Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
KAZI NDOGO HIYO NILIJUA KESHA OLEWA KUMBE KAPOSWA TU HAHAHAA, KAZI NDOGO HIYO, IKO HIVI NAPANDILIA DAU HUYO ALIE TOA MAHALI TUNAMRUDISHIA HELA YAKE😂🫵Ahahahahahah.
Umenichekesha sana mkuu.
Huyu ni mdogo angu kabisaa.
UWe na amani kabisaa. Ila ongeeni vizuri akuweke wazi maana sisi tulishapokea mahali nyumbani
Ahah. It is more complicatedKAZI NDOGO HIYO NILIJUA KESHA OLEWA KUMBE KAPOSWA TU HAHAHAA, KAZI NDOGO HIYO, IKO HIVI NAPANDILIA DAU HUYO ALIE TOA MAHALI TUNAMRUDISHIA HELA YAKE😂🫵
Usiwaze hii ni staili tunatumia, madingi sisi, kuweka mambo sawa, kwani tumezaliwa na baba Mmoja mama Mmoja? We njoo bwana vipi weweeeeUshaniita dada, sasa kaka na dada toka lini wakafanyana?
Achana nae kichaa huyoAhahahahahah.
Umenichekesha sana mkuu.
Huyu ni mdogo angu kabisaa.
UWe na amani kabisaa. Ila ongeeni vizuri akuweke wazi maana sisi tulishapokea mahali nyumbani
We niachie Hilo jambo, tajua linaishaje nakuhakikishia usalama mkuuAhah. It is more complicated
Hata mimi nimejiuliza hili swali, laki tatu ni ya kumtoa mtu machozi? Najua nitaulizwa kama mimi ninayo, sina lakini utoke na binti wa watu ukamkule uumie kutumia laki tatu 😁😁 (yaani hapo kuna mafuta ya gari, chakula, vinywaji, guest, nauli ya dada na mengineyo). umal*ya kumbe haulipi aisee tunadanganywaWewe ulitaka mtumie kiasi gani
Huyu kaka angu ni m'bahili sana! Bora angesema demu alihongwa 300k ila kumbe hiyo hela walitumia wote.Hata mimi nimejiuliza hili swali, laki tatu ni ya kumtoa mtu machozi? Najua nitaulizwa kama mimi ninayo, sina lakini utoke na binti wa watu ukamkule uumie kutumia laki tatu 😁😁 umal*ya kumbe haulipi aisee tunadanganywa
Ni lazima awepo wa kuact kama mwanaume? Wanakuwa tu wanawake wawili
Mimi ni wale wa no label, tulane au kama huwezi nikukule
Neither partner acts as or takes the place of a man.
Mwenye kirefu🤣
Si ndo mnawataka hao siku hizi wawalee...Alafu ni mshangazi WA haja lizuri kweli japo umri inaonekana umeenda sana ila hatari ni wale wanao jitunza bado analipa huyo mmama
Ewaaaaaaaaahh😍😍😍😍Exactly machizi pro lakini 😊
SGR mahi station let's go 🔥
😁😁 Ni hatari huyu kaka yakoHuyu kaka angu ni m'bahili sana! Bora angesema demu alihongwa 300k ila kumbe hiyo hela walitumia wote.
Umeipamba sana, anyway nitakuja nipe location kuwe na liveband piaKwa mtazamo wangu, dinner ni nzuri na mnakuwa na muda wa kutosha kuzungumza, na kuwa na mambo mengine tofauti na mchana ama asubuhi hasa upande wa majukumu una unatuhitaji!!!
Pia upande wa vyakula breakfast mostly ni ngano ngano na ngano mix nyama ila dinner inakuwa ni menyu ambayo kdg ni attractive and ladhable
Hapana darling, mimi na porn mbalimbali,Kama unapenda kuangalia porn, kuna dada wa kirusi anaitwa Rita, dah, yule dada anajua sana kufanya massage za aina zote!!!! Angalia viwer wake ni kuanzia mamilioni!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ni mimi na @ShesRise_1tulikuwa tunamtamanisha Dr kwamba ukuni ni mtamu 🤣🤣🤣Kwani ukuni? Hao ni wadada wanaolishana tango
Wote wanakuwa wives 🤣🤣 kila mtu anamuita mwenzie waifuMie sijui kitu kuhusu mapenzi ya jinsia moja
Nilidhani kama wanaweza kuoana basi kutakuwa kuna mke na mume
Daaaah! Mbavu zangu🤣🤣🤣🤣yaan mimi nimlambe ule mwili wenye vinyweleo ka sokwe🙄