mliverpool
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 1,565
- 2,944
Hakuna kitu kama hicho,ni sheria kabisa makato ya mkopo hyatakiwi kuzidi 1/3 ya mshahara...,we acha tu Ndugu,. mabenki yanashindana kukopesha watumishi, hivyo wanakwangua hadi Senti ya mwisho! almradi Chao kinarudi!
mfano mtu mwenye mshahara wa laki sita, akikatwa mkopo laki nne, lakini mbili inakatwa katwa mifuko ya jamii na bodi ya Mikopo ya elimu kinachobaki hapo Ni Senti hakitoshi hata nauli kuja kazini!
umeona eeehUnashangaa kukatwa mshahara wote hiyo haitoshi watu wanakopa tena kwenye visakosi vya mitaani ambapo wanashikilia kadi ya benki, hivyo kinachobakia baada ya benk kukata nacho kinamezwa na sakosi.
Maisha ni magumu kuliko unavyoelewa.
Una hoja nzuri sanaJana ijumaa nilikuwa napitia mafaili ya mishahara kwenye ofisi (X) ya umma!
Asilimia kubwa watumishi wa umma wamechukua Mikopo ya pesa nyingi kiasi wengine hukatwa hadi asilimia 98% ya mshahara yao!
Kuna watu wamechukua Mikopo mikubwa sana na ndani ya mkopo hiyo wameongeza mikopo mingine tena juu kwa juu (inaitwa TOP-UP)
Sipo hapa kumpangia mtu Matumizi ya Mikopo yake; lakini swali langu je hao watumishi wanaokatwa mishahara yao yote kwa mikopo wanaishije kwa kubakiwa na elf 5 kwenye AKAUNTI?
Nimepitia salary slip nyingi watu wengi wanapokea hadi elfu kumi na mbili kwa mwezi!
Naomba utumishi, wizara ya fedha na TAKUKURU pigeni marufuku Mikopo holela kwa watumishi umma haina afya kimaadili!
kuna watu wabishi tu, sijui wanaona faida kubisha; Hawajui Kama Mikopo mikubwa inachangia Sana kupunguza uadilifu kwa watumishi wa umma!Mkuu una hoja nzuri sana, sema humu kuna mapepo ya kubisha kila kitu.
Ulichokiongea ni ukweli mtupu.
Mikopo inaweza kukufanya uwe maskini maisha yako yote. Ni kifungo.kuna watu wabishi tu, sijui wanaona faida kubisha; Hawajui Kama Mikopo mikubwa inachangia Sana kupunguza uadilifu kwa watumishi wa umma!
pia mishahara imewekwa kwa mahesabu maalum ili yamtoshe mwajiliwa kujikimu ili asipende rushwa, Sasa Kama anachukua mkopo pesa yote inakatwa unafikili atakataa rushwa? mbaya zaidi Mtumishi huyo ananunua gari hela ya mafuta unadhan Atapata wapi Kama si-kuforce rushwa au Umalaya?
kabisa mkuuMikopo inaweza kukufanya uwe maskini maisha yako yote. Ni kifungo.
Ila pia ukitaka kufanikiwa kwa haraka ni lazima ukope.
Maana yake ni nini? Kopa ukiwa na sababu na malengo. Hapo ndo watu wana feli na hapo ndo nchi zinafeli.
Unachosema upo sahihi,huko kwenye mafaili ndicho ulichokikuta,huku mtaani ndio balaa,kuna vikundi na vicoba.kuna watu wabishi tu, sijui wanaona faida kubisha; Hawajui Kama Mikopo mikubwa inachangia Sana kupunguza uadilifu kwa watumishi wa umma!
pia mishahara imewekwa kwa mahesabu maalum ili yamtoshe mwajiliwa kujikimu ili asipende rushwa, Sasa Kama anachukua mkopo pesa yote inakatwa unafikili atakataa rushwa? mbaya zaidi Mtumishi huyo ananunua gari hela ya mafuta unadhan Atapata wapi Kama si-kuforce rushwa au Umalaya?
Wabishi hawaelewi.. mtu benki kakopa 50% ya mshahara. Bado huku mtaani kwenye microfinance ana mkopo bado kwenye vikoba, bado amekopa kwa marafiki zake.Unachosema upo sahihi,huko kwenye mafaili ndicho ulichokikuta,huku mtaani ndio balaa,kuna vikundi na vicoba.
USHAURI:
Serikali iwakopeshe watumishi wake mikopo isiyo na riba ili wajikwamue na hali iliyowakuta ya upungufu mkubwa wa fedha katika kukabiliana na mahitaji yao.Pia Elimu ya ujasiria mali itolewe maeneo ya kazi kuwapa watumishi mbinu ya kujiongezea kipato.
wanataka Sijui Hadi tuanze kutajana humu!Wabishi hawaelewi.. mtu benki kakopa 50% ya mshahara. Bado huku mtaani kwenye microfinance ana mkopo bado kwenye vikoba, bado amekopa kwa marafiki zake.
Unakuta mtu ana mshahara wa milioni moja net. Lakini madeni ya mwezi si chini ya laki nane.
Jana ijumaa nilikuwa napitia mafaili ya mishahara kwenye ofisi (X) ya umma!
Asilimia kubwa watumishi wa umma wamechukua Mikopo ya pesa nyingi kiasi wengine hukatwa hadi asilimia 98% ya mshahara yao!
Kuna watu wamechukua Mikopo mikubwa sana na ndani ya mkopo hiyo wameongeza mikopo mingine tena juu kwa juu (inaitwa TOP-UP)
Sipo hapa kumpangia mtu Matumizi ya Mikopo yake; lakini swali langu je hao watumishi wanaokatwa mishahara yao yote kwa mikopo wanaishije kwa kubakiwa na elf 5 kwenye AKAUNTI?
Nimepitia salary slip nyingi watu wengi wanapokea hadi elfu kumi na mbili kwa mwezi!
Naomba utumishi, wizara ya fedha na TAKUKURU pigeni marufuku Mikopo holela kwa watumishi umma haina afya kimaadili!
We mzushi hakuna anayeweza kuingiza makato ya mkopo yakakubali kwenye lawson below moja ya tatu labda yafanywe na hazinaMkuu usiwe mbishi! Mambo mengi Sana yenye utaratibu mbona yanafanyika kinyume na utaratibu?!
au nikupe mifano mikubwa!?
Taratibu za manunuzi ya serikali zinasemaje? mbona tunatekeleza miradi mingi kwa maagizo?
Hata kwenye mishahara Ni hivyo hivyo, waajili wanaidhina Mikopo ya watu hivyo hivyo juu kwa juu!
Halafu ukienda kuacha Kadi kwenye visacoss vya mitaani kuna watu wanajitia kushangaa. Mtoa mada Iko siku atapitia haya hatakuja kuandika mashudu.Mimi bodi ya mkopo waliponitia kidole nilibakiwa na 160,000/= hapo Nina mke na mtoto, kodi ya pango, nauli ya kazini na mengine mengi. Maisha yana siri nyingi sana
Acha kabisa nilitamani kwenda bodi niombe wanipunguzie makatoHalafu ukienda kuacha Kadi kwenye visacoss vya mitaani kuna watu wanajitia kushangaa. Mtoa mada Iko siku atapitia haya hatakuja kuandika mashudu.
Hii nchi bwana....Kuna watu wamechukua Mikopo mikubwa sana na ndani ya mkopo hiyo wameongeza mikopo mingine tena juu kwa juu (inaitwa TOP-UP)
Sipo hapa kumpangia mtu Matumizi ya Mikopo yake; lakini swali langu je hao watumishi wanaokatwa mishahara yao yote kwa mikopo wanaishije kwa kubakiwa na chenji kwenye AKAUNTI?
Naomba utumishi, wizara ya fedha na TAKUKURU pigeni marufuku Mikopo holela kwa watumishi umma haina afya kimaadili!
Wanakopa ili kujaza gaps zilizoachwa na private sectors kwenye chain ya uchumi.Kuna watu wamechukua Mikopo mikubwa sana na ndani ya mkopo hiyo wameongeza mikopo mingine tena juu kwa juu (inaitwa TOP-UP)