Utumwa katika picha: Hivi iliwezekana vipi? Mbona Waarabu, Wahindi, Wachina hawakufanywa slaves?

Hao wazungu pia walishawahi kuwa watumwa;

Refer hadithi ya Yusufu katika Biblia, aliuzwa na nduguze katika misafara ya watumwa, akaenda Misri.

Taifa la Israel lilikuwa Utumwani Misri kwa zaidi ya miaka 400.
 
upuuzi tu wacha kunikumbusha mababu zetu walivyofanya kazi bila hata malipo huku wakipewa kila aina ya mateso ifike kipindi tujifanye tumesahau kilichotokea huko enzi.......
 

Ina aminika bara Asia, ni Japan pele yake ambaye hakutawaliwa. Japan aliwafanya wachina na wakorea watumishi wake.
India walibanwa na waingereza. Ila hawakufikia hatua ya waafrika ya kubanwa kila upande
 
 
Duuh.., utaambiwa we ni mbaguzi wa rangi, unawabagua kisa wanarangi ya nguruwe..😅
Ndugu yangu, kutokana na thread yako bado hata sasa unaweza kuuliza: Hivi inakuwaje Mkuu wa Mkoa mmoja awaambie wakazi zaidi ya milioni 3 wa jiji kubwa kama Dar wasifungue maduka siku ya Jumamosi mpaka ifike saa 4 na wakakubali?
 
Ndugu yangu, kutokana na thread yako bado hata sasa unaweza kuuliza: Hivi inakuwaje Mkuu wa Mkoa mmoja awaambie wakazi zaidi ya milioni 3 wa jiji kubwa kama Dar wasifungue maduka siku ya Jumamosi mpaka ifike saa 4 na wakakubali?
Ndio katiba inasema hivyo..., sasa unataka kuipinga katiba nje ya bunge?
 
 
Mboni mambo ya kishenzi bado yapo mpaka leo! tena yanafanywa na ndugu wa Damu kabisa! bila wazazi kujua.
 
Hii miaka 5 imeturudisha kwenye ukoloni wa ccm maana adha walizokua wanapata mababu ndio hizihizi za kunyamazishwa midomo, kuteka kutesa kupiga risasi etc zinazofanywa na ccm
 
Tulivyoiweka imani yetu chini na kubeba yakwao ndipo tulipoitupa silaha yetu yakupambana nao.. Imani yetu katika mizimu ilishusha mvua katika jua, ikausimamisha upepo na waliogopa kuona hivyo.. Wakatuambia kuna dhambi kuamini vingine, wakatuonyesha picha ya yule wamuaminie nasi tukamwogopa, wakatupa nguzo zao nasi tukazikumbatia tukiamini ni za haki kufwata.. Wakatubatiza kwa majina yetu tukaitupa imani ikaenda na yale maji tukiamini kua ni dhambi na tutachomwa moto bila kujua kuwa moto unawashwa na viberiti vyao vilivyoandikwa kwenye vitabu vyao.. Walivyoona kua tumeweka silaha yetu ya kuabudu mizimu chini wakatupiga minyororo na kutuuza kama kuku kitanzini..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana nilipopata akili tu nikaachana na maswala ya dini, ni utumwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…