Mpira una mengi.Nyie mtahangaika sana kutafuta hatia ya Feisal lakini kama tatizo basi linaanzia hapo kwenye uongozi...
Mwacheni kijana wa watu hakuna mtu alimnunulua viatu wakati akianza kucheza , hakuna mtu alimnunulia chakula alipokuwa mtoto, ukiwa mshabiki unaamini mchezaji ni Mali Yako , yaani wewe na club ni dada na kaka mawazo ya hovyo kabisa.Mpira ni furaha na mpira ni ajira pia. Lakini mpira una sheria, kanuni na taratibu zake. Fei Toto kuiacha Yanga katikati ya mashindano ya African championship...
Na ndicho alichofanya kijanaMpira una mengi.
Huwezi kuongeza mishahara ghafla bila kuwa na bajeti na fedha.
Kama mchezaji anaona anapata asichostahili Yanga basi akatafute kwingine atakapo ridhika.
Morrison naye ni mzanzibar? Mbona aliwapiga na kitu kizito kichwani na bado mkamrudia kumsajiri ?Mpira ni furaha na mpira ni ajira pia. Lakini mpira una sheria, kanuni na taratibu zake. Fei Toto kuiacha Yanga katikati ya mashindano ya African championship...
Kama aliona maslahi madogo, asingekubali kusaini mkataba mpya. Kwani yeye ni mtoto mdogo asijue kukataa kuwa msiponilipa kiasi fulani sisaini mkataba mpya.Nyie mtahangaika sana kutafuta hatia ya Feisal lakini kama tatizo basi linaanzia hapo kwenye uongozi...
Hilo la bajeti na fedha kweli ni changamoto na kwa mazingira hayo wala sina noma na Club ambayo imeshindwa kuongeza mkataba mzuri kwa mchezajiMpira una mengi.
Huwezi kuongeza mishahara ghafla bila kuwa na bajeti na fedha.
Kama mchezaji anaona anapata asichostahili Yanga basi akatafute kwingine atakapo ridhika.
Kipindi anasaini mkataba mwaka hakuwa na power ya kuweza kusililizwa kwasababu hakuwa na plan B itayomsaidia endapo wasopofika makubalianoKama aliona maslahi madogo, asingekubali kusaini mkataba mpya. Kwani yeye ni mtoto mdogo asijue kukataa kuwa msiponilipa kiasi fulani sisaini mkataba mpya. Lakini kukubali kwake kusaini mkataba mpya unaoishia mwaka 2024 inamaana karidhika na kiwango hicho
N B mkataba ni makubaliano ya pande mbili
Bila kusahau nonda ShabanAcha fei toto aende nafikiri sisi WANANCHI ni zaidi ya fei toto kama walipita WAKINA edibily Jonas lunyamila ,akida makunda ,sekilojo chambua sembuse feitoto nafikiri ameondoka wakati sahihi acha akatafute riziki kwingine ila WANANCHI sio kwamba tuatashindwa kucheza kisa feitoto
Mkuu haya magazeti unayoyaandika kila unapoletwa Uzi kuhusu saga ya Feitoto hayawezi kupeleka ubingwa pale msimbazi.Kipindi anasaini mkataba mwaka hakuwa na power ya kuweza kusililizwa kwasababu hakuwa na plan B itayomsaidia endapo wasopofika makubaliano...
Hili ni jukwaa la michezo, kama hujui upo wapi unaweza ukatoka nje usome vizuri bango ujue upo mahala gani na zinajadiliwa mada za aina gani.Mkuu haya magazeti unayoyaandika kila unapoletwa Uzi kuhusu saga ya Feitoto hayawezi kupeleka ubingwa pale msimbazi...