Utumwa katika picha: Hivi iliwezekana vipi? Mbona Waarabu, Wahindi, Wachina hawakufanywa slaves?

Mwafrica atajikomboa mwenyewe sio mdhungu wala mavi ya UN !
Akili kumkichwa jamani ehhh!
Walahi so sad uwiii
 
Utumwa mpaka leo upo,huoni dada zetu wanapishana saluni kuweka mawiving na mawigi,tena utaskia wanajisifia kabisa kuwa ananunua nywele za laki sita,peruvian/brazilian sijui
 
Hii ni mipango ya mungu mwaafrika aliumbwa kuwa mtumwa,ndo maana tunaweza himili Hali ngumu,ila wazungu walijichanganya tu kutupatia elimu
 
Watumwa wakiwa katika 'ZOO' kama wanyama na wazungu wanakuja kuwaangalia
 
Historia iko wazi haijifichi japo wapo majuha wanaotaka iaminike vinginevyo:
1. Watumwa walikuwepo dunia nzima kwa kila kabila na ndio maana kulikuwa na ubwana na utwana.
2. Kwanini watumwa wa kiafrika hawako Arabuni? Watumwa walikuwa wakikamatwa na "machifu wao watukufu - mashujaa wetu!!!" Kisha wanawauza kwa Mwarabu (Agent) aliyewasafirisha hadi Bagamoyo kisha Zanzibar ambako Mzungu aliwachukua kuwapeleka kwenye uhitaji.
3. Manamba nao ulikuwa ni itumwa ila ni sifa njema tu
4. Wako watumwa wa kiarabu, kiyahudi, kihindi nk. pia walipelekwa utumwani lakini historia yetu inaishia Tanganyika...
Tukasome na tutulize akili zetu tutaelewa midundo na aina zake ndio maana mpaka leo tuko kwenye utumwa wa fikra
 
Huo ni mtazamo wako na chuki zako binafsi dhidi ya waarabu.
Umeandika kwa kuwa unajua kuandika tu lakini hukujibu na hukunipatia nilicho kihitaji.
Na sidhani kama unaweza kunipatia ukizingatia unasukumwa na mihemuko ya chuki
Utakuwa mwarabu wewe , nilipo waarabu wapo mna ubaguzi sana nyinyi watu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
U are either an Arab or an African -Arabic slave defending his master



Hakuna namna ya kusafisha waarabu kutokuhusika kwenye utumwa, unataka picha za miaka 1800 nani kakwambia kulikuwa na camera ,hebu punguza ujinga ragiki angu


Sisi Africa hatuendelei kwasababu hatupendi ukweli tena dini hizi zimetiharibu vichwa and I'm sure u are a Muslim thinking defending Arabs from slavery is defending Islam that's too awkward my friend



Biashara ya utumwa ilifanywa basically na sisi wenyeee waafrica tulikuwa tunachukuana watumwa tunauzana kama bidhaa hilo tulikubali kabla hatujaanza kulaumu wazungu na waarabu .
Pili,kama wazungu walivoshiriki katika biashara hii ndivyo waarabu walivoshiriki pia u don't need to defend them eti kisa were mkristo au muislam

Yani kama hizi dini zinawafanya mjitoe akili kuanza kutetea ma slave master wenu basi inabidi tuanze kuziangalia kwa jicho jingine zina lengo gani hasaa .

Nenda tabora huko kuna historia za kutosha tu zinazo prove waarabu walihusika in slavery you don't need to defend them in things so obvious




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea point mkuu
Mtu akili timamu kabisa anataka picha eti za miaka ya 1700 na 1800 camera zilikuwepo enzi hizo?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…