Ulivyo kakatili sasa...[emoji23][emoji23][emoji23] mambo ya utoto...ningejua ana mama yake kwani hata ningehangaika nae?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulivyo kakatili sasa...[emoji23][emoji23][emoji23] mambo ya utoto...ningejua ana mama yake kwani hata ningehangaika nae?
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa yeye kama kaamua kumuua mama yake mimi ni nani hata niingilie?Ulivyo kakatili sasa...
Usijue utakosa safari za kwa bibi (sio yule “bibi” mwingine unaemsalimu kila asubuhi).[emoji23][emoji23][emoji23] sasa yeye kama kaamua kumuua mama yake mimi ni nani hata niingilie?
[emoji23][emoji23][emoji23] fa.la kweli weweUsijue utakosa safari za kwa bibi (sio yule “bibi” mwingine unaemsalimu kila asubuhi).
Hiyo ya kusukuma hujaeleza vizuri. Mnakaa watu wawili upande mmoja na wawili nusu nyingine. Unakuta mna bifu mnafukuzana, toka-sitoki na ndo mnaanza kusukumana. Siku zote waliokaa ukutani ndo wanashinda
Yani nakumbuka kila kitunawambiaga watu wasifanye vitu mbele ya watoto hawaelewi..Ona sasa Hapo unakumbuka hadi mlivyokua mkisukumana hadi na maneno mliyokua mkiambiana yani
Wale wadudu wana kasi sana kwenye maji na wanateleza balaaKuna sisimizi mkubwa ilikiwa tumeaminishwa ukimkuta, unamuimbia na kumtemea mate unaomba unachotaka, mimi kila nikimuona namuimbia habari za ubwabwa tuu!
Pia kuna wale wadudu wakati tukiwa wadogo tunatamani maziwa, basi tunawachukua tunawaumisha kwenye maziwa! Wakikung'ata waumwa haswa tumaziwa tunavimba basi kwa akili za kitoto unahisi yameota!
EwaaaWale wadudu wana kasi sana kwenye maji na wanateleza balaa
ha ha ha.. wengine tuliambiwa ukila miguu ya kuku unakua unazurura sanaFitna zimeanza zamani ukipewa 100 ukatoe sadaka unachange sh 10 kumi unanunua ice cream sadaka unatoa Sh 50..
Tuliosoma kayumba kama umekaa dawati wanaume wa4 msichana ndio wewe wanakusukuma mpaka uanguke[emoji3] na wewe unaita wasichana wenzio mnawasukuma mpaka waanguke yani nusu saa nzima mpaka mwalimu aje
Kaka zangu waliniambiaga ukila kichwa cha samaki utakua na akili kama za samaki mpaka leo sili[emoji3]
dah mulemule asee [emoji23][emoji23][emoji23]nikiona albino najitemea mate kifuani nisizae albino