Utumwa katika picha: Hivi iliwezekana vipi? Mbona Waarabu, Wahindi, Wachina hawakufanywa slaves?

tena yapasa kujiuliza hao watumwa kibao kutoka EAST AFRICA na kusafirishwa kwa majahaz kwenda kwa majini magaidi KIZAZI CHAO KIPO WAPI??? mbona wa west africa kizazi chao kipo america?? historians naomba mnijibu

hawa waarab walikuwa ni wafanyabiasha (middlemen) ya watumwa kwahiyo waliwauza sekta zenye kuwahitaj kama kwenye viwanda, mashamba, n.k kwa kadir ya mahitaj ya nchi husika hivyo hawa hawakuwa wanawachukua kwaajili ya matumiz yao ila ni kwenda kuwauza kutokana na sehem kubwa ya uarabun ni jangwa hivyo mashamba ni shida
 
hawakupata tu nafasi. jamii nyingi duniani zimepitia utumwa sema weusi tumepitia hivi karibuni. unafikiri mnara wa babeli, mapiramidi ya misri na mexico, great wall of china na mahekalu ya wabudha na wahindu yangejengeka bila watumwa?.
 
wote wote wabaya tu, sio mwarabu wala mzungu! kwani wazungu walipochukua watumwa walikuwa bado hawajawa wakristo au?!
haiwezekani kupinga utumwa kwa kutumia bible. wamarekani hii hoja iliwashinda hadi wakaingia kwenye civil war.
 
tena yapasa kujiuliza hao watumwa kibao kutoka EAST AFRICA na kusafirishwa kwa majahaz kwenda kwa majini magaidi KIZAZI CHAO KIPO WAPI??? mbona wa west africa kizazi chao kipo america?? historians naomba mnijibu

Hao waliuawa na walihasiwa pia wanawake hawakupelekwa huko uarabuni.
 
Yaliyopita si ndwele, tugange yaliyopo na yajayo.
 
A very deep thread, I hope itakua sticky

Tuna issues kwenye ubongo mkuu

I have always been asking myself, how come mwarabu mmoja au wawili wanaswaga watu mia?? lakini angekua mbantu ndio anaswaga wenzake, wangemgeuka na kumla nyama

We ahve demostrated a lot of inferiority kiasi kwamba ni vigumu kuamini kama we are not inferior
 

Ulianza vizuri lakini kwa kuitaja CCM , unakusudia kujenga chuki miongoni mwa wananchi na nadhani unastahili kushughulikiwa na wanaodeal na wahaini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…