Utumwa katika picha: Hivi iliwezekana vipi? Mbona Waarabu, Wahindi, Wachina hawakufanywa slaves?


Naona umekurupuka tu bila hata kushirikisha ubongo ipasavyo.

Hivi huoni kwamba wewe unayejidai kulijua lengo la mleta mada wakati siyo mleta mada ndo utakuwa mwehu?

Halafu hivi mtu kuonesha mategemeo yake kutoka kwa wachangiaji kutokana na vile alivyoelewa mada ni lazima awe ameianzisha yeye?

Halafu hebu nioneshe wapi nilipolazimisha.

Halafu sijui wapi nimeandika nilitegemea italetwa thread na namna hii?

We jamaa ni tatizo zaidi ya vile unavyoniona mimi ni tatizo na mbaya zaidi nyie wehu huwa hamjijui na mnapoambiwa huwa wabishi.

The greatest problem with the world is that the fools are full of confidence while the intelligent people are full of doubts"

Hivi mtu kutegemea mvua itanyesha lazima awe yeye ndo anaitegeneza? ARE YOU MAD?
Huwezi kubashiri kwa kuangalia mawingu?
 

wakuu mbana mnaenda offtopic, rudini kwenye mada , ugomvi wa nini
 
wakuu mbana mnaenda offtopic, rudini kwenye mada , ugomvi wa nini

Mkuu

Mtu anapoku-misquote ni lazima uweke mambo sawa pasi kuangalia utakuwa nje ama ndani ya mada.

We mwenyewe badala ya kujikita kwenye mada umeishia kuwa Kofi Annan(ndio uungwana)

Umesomeka hata hivyo.
 
tena yapasa kujiuliza hao watumwa kibao kutoka EAST AFRICA na kusafirishwa kwa majahaz kwenda kwa majini magaidi KIZAZI CHAO KIPO WAPI??? mbona wa west africa kizazi chao kipo america?? historians naomba mnijibu

Because it is not true that Arabs enslaved millions of Africans and.exported them.to slavery into Arabia if you read Zanzibar ots History and it People by W.H. Ingrams you will find that before 1917 Zanzibar that includes the whole Zenj Empire officially had a population of 5000 Arabs only and that includes old, women and children. How comes that they could heard about 15million Africans to slavery without any resistance or fight?
Recent research shows that the white people and especially the missioneries distorted the whole history of East Africa to appear that slavery by Arabs (Muslims) was so huge and rampant and that they were the only sarviours of the black people.

Now note thos photos you just took why you dont see an Arab owner beside his stock of slaves. Was it an Arab who would take those photos? Ask yourselves why in all history books there are not a single photograph that shows an Arab with the slaves except drawings? If course there were bad Arabs who enslaved people like Wazungu amd Wahindi but do not be fooled that it was an official trade as an establishment and organized thing.

In almost 500 years Oman was colonised by the Portuguess and Arabs were fighting for their freedom. Thanks to Imam Saif ibn Sultan Al Yaarubi who fought against and sunk 200 Portuguese Armadas at the Oman Coast the Omanis got their freedom. At that time the Portuguese were invading the East Coast of Africa, pillaging their lands and burning houses and rapping their females andhearding Africans like cattle taking them into slavery.

When the East Africans heard of the heroic victory of the Omanis they asked Saif Bin Sultan to come to their rescue where he did and went back to Oman and leaving East Africa to their own system of chiefdoms and small Sultanates like that of Kilwa and Tumbatu. So where do yo get this attrocities done by Arabs? Why doesn't Tanzania honour Abushir bin Salim or Moh'd Khalfan Rumaliza as heroes during Heroes Day of Uhuru celebrations? These Arabs led African revolts against the Germans who were doing the same thing Wareno did enslaving Africans?
 

Huu ndio ukweli,lakini historia inapotoshwa.Waarabu waliitwa na wenyeji kuja kuwakomboa kutoka makucha ya kireno.
 

Silence is the best option when you can't think of a good answer,
 
Silence is the best option when you can't think of a good answer,

Ndo umelijua sasa hivi hili?

Usiwe unachokoza siafu kama huna nyasi kavu.

Silence is the defensive mechanism for the fools and it's a war crime.
 
Mkuu

Mtu anapoku-misquote ni lazima uweke mambo sawa pasi kuangalia utakuwa nje ama ndani ya mada.

