Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote wote wabaya tu, sio Mwarabu wala mzungu! kwani wazungu walipochukua watumwa walikuwa bado hawajawa Wakristo au?!
wote wote wabaya tu, sio mwarabu wala mzungu! kwani wazungu walipochukua watumwa walikuwa bado hawajawa wakristo au?!
shetan ni shetan tu, awe mweupe au mwekundu ni shetan tu, wazungu walikataza utumwa baada ya kugunduliwa kwa viwanda!!
Sasa si nafuu ya hii.., kuliko ambae hata hajishughulishi kutafuta alternative..., anaona sawa tu..shetan ni shetan tu, awe mweupe au mwekundu ni shetan tu, wazungu walikataza utumwa baada ya kugunduliwa kwa viwanda!!
Born slaves..., i fear its true..., Lord's decree!Naamini Mungu aliumba waafrika kuwa watumwa, kama sasa ilivyo. Tuna kila kitu ila hatuwezi kuchukua hatua...
tena yapasa kujiuliza hao watumwa kibao kutoka EAST AFRICA na kusafirishwa kwa majahaz kwenda kwa majini magaidi KIZAZI CHAO KIPO WAPI??? mbona wa west africa kizazi chao kipo america?? historians naomba mnijibu
hawakupata tu nafasi. jamii nyingi duniani zimepitia utumwa sema weusi tumepitia hivi karibuni. unafikiri mnara wa babeli, mapiramidi ya misri na mexico, great wall of china na mahekalu ya wabudha na wahindu yangejengeka bila watumwa?.Nawapenda sana jamii ya Oriental wachina Korea na Japan pamoja na dini zao za ajab ajab kama shinto na budha. Hawa watu hawakuwadhuru waafrika na hawana time. Nå dini zao za a jab ajab hazina chuki kwa wengine. Mizungu na miarab nimikatili sana. Dini zao walizotuletea hazijatufanya hata tuwe wema. Bali zimetufanya tuwe na zamb zaidi na kuwa MAAMUMA WALIOKUBUHU! Huitaj ushaid ujue hili. Pumbavv zetu waafrika weus! !!
haiwezekani kupinga utumwa kwa kutumia bible. wamarekani hii hoja iliwashinda hadi wakaingia kwenye civil war.wote wote wabaya tu, sio mwarabu wala mzungu! kwani wazungu walipochukua watumwa walikuwa bado hawajawa wakristo au?!
Wana CHADEMA aanalijua zaidi, waulize.Sina agenda yoyote..., ila kiukweli ni kwamba waafrika bado ni watumwa..., waulize CCM watakuambia ni kweli au sio...
tena yapasa kujiuliza hao watumwa kibao kutoka EAST AFRICA na kusafirishwa kwa majahaz kwenda kwa majini magaidi KIZAZI CHAO KIPO WAPI??? mbona wa west africa kizazi chao kipo america?? historians naomba mnijibu
Unajua for most of us utumwa ni kama hadithi za kufikirika tu.., ni ngumu sana kuamini kwamba eti mwarabu mmoja mwenye bunduki ya kipuuzi anaweza akateka watu 100 wenye akili zao, akawafunga minyororo wote na kuwasafirisha for miles bila shida yoyote ile.., iliwezekanaje..????!!!
![]()
Watumwa ndani ya minyororo.., wameridhiiika wenyewe..., eti wanapigwa picha!
![]()
Mtoto mtumwa huko Zanzibar.., hapa anakula adhabu kali ya kusimama na gogo la kilo 30 kwenye jua kali bila viatu kwa muda usiopungua masaa 8 bila kula..., hii ni kwa kosa la kimbwa sana sitalitaja hapa.., linahusiana na yale mambo flani yale..
![]()
Hapa tunaona mbwa mmoja wa kizungu aliekuwa anaitwa T.H Williams akitoa tangazo linaloahidi donge nono la dollar 100 ya mwaka huo, (August 4, 1853) kwa yeyote atakaemrudisha mtumwa wake mrembo sana. Huyu binti Emily bila shaka alimlewesha kwa yale mambo yetu mpaka ana mtafuta kwa nguvu namna hii.
![]()
Hapa mtumwa akiwa kwenye maumivu makali sana. Sina uhakika sana.., ila inawezekana alikuwa natengenezewa bangili ya kufungwa mnyororo.., pia huyu mbwa wa kizungu inawezekana alikuwa anamtoboa enka.., u neva know..!![]()
Hii picha ndio imenifanya nianze kupata majibu ya swali langu.., yaani hao askari wanaowachunga wenzao kama ng'ombe wa maksai ni waafrika wenzetu kabisa...!!! hapa ni kwenye shamba la mpira (rubber plantation) lililokuwa likimilikiwa na wabelgiji na hao ni wakongoman..., haya ni mambo ya kimbwa kabisa. hiki ndicho CCM wanachotufanya watanzania kwa kutumika na watu wa pua ndefu na ndevu nyingi..!