Utumwa katika picha: Hivi iliwezekana vipi? Mbona Waarabu, Wahindi, Wachina hawakufanywa slaves?

Utumwa katika picha: Hivi iliwezekana vipi? Mbona Waarabu, Wahindi, Wachina hawakufanywa slaves?

Na support kauli ya mseven, Ndugu zetu walitawaliwa kwa sababu walikuwa wajinga,na hata sasa tunaendelea kutawaliwa hasa kiuchumi kwa sababu ya ujinga wetu wenyewe.tunajua kwamba ukiweza kutawaliwa kiuchumi hata nyanja zingine huwezi kuchomoka hata kwa dawa.tatizo wafrika hututumii comparative advantage tuliyo nayo katika resource zetu na vitu ambavyo tunaweza kutengeneza.pili hatuna ushikamano kama walivyo nao wao majaa kila kiongozi wa kiafrika yupo kwa uroho wa mali na uoga wa kuthubutu.kuondoka kwenye huu mtego wa utumwa wa hao manyang'au labda siku bala zima liungane au nchi zote zenye wafrika ziungane,lasivyo hadi mwisho wa dunia itakuwa hivi hivi.
hivi unaongea nini wewe?
Viongozi wa bara hili ndio unawaona sio wakoloni?
kweli unaweza kuwa motivated na maneno ya Museveni?
Kuna tofauti gani kwa mkoloni aliyefunga Physical mnyororo na hawa watawala wa kiafrika wanatuwekea minyororo ya hofu?
 
Utumwa huu uliambatana na dini ya kiislamu,kwa mwarabu haliwezi kutoka jambo jema hao waliotutesa ndio waliituletea dini ya kiislamu
 
Katika biblia tunasoma yusuf aliuzwa utumwani misri, hivyo wapo wazungu/waarabu waliuzwa kama watumwa Africa. Tofauti labda wazungu hawakuwa wabishi na wajuaji kama waafrica ndio maana hawakufungwa minyororo.
Biblically misri haikuwa Africa. Achana na mipaka ya wazungu ya miaka ya 1884-5
 
Kizazi cha watu weusi huwezi kukiona uarabuni,maana waarabu ni wabaguzi,huwezi kuoa au kuzaa na mwarabu wala kuishi na mwarabu ukiwa huru.

Hivyo waafrica waliuliwa,wengine waliuzwa west huko,na ndio maana kizazi cha watu weusi unakiona huko.

Ukitaka ushahidi,hata miaka ya sasa,mweusi kuoa mwarabu au mwarabu na mhind kuolewa na mweusi ni nadra sana,na sio mpaka iwe uarabuni tu,hata wakiwa hapa hapa africa huwa pia hawataki kuchanganya.

Ukiona mwarabu kaolewa na mweusi jua huyo mwarabu wa tabora
Wacha ujinga...umeumbwa mweupe mzungu mwarabu mweusi tafuta alie sawa na wewe owa.
kama nu sawa si tungekua sote weusi tu. .
hatuko sawa kitabia hulka nidhamu akili fikra....tumeumwa tofauti in trump words
tafuta mweusi mwenzako .hata kuumbwa tuko hivo.....wewe mweusi mzungu wa kazi gani
 
Mwarabu yeye alikuwa ni dalali tu...babu zetu walikamatana wenyewe wakawauza wenzao kwa waarabu na waarabu nao wakawauza kwa wazungu...sasa nani mbaya hapo?kama sio sisi wenyewe? muarabu hakuwa na uwezo wa kuwakamata watumwa...Bali machifu walikamata watu..wakawafunga wakawauzia waarabu...so tumlaumu muarabu au mzungu? tuwalaumu babu zetu wenyewe...ndy waliotukamata na kutuuza
Mkuu ni kweli kabisa ulichokisema. Huo ndo ukweli. Tatizo watu hawapendi kutafuta habari. Ndo maana kuna mtu alisema vipaumbele vyake ni 1.ELIMU 2.ELIMU 3.ELIMU.
 
