UTU: Ubalozi wa Marekani wasaidia ujenzi wa vyoo vya kisasa kwenye shule za Iringa na Morogoro

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Taarifa inayosambaa inaonyesha kwamba maboresho hayo yamefanyika kwanye shule 25 za Mikoa ya Iringa na Morogoro , ambapo wanafunzi elfu 14 wametajwa kunufaika na mpango huo.

Mojawapo ya choo kilivyoonekana kabla ya Maboresho.



Hapa chini ni muonekano mpya baada ya Maboresho.



Mungu wabariki Wazungu
 
Kuna tofauti Kati ya waathirika wa maendeleo na Mabeberu
 
Sijui tumelaaniwa na nani yarabi! Hata vyoo? How comes choo cha shule kinaachwa hadi kifikie hali inayoonekana kwenye picha ya kwanza? Mkuu wa wilaya yupo; afisa elimu wilaya yupo; DED yupo; mbunge yupo; (wote hao ni mwendo wa VX-R V8); maafisa kata wapo; kamati za shule zipo; wazazi wapo; mwalimu mkuu yupo; walimu wapo; tatizo nini? Kazi yao nini? Kula mishahara?

Hadi beberu atoke maelfu ya maili huko kugundua kuna vyoo vya shule nchini Tanzania vimechoka? Nchi hii haina tatizo la fedha tena; lilishakuwa historia tangu awamu ya tano iingie madarakani! Wapinzani walokuwa wanatuchelewesha hawapo tena!
 
Hapo watakwambia hao ni wadau wa maendeleo,subiri waseme kura ziliibwa utaisikia mabeberu hao,mara vita vya kiuchumi na porojo zingine

Huku watu wananunu gari za mil 450+
Shida sio Rais nimfumo hata Rais huwoni magari yake. Umasikin kitu kibaya Sana masikini mara nyingi akipata ni shida. Hawa wamesahau walipo toka na wanaanza kuila nchi Kwa magari ya kifahari.
 
Watu wabaya jamani, yaani hata wamarekani wameona wampuuze Mr Tundu! Pamoja na mikelele yote ile aliyopiga. Yetu Macho.
 
Hivi kuna misaada ambayo si ya kibinadamu? Hata ujenzi wa barabara unalenga kuhudumia binadamu. Sijui ni misaada ipi ambayo si ya kibaindamu?
... misaada ya kibinadamu inamlenga mhusika moja kwa moja; sio ile inayoingizwa "fuko kuu" halafu inaenda kununua wasaliti au kuibia kura.
 
Hatukatai misaada isiyokuwa na mizengwe....isipokuwa Lissu sasa sijui itakuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…