuna vituko sana!!
Mentality ya kipumbavu na kibaguzi kabisa! Huu ni ukaburu sawa na ule wa kubaguana kwa rangi.Kutaka watumishi wote serikalini wafanane mishahara ni ujinga,
Mtu lazima alipwe kutokana na unyeti wa taasisi aliyopo,Dereva wa jaji mkuu,awezi kulipwa sawa na dereva wa Tanesco anayepereka mafundi site,
Dereva wa jaji lazima awe na mavazi stahiki,suti,huyu anatunza siri,ukipata hii nafasi lazima ulipwe vzr Ili uendsne na boss na ofisi unsyoihudumia,dereva wa Tanesco,dawasa,muruwasa,Hawa ni kuvaa overlol tu,
Ulichopendekeza ndio kinatakiwa kufanywa na serikali yenye watu makini na wapenda haki.mtoa mada anahoja nzuri ila watu humu wanatoa majibu sio mfano mm nina jamaa zangu nilisoma nao chuo fulani wanemalia degree ya elimu hesabu na wote gpa zao ni 4.2 mmoja aliajiriwa kufundisha shule ya secondary mshahsra TGTS D1 ni 716,000 apo hajakatwa makato mwingine aliajiriwa kama tutor udsm mshahara ni 1.6M
kumbuka wote elimu sawa kabisaaa
shida hapa serikali inatakiwa kuwavuta wale wenyemishahara midogo angalau wapande wafanane na wengne