Utumwa katika picha: Hivi iliwezekana vipi? Mbona Waarabu, Wahindi, Wachina hawakufanywa slaves?

tena yapasa kujiuliza hao watumwa kibao kutoka EAST AFRICA na kusafirishwa kwa majahaz kwenda kwa majini magaidi KIZAZI CHAO KIPO WAPI??? mbona wa west africa kizazi chao kipo america?? historians naomba mnijibu

Itakuwa waliuwawa wote
 
Utumwa unaoshika kasi kwa sasa ni wa premier na merian betting wa wahindi na wazungu!
 
Kwenda kumwaga mamilioni kwa former slave master huko Mecca kwa minajili ya kuhiji ni UTUMWA PIA.
 

Hili halina ubishi hakuna mtu mwenye roho mbaya na mbishi kama mwaarabu. Mungu mwenyewe anajua jinsi walivyowakosaji ndio maana mitume yote ilitumwa kwa ajiri ya kuwarekebisha wao lakini hawakukubali
 
Huwezi kuwa mkweli ikiwa hutataja warabu ambao diyo walikuwa makatili na vinara wa kuchukua watumwa East Aafrica. Kinyume cha hapo, una agenda zako binafsi zisizo na maslahi wala tija kwa taifa.

Biashara ya utumwa alifanyiwa mwafrika kama wewe,,, baada yakuwa na uchungu kwa babu zako kuteswa wewe unakuja hapa ooooh muarabu,,, wewe umeona hiyo picha inaonyesha rubber plantation likimilikiwa na wabelgiji enzi hizo then unakuja oooh waarabu,,, waarabu waliwakamata babu zetu na wazungu wakawanunua babu zetu ndio maana unaona weusi ulaya na marekani,,, Umeona hilo tangazo huyo mmarekani anatafuta mtumwa wake!!! kwani hapo ni arabuni sasa... UWE NA UCHUNGU NA UFIKILI NINI KIFANYIKE.
 
Hata hii mada inapambanua 'uarabu' na 'uzungu'. Wapo wanaoona waarabu walikuwa na afadhali kuliko wazungu and vice versa. Hii ni mbaya sana, tulikubali kujiuza wenyewe kupitia puppets wachache. Tulitengwa na imani na Leo tunajitenga kwa tofauti ya imani zetu...huyu anamtetea mzungu kisa ni mkristo na yule anamtetea mwarabu vile ni muislamu.
Bado tuna safari ndefu kuliko tunavyofikiria.
 
Mkuu utumwa wa mtu mweusi ulisimamiwa na mtu mweusi. Watu weusi waliwakamata wenzao na kuwauza kwa nguvu. Jambo hili linaendelea hata leo.
Weusi wenzetu ndo wabaya wetu. Wanatufanyia mabaya kuliko hata wazungu.
Hata leo weusi wanataka kwenda utumwani ulaya na marekani kwa juhudi binafsi. Angalia embasy watu wanavyoomba viza za uongo ili kwenda utumwani.
Mkuu weusi waweza kukupeleka utumwani hata leo na kupoteza ndoto zako. Upendo wa kweli ni nadra kwa weusi na ndo maana walipeleka utumwani weusi kama mbadala wa kuwaua. Mzungu asilaumiwe kwa ili bali weusi tupendane. Utumwa ni matokeo ya chuki.
 

Mkuu bigup sana!!
 

arabuni mpaka leo biashara ya utuwa haijesha, dada zenu wanapelekwa kule kufanyishwa kazi za ndani wananyanyanya pasi, wanapigwa wanadhalilishwa. waarabu wengi wana tabia za ubwana na utwana, hata baina yao!
 
hata hao wazungu walifanyana watumwa wao kwa wao, miaka mingi kabla hawajatua afrika.
 

Mashaitwani wa kijani MUNGU keshawalaani!
 
Hao wachina na wajapani walikuwa wajinga wenzetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…