Na support kauli ya mseven, Ndugu zetu walitawaliwa kwa sababu walikuwa wajinga,na hata sasa tunaendelea kutawaliwa hasa kiuchumi kwa sababu ya ujinga wetu wenyewe.tunajua kwamba ukiweza kutawaliwa kiuchumi hata nyanja zingine huwezi kuchomoka hata kwa dawa.tatizo wafrika hututumii comparative advantage tuliyo nayo katika resource zetu na vitu ambavyo tunaweza kutengeneza.pili hatuna ushikamano kama walivyo nao wao majaa kila kiongozi wa kiafrika yupo kwa uroho wa mali na uoga wa kuthubutu.kuondoka kwenye huu mtego wa utumwa wa hao manyang'au labda siku bala zima liungane au nchi zote zenye wafrika ziungane,lasivyo hadi mwisho wa dunia itakuwa hivi hivi.
Mkuu umesahau kuwa hata ccm wanatutawala kwa sababu ni wajinga.Hata hivyo nilikuwa napita tu.
 
Huwezi kuwa mkweli ikiwa hutataja warabu ambao diyo walikuwa makatili na vinara wa kuchukua watumwa East Aafrica. Kinyume cha hapo, una agenda zako binafsi zisizo na maslahi wala tija kwa taifa.
Hivi wanahistoria mnisaidie

Watumwa waliopelekwa USA mazalia bado tunawaona.
Waliopelekwa ufaransa na ulaya tunawaona maana ndo wanaokula kwa vipaji huko vya musiki na mpira. India weusi wapo.

Lakini mbona walochukuliwa uarabuni hatuwaoni?
 
Hivi hao waarabu watumwa walikua wanawapeleka wapi mbona nchi zao hazina watu weusi wengi
Wao walikuwa wanawauza tu ulaya na marekani..tena hata hiyo marekani yenyewe ilikuwa chini ya UINGEREZA kipindi hicho cha UTUMWA.... KIPINDI hicho huko ndy ilikuwa uchumi wao unaanza kukaa kwa na technology yao ni ndogo mfano mashamba yalihitaji kulimwa na mashine HAWANA ni lazima walime watumwa....kubeba mizigo...KWENYE ujenzi na kazi nzito lazima wahitaji watumwa kufanya kazi hizo....hata ukiangalia route ya safari za utumwa...utaona hivyo...BRITISH alituma meli nyingi sana kubeba watumwa kupeleka AMERICA na UK..na ulaya kwengineko..
Kutokea east Africa na west Africa...Nigeria.. Ghana...nk....so tusimlaumu muarabu yeye ni dalali tu
 
Mwarabu yeye alikuwa ni dalali tu...babu zetu walikamatana wenyewe wakawauza wenzao kwa waarabu na waarabu nao wakawauza kwa wazungu...sasa nani mbaya hapo?kama sio sisi wenyewe? muarabu hakuwa na uwezo wa kuwakamata watumwa...Bali machifu walikamata watu..wakawafunga wakawauzia waarabu...so tumlaumu muarabu au mzungu? tuwalaumu babu zetu wenyewe...ndy waliotukamata na kutuuza
Wote wabaya ila Huyo aliechukua nafasi ya daraja ndo wakulaumiwa zaidi. Ni kama kusema una binti yako geti kali, ana mpenzi ila hawezi kuja hapo kwako kuongea na binti yako, akatokea rafiki wa binti yako ndo akawa anamletea binti yako ujumbe toka kwa huyo mkaka na kurudisha majibu kwa mkaka. Hapo ni Nani alieupa huo uhusiano uhai? Na ukitaka kuuvunja huo uhusiano utafanya nini kwanza?
 
Hivi hao waarabu watumwa walikua wanawapeleka wapi mbona nchi zao hazina watu weusi wengi
Wengine walikua wanawatumia wao na wengine wanawauza kwa wazungu kwenda kufanya kazi mashambani huko. Huoni watu weusi kwao kwa sababu walichukua tahadhari ya kuzuia kuzaliana kwao huko uarabuni. Yaani mke wa mwarabu alikua anaogeshwa na kuvalishwa na mwanaume mweusi bila wasiwasi... Kitu hakifanyi kazi.
 
