Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Hiyo ni statistical projection tu.Inaweza isiwe ni utabiri, lakini hii scenario utaiitaje?
Ni kama vile unavyoweza kumwambia mkulima anayeishi sehemu yenye nyoka wengi na kufanya kazi vichakani kuwa katika maisha yake kuna uwezekano siku moja akagongwa na nyoka.
It is a matter of statistical projection.
Mimi nimeshangaa Trump kawezaje kumaliza urais miaka minne bila kupigwa risasi. Nimeshangaa sana.