Utoto bwana,acheni tu

Utoto bwana,acheni tu

CONTROLA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2019
Posts
7,001
Reaction score
23,449
Nilivyokua mtoto nilikua nikiona mzungu nakimbia ndani najua ni Mnyama wa ajabu atanikamata anile aniuwe,na mama angu alikua anantishia sana wazungu tulikua na jirani yetu Mzungu basi kila muda wa mimi kupewa uji alikua akiitwa yule mama Aje,nakwambia nikimuona tuuu Ntakunywa uji hata ndoo nzima siliii ng'o.

Utoto bwana Umeme ulivyokua ukikatika Home,nikitoka nnje getini nikaona Gari linawaka taa Narudi speed ndani kuwasha Taa nikikuta haziwaki namwambia mama Aite fundi...

Utoto bwana Hamana kitu nilikua napenda nikiangalia tv kama muda wa matangazo,unaweza kuta tunaangalia isidingo mimi nikawa hata sina hata muda nayo ila nikiskia matangazo Nitarudi speed sana kuangalia ikafika wakati mpk nikawa natamani kuwe na channel ya matangazo..Hili lime ni affect sana hadi ubaba huuu naweza kaa sebleni nikajikuta tu na switch tu 100 channel on DSTV kwa ajili ya matangazo,nayapenda ki ukweli.msinicheke.

Utoto bwana kula kamasi ilikua ndio tabia yangu pendwa,nikienda shule nafungiwa na pini kbsa kitambaa kwenye sweta ila hata sitokaa nikitumie kile kitambaaa maana ulimi wangu ulikua mrefu sana na uliweza fikia matundu yote ya pua.

Utoto bwana nilikua nikichomekea shati kwenye chupi kabisa ili lisichomoke haraka,maana nilikua nashangaa sana rafiki angu mmoja yeye alikua akichomeka shati halichomoki mpk muda tunarudi nyumbani,ila mimi nikichomekea shati simalizi hatua 5 Shati limechomoka so idea ikaja wakati wa kufaa nianze chomeka shati kwenye chupi kabisa.

Utoto bwana nilikua nikiamka asubuhi wakati wa kuvaa nikimuuliza dada chupi yangu uko wapi,asiponipa atakuta nimevaa hata yake maana kwetu kuna wadada kama wote so chupi zao nlikua nazifata tu kama nikikosa yangu,nilikua naona kawaida mpk nilianza kuchekwa siku moja na wadada baada ya kuiona kwa sababu ya ile tabia yangu ya kuchomekea shati kwenye chupi.

Utoto bwana nilikua nikipewa ugali nile usipokaa na mimi mezani hadi nikamaliza ukifunga macgo ukifumbua utakuta ugali nshaumaliza,kumbe nimeuchukua nimeuingiza ndani ya suruali nikitoka hapo naenda toileta naubonyeza bonyeza na uflash,niliacha hyo tabia baada ya kufumwa na mshua nilipewa kichapo cha mbwa mwitu tangu siku hyo situpagi chakula.

Utoto bwana nilikua namsubiri mama au baba arudi ndio nachokoza wenzangu,na wakinigusa hata kdg ntalia kwanguvuuuuuuuu ili waje wagombezwe,dada wetu wa nyumbani alikua anategea kina mama na baba wametoka basi ananifinyaaaaa Na nlikua siwezi kuja kusema tena maana mama na baba walishajua tabia yangu mimi i mchokozi kwahyo wakawa hawaniskilizi malalamiko yangu.

Utoto bwana kula hela ya sadaka kanisani ilikua ndio fashion,sikumbuki kama nliwahi toa sadaka labda wakati naenda toa sadaka awepo mtu aniangalie mikono yangu kwa nyuma ndio ntatoa....

Utoto mwingi aseeee....

Ebu niambie wewe utoto wako ilikuaje Back in those years..........
 
Fitna zimeanza zamani ukipewa 100 ukatoe sadaka unachange sh 10 kumi unanunua ice cream sadaka unatoa Sh 50..
Tuliosoma kayumba kama umekaa dawati wanaume wa4 msichana ndio wewe wanakusukuma mpaka uanguke[emoji3] na wewe unaita wasichana wenzio mnawasukuma mpaka waanguke yani nusu saa nzima mpaka mwalimu aje
Kaka zangu waliniambiaga ukila kichwa cha samaki utakua na akili kama za samaki mpaka leo sili[emoji3]
 
