Sio kweli.RUSHWA RUSHWA
Sidhani kama huku Kuna Rushwa. Kuna watu wameitwa hata shilingi kumi hajatoa.RUSHWA RUSHWA
Mtoa mada comment yangu nii hii pia.Shida ya gen z hamna uvumilivu.
Nina mdogo wangu kafanya interview miaka 4 mfululizo na hakuitwa kazini, ila mwaka huu akapangiwa mahali ambako hata hakupafanyia interview.
Hivyo dogo tulia, haujui Mungu kakupangia lipi.
Hawa madogo jau sana.Mtoa mada comment yangu nii hii pia.
Naunga mkono hoja.1. Tuthibitishie kwamba washindani wako walifanya vibaya na wewe uliwazidi. Ukiweza kuthibitisha hapo, basi tutakupa sababu.
2. Wewe ungepata, mwenzako angekosa, na yeye angekuja kuuliza swali hilo hilo. Sasa tuambie wewe ungemjibu nini huyo aliyekosa kama wewe ungepata