Utume na unabii upo? Case study ya utabiri uliofanywa na prophets wa kimarekani, kuhusu tukio litakalotokea juu ya jaribio la mauaji ya Trump

Inaweza isiwe ni utabiri, lakini hii scenario utaiitaje?
Hiyo ni statistical projection tu.

Ni kama vile unavyoweza kumwambia mkulima anayeishi sehemu yenye nyoka wengi na kufanya kazi vichakani kuwa katika maisha yake kuna uwezekano siku moja akagongwa na nyoka.

It is a matter of statistical projection.

Mimi nimeshangaa Trump kawezaje kumaliza urais miaka minne bila kupigwa risasi. Nimeshangaa sana.
 
Kanithibitishia kumbe ni lijinga, kati ya watu bilioni 8 mmoja aje na metafacts zinazoshabihiana kwa asilimia 99 hii ni maajabu hata probability haijui huyo.
Metafacts gani zinashabihiana kwa asilimia 99? Umepimaje ukapata asilimia 99? Unahakikishaje hizo habari zimetabiriwa na hazijarejewa?

Metafacts ni nini?
 
Hoja si Trump Kupigwa Risasi, ila details zilizotengenezwa ambazo Zina match pakubwa na zile ambazo zimetokea. Angetabiri kuwa Trump angepigwa risasi, sidhani kwa akili zangu ningekuja kupost, lakini angalia kwa makini alivyotengeneza detais juu ya matukio yatakayotokea. Si rahisi, na ni nearly impossible, Mimi na wewe tunalielewa Hilo.
 
Details gani? Amezitabiri lini? Unajuaje alizitabiri yeye na si kwamba kazirejea baada ya tukio? Unajuaje kwamba katabiri tu na hajapanga yeye?
 
HEHEHEHE huyu ndie Atheist, Dah umejishusha thamani, vingine ungesema no comments walau watu wangekuona una kitu, unajitutumua mwisho unadhalilika mbele ya werevu.
 
Details gani? Amezitabiri lini? Unajuaje alizitabiri yeye na si kwamba kazirejea baada ya tukio? Unajuaje kwamba katabiri tu na hajapanga yeye?
Brother, nimetuma link kama uthibitisho, au YouTube algorithms zinadanganya? Hiyo ni miezi minne kabla, si Leo Wala Jana kaka yangu
 
HEHEHEHE huyu ndie Atheist, Dah umejishusha thamani, vingine ungesema no comments walau watu wangekuona una kitu, unajitutumua mwisho unadhalilika mbele ya werevu.
Kwanza kabisa, nani kakwambia nina haja ya kuonekana mjuzi hapa?

Mimi nauliza maswali tu.

Maswali yangu hamjayajibu.

1. Ametabiri nini?

2. Ametabiri lini?

3. Unahakikishaje katabiri kabla na hajarejea baada ya tukio?

4. Unahakikishaje katabiri na hajapanga yeye?
 
Walete kati. Ushapagawa wewe
Unakimbia kujibu maswali.

1. Ametabiri nini?

2. Ametabiri lini?

3. Unahakikishaje katabiri kabla na hajarejea baada ya tukio?

4. Unahakikishaje katabiri na hajapanga yeye?
 
Brother, nimetuma link kama uthibitisho, au YouTube algorithms zinadanganya? Hiyo ni miezi minne kabla, si Leo Wala Jana kaka yangu
1. Ametabiri nini?

2. Ametabiri lini?

3. Unahakikishaje katabiri kabla na hajarejea baada ya tukio?

4. Unahakikishaje katabiri na hajapanga yeye?
 
Unakimbia kujibu maswali.

1. Ametabiri nini?

2. Ametabiri lini?

3. Unahakikishaje katabiri kabla na hajarejea baada ya tukio?

4. Unahakikishaje katabiri na hajapanga yeye?
OK basi kama ni ushamba subiri nikutumie link hii hapa.

View: https://youtu.be/Ey0qVzG8_vU?si=1ePlC37_U8EGcrd7Haya
1. Ametabiri vingi, lakini hoja ya mezani ni kuwa Trump atakoswakoswa na risasi ya sikio (akiwa amelishika sikio la kulia) risasi ambayo ilipita cms away kupasua kichwa na kupiga sikio. Cha ajabu zaidi nimeona ni miniseconds kabla ya risasi haijafyatua ubongo wake, ttukuletee picha ya mjongeo ya Trump jinsi alivyonusurika kufa?
2. Nikiangalia hiyo video ni zaidi ya miezi mitatu, wewe Kiranga una lipi la kusema juu ya hili, au Youtube nayo inahujumiwa?
3. Hapa jitafakari kisha utajijibu mwenyewe
4. Alietabiri na alietenda tukio ni watu wawili tofauti, hawana mahusiano hata kidogo, tusubiri ripoti ya kiuchunguzi.
 
Hivi wewe hujui kwamba Youtube video inaweza kuwa edited?

Yani kitendo kwamba aliyetabiri na aliyetenda kitendo (ambaye ameshauawa) ni watu wawili tofauti kishakukubalisha kwamba hawananuhusiano?
 
Hivi wewe hujui kwamba Youtube video inaweza kuwa edited?

Yani kitendo kwamba aliyetabiri na aliyetenda kitendo (ambaye ameshauawa) ni watu wawili tofauti kishakukubalisha kwamba hawananuhusiano?
Hehehe haya sasa ndio maajabu ya Kiranga, nitakufundisha kanuni hii, pale unapoona umeharibu kaa kimya, maana kadri unavyozidi kujitutumua ndivyo unavyozidi kudhalilika, haya basi tuonyeshe metadata za video hii ikionyesha kuwa hii ni edited video tuonyeshe pia original source ya video amabyo ni prior kabla ya tukio la shambulizi kutokea. Maana tunaweza kwenda kuishtaki Youtube na kulipa mabilioni ya fedha (wewe Kiranga ni popoma na pia ni layman, hutaweza kuelewa hili).
Hoja ya pili, pia ni upumbavu wa kiwango cha SGR, sikutegemea ungejibu hivi, lakini msingi wa hoja jamaa kaeleza kwamba construction ya hoja na tukio lililotokea linashabihiana, kulenga sikio na kutopiga kichwa si kitu kinachowezekana (nearly impossible) kwa sababu ya ushahidi uliokuwepo wa kimazingira. Wee sasa unaanza kutengeneza mwanya wa huenda kitu ambacho umekuwa ukikipinga muda wote.
Ashukuriwe Muumba wa vyote duniani na ardhini, umeingia kingi ya kifalsafa, hautaweza kung"amua ila werevu wameshakujua.
 
1. Ametabiri nini?

2. Ametabiri lini?

3. Unahakikishaje katabiri kabla na hajarejea baada ya tukio?

4. Unahakikishaje katabiri na hajapanga yeye?
 
1. Ametabiri nini?

2. Ametabiri lini?

3. Unahakikishaje katabiri kabla na hajarejea baada ya tukio?

4. Unahakikishaje katabiri na hajapanga yeye?
Too disappointed kaka. Basi Mimi sina cha kukujibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…