Utumwa katika picha: Hivi iliwezekana vipi? Mbona Waarabu, Wahindi, Wachina hawakufanywa slaves?

Utumwa katika picha: Hivi iliwezekana vipi? Mbona Waarabu, Wahindi, Wachina hawakufanywa slaves?

tena yapasa kujiuliza hao watumwa kibao kutoka EAST AFRICA na kusafirishwa kwa majahaz kwenda kwa majini magaidi KIZAZI CHAO KIPO WAPI??? mbona wa west africa kizazi chao kipo america?? historians naomba mnijibu

Itakuwa waliuwawa wote
 
Utumwa unaoshika kasi kwa sasa ni wa premier na merian betting wa wahindi na wazungu!
 
Kwenda kumwaga mamilioni kwa former slave master huko Mecca kwa minajili ya kuhiji ni UTUMWA PIA.
 
Ila jamani mimi niliishi Uarabuni miaka 3. Kiukweli waarabu wengi hawana u binadamu hasa kwa mtu mweusi. Bado wanaona mtu mweusi ni mtumwa tu. Nimeshuhudia mabinti wengi wadogo kutoka Africa hasa kutoka Ethiopia wanapoletwa uarabuni, ukiwakuta Airport kwakweli utaguswa tu maana nilishuhudia walikuwa kama 50 wanaongozwa kama ng, ombe na waliingizwa kwenye chumba kimoja nakufungiwa kumsubiria wakala aliyewaleta ili aje akamilishe taratibu za immigration halafu awagawe kwa watu walioweka order ya House girl. Na kinachofanyika huyo Agent anachukuwa Passport zao ili wasiweze kutoroka. Hivyo hata apate mateso kiasi gani hataweza kuondoka hadi wakala aliyewaleta akubali. Na hata maslahi yake yote yanalipwa kwa huyo wakala ndipo alipwe yeye kiasi atakachopangiwa na huyo wakala. Nilikuta kesi nyingi za nyuma za kuteswa na wengine kufariki kwakutupwa ngorofani na wake za matajiri zao wanapokuwa na hisia kuwa huenda wakafanya mapenzi na waume zao. Na kwavile nimeshaishi na wazungu basi kwa mtazamo wangu naona angalau Mzungu anathamini Utu na ubinadamu hata kama atakunyonya. Pia tukumbuke kuwa japokuwa biashara ya utumwa iliwanufaisha wazungu na waarabu lakini ni wazungu ndio walioanzisha campaign yakukomesha biashara hiyo. Mwarabu hakuwa hata na wazo hilo

Hili halina ubishi hakuna mtu mwenye roho mbaya na mbishi kama mwaarabu. Mungu mwenyewe anajua jinsi walivyowakosaji ndio maana mitume yote ilitumwa kwa ajiri ya kuwarekebisha wao lakini hawakukubali
 
Huwezi kuwa mkweli ikiwa hutataja warabu ambao diyo walikuwa makatili na vinara wa kuchukua watumwa East Aafrica. Kinyume cha hapo, una agenda zako binafsi zisizo na maslahi wala tija kwa taifa.

Biashara ya utumwa alifanyiwa mwafrika kama wewe,,, baada yakuwa na uchungu kwa babu zako kuteswa wewe unakuja hapa ooooh muarabu,,, wewe umeona hiyo picha inaonyesha rubber plantation likimilikiwa na wabelgiji enzi hizo then unakuja oooh waarabu,,, waarabu waliwakamata babu zetu na wazungu wakawanunua babu zetu ndio maana unaona weusi ulaya na marekani,,, Umeona hilo tangazo huyo mmarekani anatafuta mtumwa wake!!! kwani hapo ni arabuni sasa... UWE NA UCHUNGU NA UFIKILI NINI KIFANYIKE.
 
Hata hii mada inapambanua 'uarabu' na 'uzungu'. Wapo wanaoona waarabu walikuwa na afadhali kuliko wazungu and vice versa. Hii ni mbaya sana, tulikubali kujiuza wenyewe kupitia puppets wachache. Tulitengwa na imani na Leo tunajitenga kwa tofauti ya imani zetu...huyu anamtetea mzungu kisa ni mkristo na yule anamtetea mwarabu vile ni muislamu.
Bado tuna safari ndefu kuliko tunavyofikiria.
 
Mkuu utumwa wa mtu mweusi ulisimamiwa na mtu mweusi. Watu weusi waliwakamata wenzao na kuwauza kwa nguvu. Jambo hili linaendelea hata leo.
Weusi wenzetu ndo wabaya wetu. Wanatufanyia mabaya kuliko hata wazungu.
Hata leo weusi wanataka kwenda utumwani ulaya na marekani kwa juhudi binafsi. Angalia embasy watu wanavyoomba viza za uongo ili kwenda utumwani.
Mkuu weusi waweza kukupeleka utumwani hata leo na kupoteza ndoto zako. Upendo wa kweli ni nadra kwa weusi na ndo maana walipeleka utumwani weusi kama mbadala wa kuwaua. Mzungu asilaumiwe kwa ili bali weusi tupendane. Utumwa ni matokeo ya chuki.
 
