Utofauti wa mwonekano na Bei za Behewa SGR Kenya vs Behewa SGR Tanzania

tafuta au waambie wahusika (TRC) waweke hizo 'specifications' unazodai wewe hapa au wamekutuma wewe uwawakilishe kama nani kwao?

Hata rangi wanashindwa kuchagua inayovutia macho?
Kama ya kenya siyo ya umeme,, ba kumbe bei itakuwa sawA😂
 
Mkataba wa haya mabehewa ulisainiwa wakati wa utawala wake!

Kwa hiyo,mkumbuke kwa haya mabehewa pia.
Mie niliamua kumezea, sema ndo maana nikamwambia asijimalize sana kwa sababu hafahamu hayo mabehewa yaliagizwa wakati gani!!
 
Sema utamkumbuka, usituunganishe wengi katika kumkumbuka kwako!!
Hutomkumbuka kwingine kweny issue za tundulisu nk ila kwenye maendeleo acha chuki mkuu
 
Wewe ni muongo. Ondoa hizo picha.
 
Treni ya juu siyo ya kenya,, ya kenya ni hii hapa.
 
ila CCM BHNA DU WANA AKILI CHAFU KMA MATOPE WATU WA HOVYO SANA JATA AIBU HAWANA KABSA
 
Treni ya juu siyo ya kenya,, ya kenya ni hii hapa.
View attachment 2438664
Niliamua tu kuacha hoja hewani ndo maana nikamuuliza ina maana wameuza zile treni zao na kununua hizo, au!

Hiyo pic aliyoweka hata uki-Google unaipata faster kwamba ni Europe na wala sio KE kama anavyojaribu kudanganya watu!
 
Ya Kenya yamenunuliwa kutoka wapi(nchi) na lini (mwaka) na yakiwa kwenye hali gani(new/used)?

Kwa namna upigaji ulivyo nchini Kenya,hata hiyo bei ina cha juu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…