Kuna watu wamechukua Mikopo mikubwa sana na ndani ya mkopo hiyo wameongeza mikopo mingine tena juu kwa juu (inaitwa TOP-UP)
Sipo hapa kumpangia mtu Matumizi ya Mikopo yake; lakini swali langu je hao watumishi wanaokatwa mishahara yao yote kwa mikopo wanaishije kwa kubakiwa na chenji kwenye AKAUNTI?
Naomba utumishi, wizara ya fedha na TAKUKURU pigeni marufuku Mikopo holela kwa watumishi umma haina afya kimaadili!
Hii nchi bwana....
Socialism kila mahali....
Socialism ilitokea kutokana na wivu kwa walionacho maana walitumia jasho lao kupata walichopata,na masikini kawa masikini sababu ya uzembe wake..
Kwavile masikini ni wengi,na wivu ni mwingi,wakaona wajenge dude linaloitwa serikali libebe mali za hawa wenye mali,wapewe wao bure!
Kwa hili,watu kukopa...unasema government knows whats best for people zaidi ya hao people wenyewe?
Alimradi kuna mutual agreement,na kikafanyika voluntary exchange bila coercision na within the laws of the country sidhani kuna mamlaka zaidi ya mtu binafsi kuamua!
Mtu kaamua kukopa kwa hiyari yake na anajua anachokifanya,then serikali inageuza watu wazima kama watoto ina decide how these people think and run their personal lives?
Watu wapo responsible for their own actions....wananchi wafundishwe how to run their lives and they are accountable for own actions only and not of others.....
Alikopa kwa kutokutumia akili consequences zimpate yeye yeye na familia yake,not others!
Oooh,akipata shida mfanyakazi serikali itapata hasara kupotelewa na mfanyakazi,jibu ni yes apotee ataajiriwa mwingine mwenye kujielewa....
Sijui rushwa itakua kubwa,kazi ya serikali ni kuchunguza na kufungulia wala rushwa kesi,sio kazi yako..ni kazi ya serikali hiyo!
Yaani wananchi washakua watoto sasa!