Thabit Karim
JF-Expert Member
- Sep 3, 2012
- 393
- 735
- Thread starter
-
- #281
Kwahiyo mfano hapo alipoweka milioni 100 ambayo nisawa na vipande 11,000+ it means 11,000 mara 1 so anapata elfu 11,000/- kwa kuweka milioni miamoja huu ni undezi wa aina gani?!
Nakwambia huu ni uwekezaji wa kipumbavu kuwahi tokea.
Japo wanapata 12% kwa mfano wako atapata 12mil
Ambayo ni sawa na 1mil kila mwezi kwa mtaji wa Milioni 100
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
mkuu kiwango cha chini cha pesa kujiunga na hiyo utt ni sh ngapi?Na ww unamuunga mkono kwa hesabu yake[emoji23][emoji23][emoji23]
mkuu kiwango cha chini cha pesa kujiunga na hiyo utt ni sh ngapi?
Ikizidi sana ni elfu 12.Mkuu
Ukiwekeza milion 1 kwa mwezi utapata sh. Ngapi!!?
Watu wengi hawaelewi namna UTT AMIS inafanya kazi, pia hawaelewi tofauti ya Biashara na Uwekezaji. Siku ya kwanza kumsikiliza bwana Rahim Mwanga akiielezea uwekazaji kupitia UTT AMIS nilijuta kwanini sikuwafahamu mapema.
Nilifungua Bond and Liquid Acc ili kujiwekea akiba on monthly basis. Just naweka akiba ambayo naamini baada ya miaka kadhaa itakuwa imenona!!
Tuendelee Kubet
Yaaani kama ningeifahamu 10yrs ago, ningekuwa mbali aseeNilidhani ni mimi nime chelewa pekee kuifahamu! Juzi kuna mtu niliona screenshot yake ina soma 200+ millions!
UTT wanachukua pesa zenu wanazungusha kwa Riba..mil 100 unapewa laki 8 yako baada ya miezi 6 unakenuaaa menooo[emoji51][emoji51][emoji1787][emoji1787] nimepewaa faidaa.Hili kama jinga vile. Hujui vitu unajifafanulia mwenyewe hlf unajipatia hitimisho mwenyewe kwa kuponda. Km hujui vitu kaa kimya
Ukiwekeza 100M kwa kila mwezi utakua unapata gawio la zaidi ya laki 8.8 huku pesa yako uliyowekeza inakua kutokana na thamani ya vipande. Kwa haraka haraka ukiwekeza hiyo 100M kwa miezi 6 utakuta 101M plus umeshapata laki 8 na zako kwa hiyo miezi 6. Acheni ubisha wa kijinga
Kama umewahi kujiwekea akiba ikafika hata 1 or 2M utaelewa kwanini watu wanaweka pesa UTT... Ila kama hijawahi kujiwekea akiba huwezi kuelewaUTT wanachukua pesa zenu wanazungusha kwa Riba..mil 100 unapewa laki 8 yako baada ya miezi 6 unakenuaaa menooo[emoji51][emoji51][emoji1787][emoji1787] nimepewaa faidaa.
Utapata 10,000Mkuu
Ukiwekeza milion 1 kwa mwezi utapata sh. Ngapi!!?
Binafsi naona ni ya watu wapumbavu wa akili.UTT wanachukua pesa zenu wanazungusha kwa Riba..mil 100 unapewa laki 8 yako baada ya miezi 6 unakenuaaa menooo[emoji51][emoji51][emoji1787][emoji1787] nimepewaa faidaa.
Mbona unatumia nguvu sana!. Kazi ya sale ni balaa unaweza chizika kabisa.Hujui hata lengo la watu kuweka hela kule. Wengi wanaweka km kuhifadhi wkt ramani za biashara zao zikiwa hazisomi vzr. Hata mm nimeweka kule kwa lengo Hilo. Biashara yangu ikiwa poa natoa naenda kufanya km kawaida yangu. Acheni ujuaji. Huko ulikowekeza ww unapata faida hata huku watu walipowekeza wanapata faida iwe ndogo au kubwa ni juu yetu. Kwnz mtu akiwekeza UTT hasa bond fund huyo lzm atakua na hela. Jiulize hizo alizokusanya mpk kwenda kuwekeza alizipata huko UTT?
Mwenye kujenga nyumba ya 100m anapata kodi kubwa sana 600k. Huyo naye amewekeza.Bado nasisitiza hii ni biashara ya watu wasiojitambua.
Haiwezekani uweke 100mil zikae tu
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app