Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hujasema kuwa nikitu stahiki "" haya ulikuwa wamaanisha nini ??Soma vizuri kwa kutulia ndio utaelewa hakuna sehu nimesema ANAFANYA KITU STAHIKI.... usitunge maneno
Historia iko wazi haijifichi japo wapo majuha wanaotaka iaminike vinginevyo:
Watumwa wakiwa katika 'ZOO' kama wanyama na wazungu wanakuja kuwaangalia
View attachment 862762
Siyo powa mkuu just kuwa politeVipi mbona hujataja na mabwana zako wa kiarabu walivyowachukua wazee wetu huko Arabuni na kuwahasi kwa kuwabana sehem za siri ili wasizae na kuongezeka?!
Yaani utumwa mtupu..!Utumwa mpaka leo upo,huoni dada zetu wanapishana saluni kuweka mawiving na mawigi,tena utaskia wanajisifia kabisa kuwa ananunua nywele za laki sita,peruvian/brazilian sijui
Wanatubrainwash achana na sketches toa picha halisiumewahi soma barbary slave trade jinsi wazungu walikuwa watumwa africa kaskazini?
![]()
![]()
Utakuwa mwarabu wewe , nilipo waarabu wapo mna ubaguzi sana nyinyi watu,Huo ni mtazamo wako na chuki zako binafsi dhidi ya waarabu.
Umeandika kwa kuwa unajua kuandika tu lakini hukujibu na hukunipatia nilicho kihitaji.
Na sidhani kama unaweza kunipatia ukizingatia unasukumwa na mihemuko ya chuki
U are either an Arab or an African -Arabic slave defending his masterBecause it is not true that Arabs enslaved millions of Africans and.exported them.to slavery into Arabia if you read Zanzibar ots History and it People by W.H. Ingrams you will find that before 1917 Zanzibar that includes the whole Zenj Empire officially had a population of 5000 Arabs only and that includes old, women and children. How comes that they could heard about 15million Africans to slavery without any resistance or fight?
Recent research shows that the white people and especially the missioneries distorted the whole history of East Africa to appear that slavery by Arabs (Muslims) was so huge and rampant and that they were the only sarviours of the black people.
Now note thos photos you just took why you dont see an Arab owner beside his stock of slaves. Was it an Arab who would take those photos? Ask yourselves why in all history books there are not a single photograph that shows an Arab with the slaves except drawings? If course there were bad Arabs who enslaved people like Wazungu amd Wahindi but do not be fooled that it was an official trade as an establishment and organized thing.
In almost 500 years Oman was colonised by the Portuguess and Arabs were fighting for their freedom. Thanks to Imam Saif ibn Sultan Al Yaarubi who fought against and sunk 200 Portuguese Armadas at the Oman Coast the Omanis got their freedom. At that time the Portuguese were invading the East Coast of Africa, pillaging their lands and burning houses and rapping their females andhearding Africans like cattle taking them into slavery.
When the East Africans heard of the heroic victory of the Omanis they asked Saif Bin Sultan to come to their rescue where he did and went back to Oman and leaving East Africa to their own system of chiefdoms and small Sultanates like that of Kilwa and Tumbatu. So where do yo get this attrocities done by Arabs? Why doesn't Tanzania honour Abushir bin Salim or Moh'd Khalfan Rumaliza as heroes during Heroes Day of Uhuru celebrations? These Arabs led African revolts against the Germans who were doing the same thing Wareno did enslaving Africans?
Mkuu,
Waarabu waliitwa na wenyeji!?
Sasa ilikuwaje waarabu (wageni) wakawa mabwana chini ya uongozi wa sultani na wenyeji wakawa watwana!!?Kulitokea nini!!?
Na kama wenyeji walikuwa wamewaleta waarabu kuwakomboa dhidi ya makucha ya wareno,ilikuwaje wenyeji chini ya John Okello wakafanya mapinduzi(Zanzibar Revolution) ambao ulimfanya sultani akimbie visiwa vya Zanzibar!!?
Suala la kwamba hakuna muarabu aliyepigwa picha sio la kuzingatia kwa kuwa sote tunajua kuwa kwa wakati ule kamera hazikuwa kama simu hivyo wamiliki walikuwa wazungu tena wazito tu!
Nafikiri nyie ndio mnapotosha historia
Yani we jamaa unajielewa kweli unataka picha za karne ya 9 unaakili kweli??
Libya ndio kinaraBiashara ya utumwa ilikuwepo dunia nzima na haina taifa wala kabila na mpaka leo ipo duniani, imebadilika sura tu lakini inaendelea.