Mkuu utumwa wa mtu mweusi ulisimamiwa na mtu mweusi. Watu weusi waliwakamata wenzao na kuwauza kwa nguvu. Jambo hili linaendelea hata leo.
Weusi wenzetu ndo wabaya wetu. Wanatufanyia mabaya kuliko hata wazungu.
Hata leo weusi wanataka kwenda utumwani ulaya na marekani kwa juhudi binafsi. Angalia embasy watu wanavyoomba viza za uongo ili kwenda utumwani.
Mkuu weusi waweza kukupeleka utumwani hata leo na kupoteza ndoto zako. Upendo wa kweli ni nadra kwa weusi na ndo maana walipeleka utumwani weusi kama mbadala wa kuwaua. Mzungu asilaumiwe kwa ili bali weusi tupendane. Utumwa ni matokeo ya chuki.

Mkuu bigup sana!!
 
Ww mzawa wacha chuki na.waarabu hao wazungu waliowatesa waafrika amerika kaskazini,kusini,jamaica haiti,Trinidad, Honduras, brazil,cuba,cape verde,porto Rico, Bahamas,colombia,san salvador,equador,brazil,Venezuela, Argentina na nk ni wazungu ww na.wakaleta misalaba yao kwa nguvu ya upanga tazama filamu Roots kunta kunte, ukienda bara la arabu utaona wenyw asili ya waafrika ni.wafalme,ma price, na matajiri wakubwa nenda QAtar,Saudi Arabia,Oman, KuwAit, Bahrain nenda au uliiazia walio enda watu weusi wenye asili ya uafrica wana hadhi gani huko? Hata dubai wakaone wana hadhi kubwa sasa waaarabu haqakuchukua watumwa kulima mashamba, ila chuki ya uarabu imepandikizwa watu waone wabaya,sasa mbona dini yao mnaikubali basi muache uislaam kila muafrika anaekwaza ma uarabu aache dini hio atafute dini nyengine huwezi ukaupenda uislaam ukamchukia alieuleta

arabuni mpaka leo biashara ya utuwa haijesha, dada zenu wanapelekwa kule kufanyishwa kazi za ndani wananyanyanya pasi, wanapigwa wanadhalilishwa. waarabu wengi wana tabia za ubwana na utwana, hata baina yao!
 
hata hao wazungu walifanyana watumwa wao kwa wao, miaka mingi kabla hawajatua afrika.
 
Unajua for most of us utumwa ni kama hadithi za kufikirika tu.., ni ngumu sana kuamini kwamba eti mwarabu mmoja mwenye bunduki ya kipuuzi anaweza akateka watu 100 wenye akili zao, akawafunga minyororo wote na kuwasafirisha for miles bila shida yoyote ile.., iliwezekanaje..????!!!

slaves510x492.gif


Watumwa ndani ya minyororo.., wameridhiiika wenyewe..., eti wanapigwa picha!

2006_2637.JPG


Mtoto mtumwa huko Zanzibar.., hapa anakula adhabu kali ya kusimama na gogo la kilo 30 kwenye jua kali bila viatu kwa muda usiopungua masaa 8 bila kula..., hii ni kwa kosa la kimbwa sana sitalitaja hapa.., linahusiana na yale mambo flani yale..

reward2.jpg


Hapa tunaona mbwa mmoja wa kizungu aliekuwa anaitwa T.H Williams akitoa tangazo linaloahidi donge nono la dollar 100 ya mwaka huo, (August 4, 1853) kwa yeyote atakaemrudisha mtumwa wake mrembo sana. Huyu binti Emily bila shaka alimlewesha kwa yale mambo yetu mpaka ana mtafuta kwa nguvu namna hii.

SlaveShackle_450x397.jpg


Hapa mtumwa akiwa kwenye maumivu makali sana. Sina uhakika sana.., ila inawezekana alikuwa natengenezewa bangili ya kufungwa mnyororo.., pia huyu mbwa wa kizungu inawezekana alikuwa

anamtoboa enka.., u neva know..!
166367_o.jpg


Hii picha ndio imenifanya nianze kupata majibu ya swali langu.., yaani hao askari wanaowachunga wenzao kama ng'ombe wa maksai ni waafrika wenzetu kabisa...!!! hapa ni kwenye shamba la mpira (rubber plantation) lililokuwa likimilikiwa na wabelgiji na hao ni wakongoman..., haya ni mambo ya kimbwa kabisa. hiki ndicho CCM wanachotufanya watanzania kwa kutumika na watu wa pua ndefu na ndevu nyingi..!

Mashaitwani wa kijani MUNGU keshawalaani!
 
Hao wachina na wajapani walikuwa wajinga wenzetu.
 
Back
Top Bottom