UTT AMIS naona kwenye account yangu ya UTT hela imeongezeka kidogo

UTT AMIS naona kwenye account yangu ya UTT hela imeongezeka kidogo

Kwahiyo mfano hapo alipoweka milioni 100 ambayo nisawa na vipande 11,000+ it means 11,000 mara 1 so anapata elfu 11,000/- kwa kuweka milioni miamoja huu ni undezi wa aina gani?!

Hata hesabu ya kugawanya inakushinda!! Utajua vp maswala ya uwekezaji?? Nimeshangaa sana. Yaani 100,000,000 gawanya na 114 unapata 11,000?? Ama kweli!!!
 
mkuu kiwango cha chini cha pesa kujiunga na hiyo utt ni sh ngapi?

Inategemea na mfuko na Mipango yako ww. Hata elfu 5 unawekeza. Kuna details nyingi za mwanzo unatakiwa uzifahamu. Fahamu mpango wako na kiasi chako then utaangalia mfuko gani unakufaa. Tembelea website Yao au wapigie simu utafahamu mengi ambayo mm siwez kukwambia yote
 
Watu wengi hawaelewi namna UTT AMIS inafanya kazi, pia hawaelewi tofauti ya Biashara na Uwekezaji. Siku ya kwanza kumsikiliza bwana Rahim Mwanga akiielezea uwekazaji kupitia UTT AMIS nilijuta kwanini sikuwafahamu mapema.

Nilifungua Bond and Liquid Acc ili kujiwekea akiba on monthly basis. Just naweka akiba ambayo naamini baada ya miaka kadhaa itakuwa imenona!!

Tuendelee Kubet
 
Nilidhani ni mimi nime chelewa pekee kuifahamu! Juzi kuna mtu niliona screenshot yake ina soma 200+ millions!
 
Nilidhani ni mimi nime chelewa pekee kuifahamu! Juzi kuna mtu niliona screenshot yake ina soma 200+ millions!
Yaaani kama ningeifahamu 10yrs ago, ningekuwa mbali asee
 
Hili kama jinga vile. Hujui vitu unajifafanulia mwenyewe hlf unajipatia hitimisho mwenyewe kwa kuponda. Km hujui vitu kaa kimya

Ukiwekeza 100M kwa kila mwezi utakua unapata gawio la zaidi ya laki 8.8 huku pesa yako uliyowekeza inakua kutokana na thamani ya vipande. Kwa haraka haraka ukiwekeza hiyo 100M kwa miezi 6 utakuta 101M plus umeshapata laki 8 na zako kwa hiyo miezi 6. Acheni ubisha wa kijinga
UTT wanachukua pesa zenu wanazungusha kwa Riba..mil 100 unapewa laki 8 yako baada ya miezi 6 unakenuaaa menooo[emoji51][emoji51][emoji1787][emoji1787] nimepewaa faidaa.
 
UTT wanachukua pesa zenu wanazungusha kwa Riba..mil 100 unapewa laki 8 yako baada ya miezi 6 unakenuaaa menooo[emoji51][emoji51][emoji1787][emoji1787] nimepewaa faidaa.
Kama umewahi kujiwekea akiba ikafika hata 1 or 2M utaelewa kwanini watu wanaweka pesa UTT... Ila kama hijawahi kujiwekea akiba huwezi kuelewa
 
Binafsi naona ni ya watu wapumbavu wa akili.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app

Hujui hata lengo la watu kuweka hela kule. Wengi wanaweka km kuhifadhi wkt ramani za biashara zao zikiwa hazisomi vzr. Hata mm nimeweka kule kwa lengo Hilo. Biashara yangu ikiwa poa natoa naenda kufanya km kawaida yangu. Acheni ujuaji. Huko ulikowekeza ww unapata faida hata huku watu walipowekeza wanapata faida iwe ndogo au kubwa ni juu yetu. Kwnz mtu akiwekeza UTT hasa bond fund huyo lzm atakua na hela. Jiulize hizo alizokusanya mpk kwenda kuwekeza alizipata huko UTT?
 
Mbona unatumia nguvu sana!. Kazi ya sale ni balaa unaweza chizika kabisa.
 
Ila kweli, watawekaje hela zikae tuuu, wakati wengine hatuna hata mia?
Bora watuongezee kweny tumitaji twetu hutu twa ufundi simu tupate japo ahueni
 
Bado nasisitiza hii ni biashara ya watu wasiojitambua.

Haiwezekani uweke 100mil zikae tu

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Mwenye kujenga nyumba ya 100m anapata kodi kubwa sana 600k. Huyo naye amewekeza.
Ila utt. Kawekeza tu kwa mwaka same amount anapata 800k nani hajitambui?
Mwekezaji kwenye nyumba hawezi akachukua 25m nakuzungusha hela yake na kuirudisha kwenye uwekezaji wake wa awali, utt anaweza.
Wawekezaji wa utt wa risk free, chao ni uhakika kama kufa. Nyumba inapitia mengi mpangaji kachelewa kuingia, anaomba kushushiwa kodi, majanga ya moto na mengineyo.

Kwenye nyumba huwezi kufanya maboresho madogo madogo yenye thamani ndogo kama 10,00 yakaongeza kod ( faida) ila kwenye utt unaweza unaweza ukajazia na faida ikaongezeka

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom