Utumwa katika picha: Hivi iliwezekana vipi? Mbona Waarabu, Wahindi, Wachina hawakufanywa slaves?

Utumwa katika picha: Hivi iliwezekana vipi? Mbona Waarabu, Wahindi, Wachina hawakufanywa slaves?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Unajua for most of us utumwa ni kama hadithi za kufikirika tu, ni ngumu sana kuamini kwamba eti mwarabu mmoja mwenye bunduki ya kipuuzi anaweza akateka watu 100 wenye akili zao, akawafunga minyororo wote na kuwasafirisha for miles bila shida yoyote ile, iliwezekanaje?

slaves510x492.gif
Watumwa ndani ya minyororo, wameridhiiika wenyewe, eti wanapigwa picha!

Mtoto mtumwa huko Zanzibar. Hapa anakula adhabu kali ya kusimama na gogo la kilo 30 kwenye jua kali bila viatu kwa muda usiopungua masaa 8 bila kula, hii ni kwa kosa la kimbwa sana sitalitaja hapa, linahusiana na yale mambo flani yale.

Hapa tunaona mbwa mmoja wa kizungu aliekuwa anaitwa T.H Williams akitoa tangazo linaloahidi donge nono la dollar 100 ya mwaka huo, (August 4, 1853) kwa yeyote atakaemrudisha mtumwa wake mrembo sana. Huyu binti Emily bila shaka alimlewesha kwa yale mambo yetu mpaka ana mtafuta kwa nguvu namna hii.

SlaveShackle_450x397.jpg

Hapa mtumwa akiwa kwenye maumivu makali sana. Sina uhakika sana, ila inawezekana alikuwa natengenezewa bangili ya kufungwa mnyororo, pia huyu mbwa wa kizungu inawezekana alikuwa anamtoboa enka, u neva know!

Hii picha ndio imenifanya nianze kupata majibu ya swali langu, yaani hao askari wanaowachunga wenzao kama ng'ombe wa maksai ni Waafrika wenzetu kabisa. Hapa ni kwenye shamba la mpira (rubber plantation) lililokuwa likimilikiwa na wabelgiji na hao ni wakongoman. Haya ni mambo ya kimbwa kabisa. hiki ndicho wanyanyasaji wanachotufanya watanzania kwa kutumika na watu wa pua ndefu na ndevu nyingi.

=========================
Update: 10/06/2023

Nawapenda sana jamii ya Oriental wachina Korea na Japan pamoja na dini zao za ajab ajab kama shinto na budha. Hawa watu hawakuwadhuru waafrika na hawana time. Nå dini zao za a jab ajab hazina chuki kwa wengine. Mizungu na miarab nimikatili sana. Dini zao walizotuletea hazijatufanya hata tuwe wema. Bali zimetufanya tuwe na zamb zaidi na kuwa MAAMUMA WALIOKUBUHU! Huitaj ushaid ujue hili. Pumbavv zetu waafrika weus! !!
Mzungu/Mwarabu hawezi akafanya lolote lile kwa faida ya mtu mweusi, sana sana ataficha ukweli na kukudanganya kwamba anakusaidia, ni uongo tu, CCM inabidi wazinduke, nafuu tuka-deal na wachina tu.
 
Nawapenda sana jamii ya Oriental wachina Korea na Japan pamoja na dini zao za ajab ajab kama shinto na budha. Hawa watu hawakuwadhuru waafrika na hawana time. Nå dini zao za a jab ajab hazina chuki kwa wengine. Mizungu na miarab nimikatili sana. Dini zao walizotuletea hazijatufanya hata tuwe wema. Bali zimetufanya tuwe na zamb zaidi na kuwa MAAMUMA WALIOKUBUHU! Huitaj ushaid ujue hili. Pumbavv zetu waafrika weus! !!

Wajapani waliwatawala wakorea pamaja na mataifa mengine ya asia nao vitendo vyao vilikuwa sawa na vya manyan'gau warabu+wazungu, soma historia.
 
Na support kauli ya mseven, Ndugu zetu walitawaliwa kwa sababu walikuwa wajinga,na hata sasa tunaendelea kutawaliwa hasa kiuchumi kwa sababu ya ujinga wetu wenyewe.tunajua kwamba ukiweza kutawaliwa kiuchumi hata nyanja zingine huwezi kuchomoka hata kwa dawa.

Tatizo Waafrika hututumii comparative advantage tuliyo nayo katika resource zetu na vitu ambavyo tunaweza kutengeneza.pili hatuna ushikamano kama walivyo nao wao majaa kila kiongozi wa kiafrika yupo kwa uroho wa mali na uoga wa kuthubutu kuondoka kwenye huu mtego wa utumwa wa hao manyang'au labda siku bala zima liungane au nchi zote zenye wafrika ziungane, lasivyo hadi mwisho wa dunia itakuwa hivi hivi.
 
Ila jamani mimi niliishi Uarabuni miaka 3. Kiukweli waarabu wengi hawana u binadamu hasa kwa mtu mweusi. Bado wanaona mtu mweusi ni mtumwa tu. Nimeshuhudia mabinti wengi wadogo kutoka Africa hasa kutoka Ethiopia wanapoletwa uarabuni, ukiwakuta Airport kwakweli utaguswa tu maana nilishuhudia walikuwa kama 50 wanaongozwa kama ng, ombe na waliingizwa kwenye chumba kimoja nakufungiwa kumsubiria wakala aliyewaleta ili aje akamilishe taratibu za immigration halafu awagawe kwa watu walioweka order ya House girl.

Na kinachofanyika huyo Agent anachukuwa Passport zao ili wasiweze kutoroka. Hivyo hata apate mateso kiasi gani hataweza kuondoka hadi wakala aliyewaleta akubali. Na hata maslahi yake yote yanalipwa kwa huyo wakala ndipo alipwe yeye kiasi atakachopangiwa na huyo wakala.

Nilikuta kesi nyingi za nyuma za kuteswa na wengine kufariki kwakutupwa ngorofani na wake za matajiri zao wanapokuwa na hisia kuwa huenda wakafanya mapenzi na waume zao. Na kwavile nimeshaishi na wazungu basi kwa mtazamo wangu naona angalau Mzungu anathamini Utu na ubinadamu hata kama atakunyonya. Pia tukumbuke kuwa japokuwa biashara ya utumwa iliwanufaisha wazungu na waarabu lakini ni wazungu ndio walioanzisha campaign yakukomesha biashara hiyo. Mwarabu hakuwa hata na wazo hilo
 
Nawapenda sana jamii ya Oriental wachina Korea na Japan pamoja na dini zao za ajab ajab kama shinto na budha. Hawa watu hawakuwadhuru waafrika na hawana time. Nå dini zao za a jab ajab hazina chuki kwa wengine. Mizungu na miarab nimikatili sana. Dini zao walizotuletea hazijatufanya hata tuwe wema. Bali zimetufanya tuwe na zamb zaidi na kuwa MAAMUMA WALIOKUBUHU! Huitaj ushaid ujue hili. Pumbavv zetu waafrika weus! !!

Well said mkuu! Sitaki kuongeza neno lolote nitaharibu maandishi yako.
 
Huwezi kuwa mkweli ikiwa hutataja warabu ambao diyo walikuwa makatili na vinara wa kuchukua watumwa East Aafrica. Kinyume cha hapo, una agenda zako binafsi zisizo na maslahi wala tija kwa taifa.

Tena yapasa kujiuliza hao watumwa kibao kutoka EAST AFRICA na kusafirishwa kwa majahaz kwenda kwa majini magaidi KIZAZI CHAO KIPO WAPI? Mbona wa west africa kizazi chao kipo America? Historians naomba mnijibu.
 
Na wale Wamarekani weusi asili yao ni wapi? Wazungu waliwachukua kwa maelfu mpaka wakashindwa pakuwaweka. Malcolm X kaongelea mengi ila tunashindwa kujifunza.
 
Back
Top Bottom