Kuna kale katabia ka kukojoa afu unatema mate ulipokojolea.. nakumbuka bro mtoto wa bamkubwa aliniambia usipotemea mate mchawi akipita mama yako anakatika maziwa! Mimi nilijua ni watu tu wa eneo letu kumbe karibia ni katabia ka wanaume wote wa Tz.. Mpaka leo najua haina maana yoyote kuteama mate ila bado nadumisha hii mira.. tena nisipotema nahisi sijajitendea haki
 
hiyo ya kichwa cha samaki hata mimi nilikua naambiwa eti,sjui ndio sababu hadi leo sili namimi 😆😆
 
Kuna kale katabia ka kukojoa afu unatema mate ulipokojolea.. nakumbuka bro mtoto wa bamkubwa aliniambia usipotemea mate mchawi akipita mama yako anakatika maziwa! Mimi nilijua ni watu tu wa eneo letu kumbe karibia ni katabia ka wanaume wote wa Tz.. Mpaka leo najua haina maana yoyote kuteama mate ila bado nadumisha hii mira.. tena nisipotema nahisi sijajitendea haki
ha ha ha umenikumbusha mbali sana mkuuuu 😂😂😂
 
Hapo ndio utajua kama mtoto ni mzingativu au la
Maana mimi niliyoambiwa tangu mwaka huo mdogo niko chekecheka nayakumbuka kama jana
hiyo ya kichwa cha samaki hata mimi nilikua naambiwa eti,sjui ndio sababu hadi leo sili namimi [emoji38][emoji38]
 
Kuna kale katabia ka kukojoa afu unatema mate ulipokojolea.. nakumbuka bro mtoto wa bamkubwa aliniambia usipotemea mate mchawi akipita mama yako anakatika maziwa! Mimi nilijua ni watu tu wa eneo letu kumbe karibia ni katabia ka wanaume wote wa Tz.. Mpaka leo najua haina maana yoyote kuteama mate ila bado nadumisha hii mira.. tena nisipotema nahisi sijajitendea haki
kwahiyo hadi leo ukimaliza kazi lazima mate uteme? sometimes hata mimi natema ki ukweli na midevu yangu hiii
 
Hapo ndio utajua kama mtoto ni mzingativu au la
Maana mimi niliyoambiwa tangu mwaka huo mdogo niko chekecheka nayakumbuka kama jana
nawambiaga watu wasifanye vitu mbele ya watoto hawaelewi..Ona sasa Hapo unakumbuka hadi mlivyokua mkisukumana hadi na maneno mliyokua mkiambiana yani
 
Fitna zimeanza zamani ukipewa 100 ukatoe sadaka unachange sh 10 kumi unanunua ice cream sadaka unatoa Sh 50..
Tuliosoma kayumba kama umekaa dawati wanaume wa4 msichana ndio wewe wanakusukuma mpaka uanguke[emoji3] na wewe unaita wasichana wenzio mnawasukuma mpaka waanguke yani nusu saa nzima mpaka mwalimu aje
Kaka zangu waliniambiaga ukila kichwa cha samaki utakua na akili kama za samaki mpaka leo sili[emoji3]
Hiyo ya kusukuma hujaeleza vizuri. Mnakaa watu wawili upande mmoja na wawili nusu nyingine. Unakuta mna bifu mnafukuzana, toka-sitoki na ndo mnaanza kusukumana. Siku zote waliokaa ukutani ndo wanashinda
 
Tukiwa wadogo tuliambiwa ukila huku umelala mama yako anakufa. Siku moja baba alikuwa anaumwa sasa sijui alipewa nini cha kutafuna akawa anakula huku amelala wacha niangue kilio namvuta aamke asile amelala mama atakufa[emoji23][emoji23][emoji23] eti nilijua mama yangu mimi na yeye ndio mama yake
 
Nilivyokua mtoto nilikua nikiona mzungu nakimbia ndani najua ni Mnyama wa ajabu atanikamata anile aniuwe,na mama angu alikua anantishia sana wazungu tulikua na jirani yetu Mzungu basi kila muda wa mimi kupewa uji alikua akiitwa yule mama Aje,nakwambia nikimuona tuuu Ntakunywa uji hata ndoo nzima siliii ng'o.

Utoto bwana Umeme ulivyokua ukikatika Home,nikitoka nnje getini nikaona Gari linawaka taa Narudi speed ndani kuwasha Taa nikikuta haziwaki namwambia mama Aite fundi...

