hivi unaongea nini wewe?Na support kauli ya mseven, Ndugu zetu walitawaliwa kwa sababu walikuwa wajinga,na hata sasa tunaendelea kutawaliwa hasa kiuchumi kwa sababu ya ujinga wetu wenyewe.tunajua kwamba ukiweza kutawaliwa kiuchumi hata nyanja zingine huwezi kuchomoka hata kwa dawa.tatizo wafrika hututumii comparative advantage tuliyo nayo katika resource zetu na vitu ambavyo tunaweza kutengeneza.pili hatuna ushikamano kama walivyo nao wao majaa kila kiongozi wa kiafrika yupo kwa uroho wa mali na uoga wa kuthubutu.kuondoka kwenye huu mtego wa utumwa wa hao manyang'au labda siku bala zima liungane au nchi zote zenye wafrika ziungane,lasivyo hadi mwisho wa dunia itakuwa hivi hivi.
Viongozi wa bara hili ndio unawaona sio wakoloni?
kweli unaweza kuwa motivated na maneno ya Museveni?
Kuna tofauti gani kwa mkoloni aliyefunga Physical mnyororo na hawa watawala wa kiafrika wanatuwekea minyororo ya hofu?