Utumishi wanaangalia vigezo gani kumpa mtu kazi?

Shida ya gen z hamna uvumilivu.

Nina mdogo wangu kafanya interview miaka 4 mfululizo na hakuitwa kazini, ila mwaka huu akapangiwa mahali ambako hata hakupafanyia interview.

Hivyo dogo tulia, haujui Mungu kakupangia lipi.
Ni mdogo wako au ni wewe?
 
RUSHWA RUSHWA

Mwaka huu toka uanze mpaka sasa nimepiga oral 3,ila mpaka sasa hakuna iliyo blue tick.kwa uelewa wangu hizo oral zote nimepiga fresh tu kama wadau wengine walivyopiga.changamoto ni kwamba hatuitwi kazini

Nimepiga oral ya cooperative officer ii,Quality assurance officer ii na juzi nimepiga auditor officer ii mwajiri ni naot.nashindwa kuelewa shida iko wapi mpaka siitwi kazinl wazee

Mtusaidie wenzetu mnatumia mbinu gani au psrs wanatumia mbinu gani kuita watu kazini?
Asanteni sana
Connection unaijua tafsiri yake?

Ndiyo hali halisi tuliyomo kwa sasa, ni kansa tunayoishi nayo.

Tukitaka kupona tukate kiungo tukiondoe tubakie na ulemavu, lakini ugonjwa tupone.
 
Sio kweli.
Mwaka jana nilimshawishi kijana wangu aombe kazi ya Uhasibu Taasisi X.
Akafanya maombi
Akaitwa Written
Akaitwa Oral
Mwaka huu ameitwa kazini.

Hajawahi kutoa hata senti moja hadi amepata kazi.
Huyo atakuwa alisomea kozi zisizoangaziwa kusomwa na wengi.

Vijana wanasotea ajira na kuadhirika sana mtaani, wala usibishe kwa jambo hili, rushwa zimetamalaki kwenye ajira asikuambie mtu.

Bahati ya bw. mdogo isikufanye ukawa mtetezi wa mfumo mbovu.
 
Wajitahidi kuboresha mtu akishafanya oral interview wawe wanampa taarifa kama kakosa kazi asichoke kujaribu Tena au kapata kuliko kukaa kimya miezi nenda Rudi hapa hawapo Sahihi ..

Maana ni haki ya Kila mtu kupata taarifa juu ya kile alichofanya na hii uonesha uwazi na uwajibikaji na jimbo ambalo lipo kabisa ndani ya kanuni zao Sasa sijui kwanini Huwa wanaamua kuivunja ..
 
Nafasi za kazi zipo 10
Waombaji wapo 5,000
Hata kwa kutoa rushwa unafikiri hao 5000 wote watachukuliwa?
 
Wajitahidi kuboresha mtu akishafanya oral interview wawe wanampa taarifa kama kakosa kazi asichoke kujaribu Tena au kapata kuliko kukaa kimya miezi nenda Rudi hapa hawapo Sahihi ..

Maana ni haki ya Kila mtu kupata taarifa juu ya kile alichofanya na hii uonesha uwazi na uwajibikaji na jimbo ambalo lipo kabisa ndani ya kanuni zao Sasa sijui kwanini Huwa wanaamua kuivunja ..
Wajitahidi kuboresha mtu akishafanya oral interview wawe wanampa taarifa kama kakosa kazi asichoke kujaribu Tena au kapata kuliko kukaa kimya miezi nenda Rudi hapa hawapo Sahihi ..

Maana ni haki ya Kila mtu kupata taarifa juu ya kile alichofanya na hii uonesha uwazi na uwajibikaji na jimbo ambalo lipo kabisa ndani ya kanuni zao Sasa sijui kwanini Huwa wanaamua kuivunja ..
Wawe wanatoa tu marks za oral,waliochaguliwa wanawekewa green colour, wa database wanawekewa let say yellow na waliofeli wanawekewa red
 
Wapi huko wanapofanya hivi ?? Mbona sijawahikuona wakielezea kwenye kanuni zao kuwa ukiona green color ujue upo data base ukiona yellow ujue umekosa ?

Mkuu au huu ni mitazamo wako binafsi ?
 
Umesoma ukaelewa?
 
Unalalamika sana kama vile sasa unajihesabia Haki, endelea kujiboresha kijana ..
Japo sijui lolote kuhusu utumishi😊
 
Back
Top Bottom