CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 7,001
- 23,449
Nilivyokua mtoto nilikua nikiona mzungu nakimbia ndani najua ni Mnyama wa ajabu atanikamata anile aniuwe,na mama angu alikua anantishia sana wazungu tulikua na jirani yetu Mzungu basi kila muda wa mimi kupewa uji alikua akiitwa yule mama Aje,nakwambia nikimuona tuuu Ntakunywa uji hata ndoo nzima siliii ng'o.
Utoto bwana Umeme ulivyokua ukikatika Home,nikitoka nnje getini nikaona Gari linawaka taa Narudi speed ndani kuwasha Taa nikikuta haziwaki namwambia mama Aite fundi...
Utoto bwana Hamana kitu nilikua napenda nikiangalia tv kama muda wa matangazo,unaweza kuta tunaangalia isidingo mimi nikawa hata sina hata muda nayo ila nikiskia matangazo Nitarudi speed sana kuangalia ikafika wakati mpk nikawa natamani kuwe na channel ya matangazo..Hili lime ni affect sana hadi ubaba huuu naweza kaa sebleni nikajikuta tu na switch tu 100 channel on DSTV kwa ajili ya matangazo,nayapenda ki ukweli.msinicheke.
Utoto bwana kula kamasi ilikua ndio tabia yangu pendwa,nikienda shule nafungiwa na pini kbsa kitambaa kwenye sweta ila hata sitokaa nikitumie kile kitambaaa maana ulimi wangu ulikua mrefu sana na uliweza fikia matundu yote ya pua.
Utoto bwana nilikua nikichomekea shati kwenye chupi kabisa ili lisichomoke haraka,maana nilikua nashangaa sana rafiki angu mmoja yeye alikua akichomeka shati halichomoki mpk muda tunarudi nyumbani,ila mimi nikichomekea shati simalizi hatua 5 Shati limechomoka so idea ikaja wakati wa kufaa nianze chomeka shati kwenye chupi kabisa.
Utoto bwana nilikua nikiamka asubuhi wakati wa kuvaa nikimuuliza dada chupi yangu uko wapi,asiponipa atakuta nimevaa hata yake maana kwetu kuna wadada kama wote so chupi zao nlikua nazifata tu kama nikikosa yangu,nilikua naona kawaida mpk nilianza kuchekwa siku moja na wadada baada ya kuiona kwa sababu ya ile tabia yangu ya kuchomekea shati kwenye chupi.
Utoto bwana nilikua nikipewa ugali nile usipokaa na mimi mezani hadi nikamaliza ukifunga macgo ukifumbua utakuta ugali nshaumaliza,kumbe nimeuchukua nimeuingiza ndani ya suruali nikitoka hapo naenda toileta naubonyeza bonyeza na uflash,niliacha hyo tabia baada ya kufumwa na mshua nilipewa kichapo cha mbwa mwitu tangu siku hyo situpagi chakula.
Utoto bwana nilikua namsubiri mama au baba arudi ndio nachokoza wenzangu,na wakinigusa hata kdg ntalia kwanguvuuuuuuuu ili waje wagombezwe,dada wetu wa nyumbani alikua anategea kina mama na baba wametoka basi ananifinyaaaaa Na nlikua siwezi kuja kusema tena maana mama na baba walishajua tabia yangu mimi i mchokozi kwahyo wakawa hawaniskilizi malalamiko yangu.
Utoto bwana kula hela ya sadaka kanisani ilikua ndio fashion,sikumbuki kama nliwahi toa sadaka labda wakati naenda toa sadaka awepo mtu aniangalie mikono yangu kwa nyuma ndio ntatoa....
Utoto mwingi aseeee....
Ebu niambie wewe utoto wako ilikuaje Back in those years..........