inachangia Sana watu kutaka rushwa katika utumishi wao,Umbea, inakuhusu nini? pambana na ya kwako, mihahara ya watu haikuhusu. HuyuJiwe amewaondoa kufikiri kabia!
halafu Mikopo yenyewe Ni kununulia magari yasiyozalisha hahahah dah,Watu wameona wachukue chao mapema tutakatana mbele kwa mbele. Maana kutumbuliwa ni nje nje. Pia unaweza maliiza muda wako wa kazi kiinua mgongo chako kikawa nacho cha kusalandia kama demu wa kizanzibar.
we acha tu Ndugu,. mabenki yanashindana kukopesha watumishi, hivyo wanakwangua hadi Senti ya mwisho! almradi Chao kinarudi!Hapa JF kuna watu wazushi ukiwemo wewe Mleta mada. Kwa taarifa yako Mtumishi akikopa makato yakaathiri 1/3 ya Gross pay yake makato hayapitishwi kamwe na huo mkopo hauchukui ng'oo. Rejea taarifa ya CAG ya mwaka huu kipengele cha Mishahara huwezi kukuta hoja kama hiyo...
Umbea Ni kuongea Ukweli bila kuulizwa! nisamehe mkuufanya yako mkuu..acha umbea
Mshahara wangu basic 1,235,000/=. Lakini takehome bila mkopo wowote ni 890,000/=. Inayobaki yote yote ni makato mbalimbali. Kodi ya mapato peke yake 223,000/=. Nitaachaje kukopa na ku topup. Wewe una posho za ziada nje ya mshahara. Mimi zaidi ya kudaiwa michango ya mwenge na ujenzi wa sekondari za serikali, sina posho yoyote.Jana ijumaa nilikuwa napitia mafaili ya mishahara kwenye ofisi (X) ya umma!
Asilimia kubwa watumishi wa umma wamechukua Mikopo ya pesa nyingi kiasi wengine hukatwa hadi asilimia 98% ya mshahara yao!..
yaanWengi wanapata madhara kwasababu HESLB walipopandisha Makato kutoka 8% kwenda 15% hawakuzingatia Kama unabakiwa na 1/3. Hii ndio imefanya baadhi ya watumishi kuishi kwa shida Sana.
tatizo ni kutaka maendeleo ya mkato ghafla, mnakopa Hadi Senti ya mwishoMshahara wangu basic 1,235,000/=. Lakini takehome bila mkopo wowote ni 890,000/=. Inayobaki yote yote ni makato mbalimbali. Kodi ya mapato peke yake 223,000/=. Nitaachaje kukopa na ku topup. Wewe una posho za ziada nje ya mshahara. Mimi zaidi ya kudaiwa michango ya mwenge na ujenzi wa sekondari za serikali, sina posho yoyote.
Acha ujinga, fanya yako.
ahsante sana, nilikuwa nafahamu kitu kama hiki. tatizo kubwa sana linalotunyemelea/kutuharibu watu siku hizi ni kuwa wengi ni kama vile tupo katika ushindani wa kuanzisha mada ili tuwe labda wa kanza kusema hiko kitu.......matokeo ndo hivi tunaleta mada ambazo hazijachunguzwa kwa undani kabisaHapa JF kuna watu wazushi ukiwemo wewe Mleta mada. Kwa taarifa yako Mtumishi akikopa makato yakaathiri 1/3 ya Gross pay yake makato hayapitishwi kamwe na huo mkopo hauchukui ng'oo. Rejea taarifa ya CAG ya mwaka huu kipengele cha Mishahara huwezi kukuta hoja kama hiyo.
Kama yupo mtumishi wa aina hiyo anayekatwa mpaka kubaki na elfu 5 unayosema tatizo laweza kuwa ALISHUSHWA MSHAHARA AKIWA TAYARI KAKOPA na hivyo kuathiri uhalisia, ANAKATWA DENI LA SERIKALI KUREJESHA FEDHA ZA HASARA AU WIZI, AMEBADILISHWA CHEO AU TAASISI KUTOKA KIKUBWA KUJA KIDOGO.
Huko serikalini upo mfumo ambao hauwezi kuruhusu mtumishi kukopa zaidi ya 1/3 labda kama kwa sasa haupo lkn najua kwa sasa ndio uppo imara huenda kutokana na maendeleo ya ICT.
Mkuu usiwe mbishi! Mambo mengi Sana yenye utaratibu mbona yanafanyika kinyume na utaratibu?! au nikupe mifano mikubwa!?ahsante sana, nilikuwa nafahamu kitu kama hiki. tatizo kubwa sana linalotunyemelea/kutuharibu watu siku hizi ni kuwa wengi ni kama vile tupo katika ushindani wa kuanzisha mada ili tuwe labda wa kanza kusema hiko kitu.......matokeo ndo hivi tunaleta mada ambazo hazijachunguzwa kwa undani kabisa
kumbuka anaeomba mkopo ana influence kwa mwajiri wakeMkuu una wadhifa gani kufungua hadi strong room na kuanza kuperuzi mafaili ya watu?
Hata hivyo kwenye faili hakuna salary sleep, wewe umejuaje yote hayo?
Hivi kimantiki ruhusa ya kukopa na kuidhinisha mwisho wa kiwango cha kukopa si kinatolewa ns mwajiri?
Hapo mfanyakazi maskini ana kosa gani?
Ana influence sawa, lakini kuna sheria zinazombana mwajiri asiidhinishe mkopo zaidi ya 1/3 ya mshahara wa mfanyakazi.kumbuka anaeomba mkopo ana influence kwa mwajiri wake