We mwenyewe badala ya kujikita kwenye mada umeishia kuwa Kofi Annan(ndio uungwana)

Umesomeka hata hivyo.

sorry mkuu lakini niliona mada nzuri kama hii inayumbishwa, anyway kuna mkuu mmoja anasema waarabu wanaonewa na kuwa wao hawakujihusisha na slave trade!naomba kufafanuliwa hili pia naomba maelezo kutoka kwa wajuzi wa historia ya wanyamwezi kuwa vita kati ya mirambo na waarabu wa znz ilitokana na nini?
 
Huu ndio ukweli,lakini historia inapotoshwa.Waarabu waliitwa na wenyeji kuja kuwakomboa kutoka makucha ya kireno.

Mkuu,

Waarabu waliitwa na wenyeji!?
Sasa ilikuwaje waarabu (wageni) wakawa mabwana chini ya uongozi wa sultani na wenyeji wakawa watwana!!?Kulitokea nini!!?

Na kama wenyeji walikuwa wamewaleta waarabu kuwakomboa dhidi ya makucha ya wareno,ilikuwaje wenyeji chini ya John Okello wakafanya mapinduzi(Zanzibar Revolution) ambao ulimfanya sultani akimbie visiwa vya Zanzibar!!?

Suala la kwamba hakuna muarabu aliyepigwa picha sio la kuzingatia kwa kuwa sote tunajua kuwa kwa wakati ule kamera hazikuwa kama simu hivyo wamiliki walikuwa wazungu tena wazito tu!

Nafikiri nyie ndio mnapotosha historia
 
mimi ni mkristo sawa lakini natamani uwislam na ukristo utokomezwe maana ni majanga kwa watu weusi

Mimi nimeishi katika Ukristo kwa miaka kadhaa sasa, nilizaliwa huko pia. Nilivyotanua maarifa nikaja kugundua kuwa Ukristu ni biashara kubwa, biashara ambayo imeendelea kumkandamiza mtu mweusi na kumfanya duni mbele ya mweupe. Kibaya zaidi imekuwa ikihusiana kwa karibu na madhila yote yaliyowakuta kizazi cheusi, kuanzia Ukoloni, Utumwa hadi Ukoloni Mamboleo.

Kwa sasa wakristu ni watumwa wa kiuchumi wa taasisi hii, watumwa pia wa utamaduni (hata kumpa mwanao jina la Kiafrika ni makosa katika Ukristu) na zaidi ni watumwa wa Kiroho wanaolazimishwa kuwa katika dini kwa kuwa wanatishiwa Jehanamu.

Dini ambazo tunaziona za kipuuzi zinahamasisha watu kutafakari na kusaka maarifa zaidi, na sio kuisha kwa 'doctrine' zilizoandikwa miaka mingi iliyopita. Hatuhimizwi kuisaka kweli, bali tutapata maarifa yoote katika kitabu kimoja ambacho tunaambiwa tusipokisoma kwa 'roho' hatuwezi kuelewa.
 
unajua mimi binafsi ninaamini kuwa hakuna utumwa mbaya kama ule utumwa wa kufikiri uko huru wakati hauko huru ikiwa vizazi vijavyo vitabadilika vinaweza kuja pia kutushangaa sisi kama sisi tunavyoshangaa kuwa iliwezekana vipi wazee wetu walikubali kuuzwa kama bidhaa.
hamuoni sisi tunakuwa controlled kama marobot nina maana kuwa system yetu ya maisha imekuwa mbaya mno sasa hivi kwa mfano mtu akiwa ana mali/pesa athaminiwa zaidi awe ni mwizi au fisadi au muuza unga kwa kuwa tumeshaona pesa ni kila kitu. wangapi kati yetu tukiwa na elimu abayo tunadhani ni ora kuliko ya wengie tunawadharau ambao tnaamini hawana elimu ,wangapi kati yetu tukiwa kwenye magari mzri tunawadharau watembeaji,wangapi kati yetu hatupendi kukaa foleni si kwa ajili tuna haraka sana ila tunapenda kuwa tofauti na wengine,wangapi tunaamini aliyevaa suti ndiye kastaaribika kuliko aliyevaa jeans au kanzu .
kama tungekuwa tunawekemea watoto wetu, marafiki zetu, majirani zetu kufanya mambo mabaya mf ,biashara za harmu kwa direct tungepiga hatua kidogo lakini ukitaka kujua kuwa tunaishi maisha mabaya tuko radhi tukemee vitu jf lakini wanotuhusu tukiwa nao sisi ndo wa kwanza kuwapamba na kuwaona wao ndo wajanja. mtaniwia radhi kama nimekuwa mgumu kueleweka na walionilewa naomba mnisaidie kurekebisha zaidi my main point ni kwamba mpaka sasa tuko kwenye utumwa tena huu ndo mbaya zaidi kwasabau hatujui kwa kias gani mabeberu /mabepari wanatumaliza sasa hivi nyanja zote ni za kwao tunafata iwe ni political,economical,social,cultural na nyingine zao.
 
