NDAGLA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 2,490
- 1,353
Mtoa mada hakua na lengo kama unavyolazimisha, nilivyo muelewa alikuwa anatanabaisha tu, ili tujiulize wa afrika ni wapi hasa tulipokosea, ni kwa majibu yaliyotolewa humu ndo tunapata kujuzana hali halisi, na hatimaye kujaribu kuchukua hatua stahiki huko mbele ya safari.
Kudhihirisha kuwa nawe ni moja ya tatizo, unasema ulitegemea kuwa mada ingeanzisha mjadala fikirishi, hivi kweli unawezaje kutegemea mjadala wa katika mada ambayo kwanza hujaianzisha ,pili wala haina mlengo huo,...kwa nini usianzishe mada ambayo sraight ingepelekea kwenye hicho ulichotaka badala ya kutegemea mtu aanzishe, si ndio haya ya serikali kupanga bajeti kwa kutegemea pesa za wahisani, ?
Truth has got no specific temperature, it can be any, cold or hot !!
Naona umekurupuka tu bila hata kushirikisha ubongo ipasavyo.
Hivi huoni kwamba wewe unayejidai kulijua lengo la mleta mada wakati siyo mleta mada ndo utakuwa mwehu?
Halafu hivi mtu kuonesha mategemeo yake kutoka kwa wachangiaji kutokana na vile alivyoelewa mada ni lazima awe ameianzisha yeye?
Halafu hebu nioneshe wapi nilipolazimisha.
Halafu sijui wapi nimeandika nilitegemea italetwa thread na namna hii?
We jamaa ni tatizo zaidi ya vile unavyoniona mimi ni tatizo na mbaya zaidi nyie wehu huwa hamjijui na mnapoambiwa huwa wabishi.
The greatest problem with the world is that the fools are full of confidence while the intelligent people are full of doubts"
Hivi mtu kutegemea mvua itanyesha lazima awe yeye ndo anaitegeneza? ARE YOU MAD?
Huwezi kubashiri kwa kuangalia mawingu?