Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Hivi kwa nini utumwa unasemwa duniani ni wa waafrika tu? Katika Biblia Takatifu tunasoma Waisrael walikuwa watumwa kwa miaka 400 kule Misri. Au ule utumwa una tofauti gani na wa sisi waafrika mpaka dunia ukiongelea utumwa tu kila mtu anafikiria waafrika?
Aisee ni kweli,hata mimi nashangaaHivi kwa nini utumwa unasemwa duniani ni wa waafrika tu? Katika Biblia Takatifu tunasoma Waisrael walikuwa watumwa kwa miaka 400 kule Misri. Au ule utumwa una tofauti gani na wa sisi waafrika mpaka dunia ukiongelea utumwa tu kila mtu anafikiria waafrika?
Kama tunavyowashangaa wahenga wetu na tukishakuwa wahenga kadhalika kizazi kijacho kitatushangaaKila kizazi kina changamoto zake. Mbona kizazi chetu kimeshindwa kujinasua kwenye lindi la umasikini ingawa tuna rasilimali za kutukuka? Mbona tunaendelea kuchagua viongozi wala rushwa na mafisadi wakati tunajua hawatatuletea maendeleo? Kiufupi tuna fanya madudu mengi sana......ingawa tuna utasikilizwa WA kuamua tofauti. Kwa hiyo usishangae vizazi vya baadae kutushangaa tulikuwa tunatumia akili gani......ndo maana hata hao ndugu zetu watumwa tusiwalaumu......ni changamoto ya kizazi chao waliyokumbana nayo.
Nakupa tano mkuu... Unapokuwa ndani ya jamii kwa wakati huo bila ya kuelimishwa Kuna uwezekano mkubwa kitu cha ajabu kisicho cha kawaida huonekana ni cha kawaida tu. Ila muda ukipata na uelewa kuongezeka ndipo mshangao huja.. Kwa nn tulifanya hivi!Kila kizazi kina changamoto zake. Mbona kizazi chetu kimeshindwa kujinasua kwenye lindi la umasikini ingawa tuna rasilimali za kutukuka? Mbona tunaendelea kuchagua viongozi wala rushwa na mafisadi wakati tunajua hawatatuletea maendeleo? Kiufupi tuna fanya madudu mengi sana......ingawa tuna utasikilizwa WA kuamua tofauti. Kwa hiyo usishangae vizazi vya baadae kutushangaa tulikuwa tunatumia akili gani......ndo maana hata hao ndugu zetu watumwa tusiwalaumu......ni changamoto ya kizazi chao waliyokumbana nayo.
Maneno haya yanadhihirisha kuwa utumwa haukuletwa na wakoloni:
Kabla ya wakoloni kuja, Mukama alikuwa absolute ruler, kwa maana kwamba, neno lake lilikuwa ni sheria na ardhi yote ilikuwa ni mali yake.Kadhalika hata watu, mifugo na misitu vyote vilikuwa ni mali zake.
Yanapatikana hapa: Ijue historia ya Wahaya wa Kiziba ''Wenye Kagera Yao''
Museveni ni kati ya viongozi wa kiafrica wasio na mipango yoyote ya maana kwa nchi zao .Na support kauli ya mseven, Ndugu zetu walitawaliwa kwa sababu walikuwa wajinga,na hata sasa tunaendelea kutawaliwa hasa kiuchumi kwa sababu ya ujinga wetu wenyewe.tunajua kwamba ukiweza kutawaliwa kiuchumi hata nyanja zingine huwezi kuchomoka hata kwa dawa.tatizo wafrika hututumii comparative advantage tuliyo nayo katika resource zetu na vitu ambavyo tunaweza kutengeneza.pili hatuna ushikamano kama walivyo nao wao majaa kila kiongozi wa kiafrika yupo kwa uroho wa mali na uoga wa kuthubutu.kuondoka kwenye huu mtego wa utumwa wa hao manyang'au labda siku bala zima liungane au nchi zote zenye wafrika ziungane,lasivyo hadi mwisho wa dunia itakuwa hivi hivi.
Hivi kwanini Chifu mkwawa alipigana vita na wajerumani?
Kati ya wareno na waarabu nani alikua mwenye roho mbaya,acha kukariri ww dogoHuwezi kuwa mkweli ikiwa hutataja warabu ambao diyo walikuwa makatili na vinara wa kuchukua watumwa East Aafrica. Kinyume cha hapo, una agenda zako binafsi zisizo na maslahi wala tija kwa taifa.
Bora mwarabu kuliko mzungu,anakufyonza damu yako huku anapuliza pasipo kujijua.Mzungu/Mwarabu hawezi akafanya lolote lile kwa faida ya mtu mweusi.., sana sana ataficha ukweli na kukudanganya kwamba anakusaidia..., ni uongo tu.., CCM inabidi wazinduke..., nafuu tuka-deal na wachina tu..,
Kati ya wareno na waarabu nani alikua mwenye roho mbaya,acha kukariri ww dogo
Kati ya wareno na waarabu nani alikua mwenye roho mbaya,acha kukariri ww dogo
waliwatawala mpaka wachina etwajapani waliwatawala wakorea pamaja na mataifa mengine ya asia nao vitendo vyao vilikuwa sawa na vya manyan'gau warabu+wazungu,soma historia