Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Hivi kwa nini utumwa unasemwa duniani ni wa waafrika tu? Katika Biblia Takatifu tunasoma Waisrael walikuwa watumwa kwa miaka 400 kule Misri. Au ule utumwa una tofauti gani na wa sisi waafrika mpaka dunia ukiongelea utumwa tu kila mtu anafikiria waafrika?