Ni rahisi kumuoa mzungu lakini sio mwarabu

hujui kitu haya mambo ya kusema warabu hawakubali kuoesha ni mambo yako wazi ni mambo ya fedha warabu wengi wako njema sasa wewe na ukapuku wako utake binti wao wakupe tu na pia kuna suala la kupenda binti nae vipi kakuaprove au ndio kuforce tu baadae mtoe lawama na haya mambo sio kwa waarabu tu watu wengi waliokuwa na uwezo hawatoi mabinti zao kwa masikini sasa mbona kesi imekuwa waarabu tu na pia ukitaka kuamini ninachokisema huku kwenye miji mikubwa wanawake wa kiarabu wapo wengi tu wameolewa na watu weusi halafu pia linakuja suala la ukabila kama kwa watu wesi vile kuna wengine hawatoi binti yao kw kabila tofauti hata awe na pesa/mali nyingi yaani factor ziko nyingi .
sasa twende kistatistics kwa mwaka waarabu wangapi wanakataa kuoesha mabinti zao kwa watu weusi na watu weusi wangapi wanakataa kuoesha mabinti zao kwa watu weusi hao hao utapata jibu
 
Na kwa masikitiko makubwa "vitabu vitakatifu" havikukemea UTUMWA uliokuwepo wakati vikiandikwa!

Exodus 21:20-21"And if a man smite his servant, or his maid, with a rod, and he die under his hand; he shall be surely punished. Notwithstanding, if he continue a day or two, he shall not be punished: for he is his money [property]."



 


Amin amin nakuambia, utumwa tuliomo sasa, ni utumwa mbaya sana kuliko ule wa mwanzo. Ni heri wale walifungwa minyororo iliyoonekana, sisi tunafungwa minyororo isiyoonekana, kama hiyo uliyosema hapo kwenye red, hakuna jinsi utakuja mbwekea bwana wako..
 
Nafikiria kuwa nå iman yangu kivyangu vyangu. Ctak Kuwa mtumwa. Sitaki tena kufuata utumwa wa kizungu nå kiarab. Nataka kujitambua Mimi kama mimi

Upo sawa kabisa na Mungu aliyeumba africa anasadikiwa kuwa na nguvu kupta hao wa majahazini anza kufanya utafiti utamjua na utakuwa na nguvu ya kufukia matundu ya moyo kupita hao mapunga,nakuunga mkono
 
Naamini Mungu aliumba waafrika kuwa watumwa, kama sasa ilivyo. Tuna kila kitu ila hatuwezi kuchukua hatua...

Na ujue Mungu aliyeumba africa alitufanya tuwe watumwa bada ya kukataa maandiko ya vitabu vyake
 

Kunachoniuma jembe langu wamefanikiwa mpaka kutusahaulisha Mungu wetu aliyeangaika kuliumba bara la Africa kiasi ambacho unajiuliza nini hasa tupatayo kwa kufuata maupuuz yao mfano hija niende israel ama maka huko c kama kuwakuzia mapato yao kupitia utalii ni upumbavu2 vyote ulivyosema kiukwel viliwapagawisha zaid maandiko ya iman yetu ambayo ulikuwa ukiyasoma mpaka wanyama wananena kwa lugha achilia mbali magari yetu ambayo yalikuwa yanatembea bila ya kuwa na matairi,na ahimidiwe wa pekee aliyeumba Africa na kutuumba weusi tuliokuwa na uwezo hata wa kuongea na mende
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…