Utoto bwana Hamana kitu nilikua napenda nikiangalia tv kama muda wa matangazo,unaweza kuta tunaangalia isidingo mimi nikawa hata sina hata muda nayo ila nikiskia matangazo Nitarudi speed sana kuangalia ikafika wakati mpk nikawa natamani kuwe na channel ya matangazo..Hili lime ni affect sana hadi ubaba huuu naweza kaa sebleni nikajikuta tu na switch tu 100 channel on DSTV kwa ajili ya matangazo,nayapenda ki ukweli.msinicheke.

Utoto bwana kula kamasi ilikua ndio tabia yangu pendwa,nikienda shule nafungiwa na pini kbsa kitambaa kwenye sweta ila hata sitokaa nikitumie kile kitambaaa maana ulimi wangu ulikua mrefu sana na uliweza fikia matundu yote ya pua.

Utoto bwana nilikua nikichomekea shati kwenye chupi kabisa ili lisichomoke haraka,maana nilikua nashangaa sana rafiki angu mmoja yeye alikua akichomeka shati halichomoki mpk muda tunarudi nyumbani,ila mimi nikichomekea shati simalizi hatua 5 Shati limechomoka so idea ikaja wakati wa kufaa nianze chomeka shati kwenye chupi kabisa.

Utoto bwana nilikua nikiamka asubuhi wakati wa kuvaa nikimuuliza dada chupi yangu uko wapi,asiponipa atakuta nimevaa hata yake maana kwetu kuna wadada kama wote so chupi zao nlikua nazifata tu kama nikikosa yangu,nilikua naona kawaida mpk nilianza kuchekwa siku moja na wadada baada ya kuiona kwa sababu ya ile tabia yangu ya kuchomekea shati kwenye chupi.

Utoto bwana nilikua nikipewa ugali nile usipokaa na mimi mezani hadi nikamaliza ukifunga macgo ukifumbua utakuta ugali nshaumaliza,kumbe nimeuchukua nimeuingiza ndani ya suruali nikitoka hapo naenda toileta naubonyeza bonyeza na uflash,niliacha hyo tabia baada ya kufumwa na mshua nilipewa kichapo cha mbwa mwitu tangu siku hyo situpagi chakula.

Utoto bwana nilikua namsubiri mama au baba arudi ndio nachokoza wenzangu,na wakinigusa hata kdg ntalia kwanguvuuuuuuuu ili waje wagombezwe,dada wetu wa nyumbani alikua anategea kina mama na baba wametoka basi ananifinyaaaaa Na nlikua siwezi kuja kusema tena maana mama na baba walishajua tabia yangu mimi i mchokozi kwahyo wakawa hawaniskilizi malalamiko yangu.

Utoto bwana kula hela ya sadaka kanisani ilikua ndio fashion,sikumbuki kama nliwahi toa sadaka labda wakati naenda toa sadaka awepo mtu aniangalie mikono yangu kwa nyuma ndio ntatoa....

Utoto mwingi aseeee....

Ebu niambie wewe utoto wako ilikuaje Back in those years..........
utotoni nimedanganywa sana mkuu
 
me nilikuwa napenda kuangalia maji yanavochemka.
umenikumbusha siku moja nimeambiwa kaangalie maji kama yamechemka wakati huo maji yanachemshwa kwa heater,,nikaenda kudumbukiza kidole humo ndani (nikakipata nilichokitafuta)

Nikarudi chumbani nikaendelea kucheza game,dada ananifata ananikuta nacheza game ananiuliza Maji yamepata moto..Nkamjibu SIJUI maana YANATETEMESHA.
 
Tukiwa wadogo tuliambiwa ukila huku umelala mama yako anakufa. Siku moja baba alikuwa anaumwa sasa sijui alipewa nini cha kutafuna akawa anakula huku amelala wacha niangue kilio namvuta aamke asile amelala mama atakufa[emoji23][emoji23][emoji23] eti nilijua mama yangu mimi na yeye ndio mama yake
UMENIUA mbavu,hata mi nlijuaga zamani mama angu mimi na mama ake mama ni mmoja

umesahau ile unaambiwa usimruke mwenzako akilala atakua mfupi,ukitaka arefuke lazima ukimruka urudie kumruka la sivyo atakua mbilikimo.
 
Tukiwa wadogo tuliambiwa ukila huku umelala mama yako anakufa. Siku moja baba alikuwa anaumwa sasa sijui alipewa nini cha kutafuna akawa anakula huku amelala wacha niangue kilio namvuta aamke asile amelala mama atakufa[emoji23][emoji23][emoji23] eti nilijua mama yangu mimi na yeye ndio mama yake
Hahahahaha pambaff kabisa.eti mamako ni mamaake!
 
Back
Top Bottom