cassavaleaves
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 1,799
- 2,237
Mada yetu ni kuwa tuna akili finyu! Kweli unaletewa msaada wa kuchimbiwa choo! Kiwe cha kukaa au shimo! Tuna uduni wa kufikiri!Sasa kwa nini waliomba kuchimbiwa na wafadhili kama sio upungufu wa akili tunaozumguzia hapa! Hii ndio mada!
Tuna vyoo vya shimo! Tumekunya maporini! All was fine according to your mentality! Why call mfadhili?
Akili zetu zina giza! Ni tusi kubwa ambalo tumejitukanisha wenyewe!
Au huelewi bado huelewi mada yetu!
Hao ndio viongozi wetu Serikalini hadi bungeni.
Ndio maana inashangaza shughuli za Serikali zinasimama kwenda kupokea Ndege!
Ingelikuwa ni ndege ya kwanza Tanzania maybe!
Huo kwamba kuna giza fulani katika kufikiri kwetu! Aidha ilitoka kwa Muumba au tulimiss kitu kwenye evolution process!