Mr Matt
Member
- Aug 26, 2026
- 5
- 12
Mwaka huu toka uanze mpaka sasa nimepiga oral 3,ila mpaka sasa hakuna iliyo blue tick.kwa uelewa wangu hizo oral zote nimepiga fresh tu kama wadau wengine walivyopiga.changamoto ni kwamba hatuitwi kazini
Nimepiga oral ya cooperative officer ii,Quality assurance officer ii na juzi nimepiga auditor officer ii mwajiri ni naot.nashindwa kuelewa shida iko wapi mpaka siitwi kazinl wazee
Mtusaidie wenzetu mnatumia mbinu gani au psrs wanatumia mbinu gani kuita watu kazini?
Asanteni sana