Utumwa katika picha: Hivi iliwezekana vipi? Mbona Waarabu, Wahindi, Wachina hawakufanywa slaves?

Utumwa katika picha: Hivi iliwezekana vipi? Mbona Waarabu, Wahindi, Wachina hawakufanywa slaves?

Hivi kwa nini utumwa unasemwa duniani ni wa waafrika tu? Katika Biblia Takatifu tunasoma Waisrael walikuwa watumwa kwa miaka 400 kule Misri. Au ule utumwa una tofauti gani na wa sisi waafrika mpaka dunia ukiongelea utumwa tu kila mtu anafikiria waafrika?
Aisee ni kweli,hata mimi nashangaa
 
Kila kizazi kina changamoto zake. Mbona kizazi chetu kimeshindwa kujinasua kwenye lindi la umasikini ingawa tuna rasilimali za kutukuka? Mbona tunaendelea kuchagua viongozi wala rushwa na mafisadi wakati tunajua hawatatuletea maendeleo? Kiufupi tuna fanya madudu mengi sana......ingawa tuna utasikilizwa WA kuamua tofauti. Kwa hiyo usishangae vizazi vya baadae kutushangaa tulikuwa tunatumia akili gani......ndo maana hata hao ndugu zetu watumwa tusiwalaumu......ni changamoto ya kizazi chao waliyokumbana nayo.
Kama tunavyowashangaa wahenga wetu na tukishakuwa wahenga kadhalika kizazi kijacho kitatushangaa
 
Ila kiukweli hawa wazungu, waarabu yaan jehanam inawahusu walikuja na din na kufanya vitu kinyume na maandiko walifanya uasi mkubwa kiasi kwamba si waamin hats wakihubiri in Mara kumi dini zetu za kiafrika
 
Haya mambo yanauma sana lakini kwenye historia inasema waliwachukua watumwa kutoka maeneo tofautitofauti ili isiwe rahisi kujiunga na kupambana utumwa.
 
Kila kizazi kina changamoto zake. Mbona kizazi chetu kimeshindwa kujinasua kwenye lindi la umasikini ingawa tuna rasilimali za kutukuka? Mbona tunaendelea kuchagua viongozi wala rushwa na mafisadi wakati tunajua hawatatuletea maendeleo? Kiufupi tuna fanya madudu mengi sana......ingawa tuna utasikilizwa WA kuamua tofauti. Kwa hiyo usishangae vizazi vya baadae kutushangaa tulikuwa tunatumia akili gani......ndo maana hata hao ndugu zetu watumwa tusiwalaumu......ni changamoto ya kizazi chao waliyokumbana nayo.
Nakupa tano mkuu... Unapokuwa ndani ya jamii kwa wakati huo bila ya kuelimishwa Kuna uwezekano mkubwa kitu cha ajabu kisicho cha kawaida huonekana ni cha kawaida tu. Ila muda ukipata na uelewa kuongezeka ndipo mshangao huja.. Kwa nn tulifanya hivi!
 
Waarabu walifanya biashara ya watumwa kwa kuwa wanunuzi walikuwa ni wazungu ndio maana hatuoni nchi ya watumwa kama zilivyo nchi nyingi za America kwa mfano Jamaica, Haiti, Brazil, Argentina n.k
 
Any one who is not confident, likes cheap and easy life and does not know his position in this world, can be a slave.
 
Hivi kwanini Chifu mkwawa alipigana vita na wajerumani?

Maneno haya yanadhihirisha kuwa utumwa haukuletwa na wakoloni:

Kabla ya wakoloni kuja, Mukama alikuwa absolute ruler, kwa maana kwamba, neno lake lilikuwa ni sheria na ardhi yote ilikuwa ni mali yake.Kadhalika hata watu, mifugo na misitu vyote vilikuwa ni mali zake.

Yanapatikana hapa: Ijue historia ya Wahaya wa Kiziba ''Wenye Kagera Yao''
 
Na support kauli ya mseven, Ndugu zetu walitawaliwa kwa sababu walikuwa wajinga,na hata sasa tunaendelea kutawaliwa hasa kiuchumi kwa sababu ya ujinga wetu wenyewe.tunajua kwamba ukiweza kutawaliwa kiuchumi hata nyanja zingine huwezi kuchomoka hata kwa dawa.tatizo wafrika hututumii comparative advantage tuliyo nayo katika resource zetu na vitu ambavyo tunaweza kutengeneza.pili hatuna ushikamano kama walivyo nao wao majaa kila kiongozi wa kiafrika yupo kwa uroho wa mali na uoga wa kuthubutu.kuondoka kwenye huu mtego wa utumwa wa hao manyang'au labda siku bala zima liungane au nchi zote zenye wafrika ziungane,lasivyo hadi mwisho wa dunia itakuwa hivi hivi.
Museveni ni kati ya viongozi wa kiafrica wasio na mipango yoyote ya maana kwa nchi zao .
 
Umeandika ukweli tulijatawala wenyewe hadi leo kuna watu wako hivyo kujipendekeza kwa viongozi na kuwanyanyasa walio chini yao
 
Huwezi kuwa mkweli ikiwa hutataja warabu ambao diyo walikuwa makatili na vinara wa kuchukua watumwa East Aafrica. Kinyume cha hapo, una agenda zako binafsi zisizo na maslahi wala tija kwa taifa.
Kati ya wareno na waarabu nani alikua mwenye roho mbaya,acha kukariri ww dogo
 
Mzungu/Mwarabu hawezi akafanya lolote lile kwa faida ya mtu mweusi.., sana sana ataficha ukweli na kukudanganya kwamba anakusaidia..., ni uongo tu.., CCM inabidi wazinduke..., nafuu tuka-deal na wachina tu..,
Bora mwarabu kuliko mzungu,anakufyonza damu yako huku anapuliza pasipo kujijua.
 
Dah watanzania bana 2napenda kulalama wakati cc ndiyo wabaguzi wa kumwaga. Ebu cheki Waarabu wako kimyaa wanaendeleza kujenga mataifa yao,,,,,,,cc 2mebaki kila day kuwalaumu na kuwasema vibaya.

WATANZANIA TUAMKE AISE,,,NA CO KILA CKU KULALAMA TU BILA ADVANTAGE YOYOTE.
 
Kati ya wareno na waarabu nani alikua mwenye roho mbaya,acha kukariri ww dogo

Wareno walikuwa na nia mbaya mno mkuu.kwa mtu anayeijuwa historia na asiekuwa na chuki kwa waarabu nazani ataeleza yote. Navyojua waarabu ndiyo walikuja kuwatimuwa hao wareno maana ilifikia hali mbaya wanataka kuikalia zanzibar kimabavu.

Waarabu yatakiwa 2wape heshima kubwa mno.
 
Mhuu nilisoma uchunguza wa nchi zenye wasomi zaid na weng afrika tzania hata kumi bora hatumo ni kias gani sie n vilaza wa mwisho duuuuu!!!
 
Kwani kipimo cha uzuri wa roho zenu waafrika ni nini? maana naona watu wamekazana kusema wazungu na waarabu wana roho mbaya.
 
Kati ya wareno na waarabu nani alikua mwenye roho mbaya,acha kukariri ww dogo

Dogog ni wewe!. Waarabu hadi leo ni maktili duniani hakuna, labda kwa sababu ni walemavu wa viungo kwa kuwa ni inbred. Hao wareno wanafanya nini? Usitafute faraja "waarabu na wafuasi wao ni mashetani na wataendelea kuwa mashsetani hadi watakapokiri kwamba ao ni mashetani na kutafuta mabadiliko".
 
Back
Top Bottom