Walifanyana wao kwa wao mfano wachina ukiangalia series kama chuno.. mwanzo wanatoa story kuwa kulitokea mapinduz ambayo yalisababisha almost nusu ya population wakawa slaves
 
Hivi wanahistoria mnisaidie

Watumwa waliopelekwa USA mazalia bado tunawaona.
Waliopelekwa ufaransa na ulaya tunawaona maana ndo wanaokula kwa vipaji huko vya musiki na mpira. India weusi wapo.

Lakini mbona walochukuliwa uarabuni hatuwaoni?
Kwani hujawahi kuwaona waarabu weusi?Dubai wapo...saudia wapo..na hata wakati wa mtume kuna swahaba mmoja alikuwa ni Muarabu...tatizo linakuja hizo inchi zote za uarabuni watumwa walikuwa wanapita tu..na MZUNGU ndy akiyekuwa cordinator wa biashara hiyo wapi watumwa wapelekwe....na pia waarabu nao wapo strong kiasili....hawakuwafanyizia BIBI zetu kama WAZUNGU.....BIBI zetu walibakwa NA MABWANA WA KIZUNGU na babu zetu walilazimishwa KUWALALA KWA NGUVU wanawake wa KIZUNGU...Mara zingine MZUNGU anamnunuwa MTUMWA DUME MWENYE NGUVU....ili AMFURAHISHE MKEWE TU.....NDIYO maana watu weusi wengi kule wanapoishia huko ULAYA... Na marekani..hawawezi kuwa wengi wanapopita tu transit...
 
Wote wabaya ila Huyo aliechukua nafasi ya daraja ndo wakulaumiwa zaidi. Ni kama kusema una binti yako geti kali, ana mpenzi ila hawezi kuja hapo kwako kuongea na binti yako, akatokea rafiki wa binti yako ndo akawa anamletea binti yako ujumbe toka kwa huyo mkaka na kurudisha majibu kwa mkaka. Hapo ni Nani alieupa huo uhusiano uhai? Na ukitaka kuuvunja huo uhusiano utafanya nini kwanza?
Muarabu alikuwa akija kwa machifu....anakuta watumwa wake kwa waume washakamatwa tayari.... Muarabu alikuwa hakimbizi watu kuwashika kwa nguvu...akija anapelekwa walipo watu..anachaguwa hao watumwa kulingana na MUONEKANO WAO...BABU ZETU walichaguliwa kutokana na NGUVU ZAO NA BIBI ZETU UZURI WAO...muarabu anawanunuwa....anawapeleka sokoni....mzungu ananunuwa...anakwenda kuwafanyisha kazi za kitumwa....nawalaumu sana BABU ZETU...kwa UJINGA WAO...na huo utumwa mambo Leo upo hata sasa ....MTU anafanya jambo kwa niaba ya kuumiza wenzie..apate ujira kidogo kama muarabu na babu zetu walivyofanya....kwa MZUNGU
 
Waarabu siyo watu. Kwanza walia castrate ili wasije kuzaa na watu wao . Baada ya biashara kuisha waliwaua wote!. Lakini leo hii mipumbavu isiyokuwa na akli inasema eti waliwauzia America. America anunue watumwa wakati biashara haipo tena?

Waarabu si binadamu tangu mwanzo wao, leo hata mwisho.
Nimegundua kitu kimoja kwenye Uzi huu..wengi wanaowatuhumu waarabu ni wale wenzangu wa msalaba....sasa ..naona hii ni vita ya msalaba...sio UKWELI kuhusu watumwa..
 
Waarabu waliwaasi watumwa walioenda huko.kwao ili wasiongezeke wakaja kuzaliana na watu wao. So vizazi vilikufa automatically
Kwani hakuna inchi ulaya walikuwapo watumwa lakini wakapotea baada ya utumwa?zipo inchi nyingi tu...wazungu waliwahasi pia...BABU ZETU...
 
Wacha ujinga...umeumbwa mweupe mzungu mwarabu mweusi tafuta alie sawa na wewe owa.
kama nu sawa si tungekua sote weusi tu. .
hatuko sawa kitabia hulka nidhamu akili fikra....tumeumwa tofauti in trump words
tafuta mweusi mwenzako .hata kuumbwa tuko hivo.....wewe mweusi mzungu wa kazi gani
Mkuu ingekua hivyo kusingekua na muingiliano.kila mtu angekaa barani kwao
 
Back
Top Bottom