kante mp2025
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 631
- 1,192
Utumishi wako fair sana ukianguka jipange upya na kufanya maandalizi ya kutosha ili nawe uwe selected for oral hata mimi nishawahi walaumu sana utumishi nikagundua lawama hazisaidia nikapambana kujua wapi nakosea ili nisimame tena na bado nina imani na utumishi japo nililiwa kichwaHawako sahihi.
Inasikitisha sana mkuu πIla wewe jamaa,
Mwanzoni nilikuwa hivo pia baada ya kutoka kwenye paper tu hata kabla ya matokeo ila sa hivi nawaheshimu sana na nina imani ipo siku nitapata kazi kupitia sekretarieti ya ajiraMtoa mada akishafanya usaili kadhaa kutoka utumishi na kuwaelewa bc atakuja kufuta huu uzi wake, mm pia nilikuwa siwaelewi ila baada ya muda nikawaelewa.
Sasa hv huyu mtoa mada hata umwambie nn bado hawezi kukuelewa.
Ww endelea kulalamika tuu badala ya kutafuta mbinu za kutoboa na kukubali kuwa mwanzo ulikosea, endelea kukaza kichwa hvy hvy.Swali lako sijaliona mkuu. Halafu maswali yalikuwa yamekosea( hayaeleweki) nani mwenye kosa msahiliwa akifail?
Utumishi ndo sisi wnyw tunaokujibu mana ht sisi tumepitia huko kama ww uliyoyapitia na tulilalamika hv hv kama ww unavyolalamika sasa hv ila baadae tukaelewa mambo yanavyokwenda so ht tukienda usaili na tukifeli hatuwezi kulalamika mana tumeshajua mambo yalivyoNatamani Sana utumishi wanijibu hili swali langu.
Mm mwnyw bado nna imani nao, hawa waalimu bado wageni ndo mana wanaumia ila sisi wa kozi nyngn tushazoea hvy hakuna kulalamika.Mwanzoni nilikuwa hivo pia baada ya kutoka kwenye paper tu hata kabla ya matokeo ila sa hivi nawaheshimu sana na nina imani ipo siku nitapata kazi kupitia sekretarieti ya ajira
Nmekuelewesha ila bado unakaza kichwa.Sijalalamika mkuu, nataka tu kujua.
Mkuu unawatetea Sana CCM. Sijajua ni KwaniniUtumishi ndo sisi wnyw tunaokujibu mana ht sisi tumepitia huko kama ww uliyoyapitia na tulilalamika hv hv kama ww unavyolalamika sasa hv ila baadae tukaelewa mambo yanavyokwenda so ht tukienda usaili na tukifeli hatuwezi kulalamika mana tumeshajua mambo yalivyo
Mbaga hivi kuudanganya mfumo wa ajira portal unafanyaje kama unataka kuomba kazi ambayo haiendani na ulichokisomea ila vina uhusiano fulani mfano maabara za viwandani na maabara za hosptalNmekuelewesha ila bado unakaza kichwa.
Kwahy unataka uwe database kwa kufanya Written tuu π database n kwa waliofaulu oral ila wakakosa nafasi kulingana na nafasi zilizohitajika πNimekuuliza Kulikuwa na ulazima Gani wa kuweka 50%? Si ingebaki siri Yao tu. Pia database maana ake nini
Uwe na usiku mwema mkuu, endelea kukaza kichwa hvy hvy.Ndiyo maana nikikuambia, hapa kuwa na haja ya kuweka 50% kama Sheria. Bali ingebaki tu siri yao
ππππwe mzee coy mzungu akuone akuchukueNimesema wafuate 50% tu basi, mengine yatafuata huko data base.