Utunzaji wa nywele za asili

Hinna ya unga napata wapi nipo mbeya
 
Kumbe ndo maana mnazidi kutufilic yaani mpaka mayai ya kula mnatia kwenye nywele, nywele pia hazitafutwi zinakuja zenyewe shida yote yann.
 
najiliza tu jaman

iv mara ya mwisho kula mayai ni lin
kuna benefits zipi izo nywele zikishakua ndefu

ela ya kulipa usajili nacte sina ndio ayo mayai
ngoja niwaangalie tyuuu
 
Hahahaha

Jaribu utupe mrejesho.

Binafsi nnautummia sana huu udongo, yaani kila wiki mara moja nnafanya mud bath kwa udongo wa Bi Zainab, nnajisiriba mwili mzima siachi sehemu.
Huachi sehemu!! usiniambie hadi kwenye naniliu unapaka!!

wanawake mna mambo.....
 
Kwenye yai hakuna sulphur - hap tayari sitaki kuendelea kusoma longolongo zako!
 
hii kuosha c inakuwa ni shida kutoka kichwani au?
 
Je nikitaka kapaka then nisuke inawezekana?
 
Pole sana kwa tatizo hilo, unaweza wasiliana nami nikakuonyesha baadhi ya mafuta kutoka kwenye kampuni ya Oriflame.. Ni mazuri sana na matokeo yake utayapenda. 0672416294 wasiliana nami na karibu
 
bwenyz,
mhhhh pole...mimi nakushauri acha kutia nywele dawa! dawa znaharibu sana nywele! nmepiga moyo konde mie nimeacha two yrs sasa nina natural hair! nafanya steaming ya mayonise, napakaa olive oil! hazikatiki sasaiv! najifurahiaaaa hata nikienda shuhulini nachana nywele zangu vizuri tu znapendeza kiasili kabisa....hebu jaribu hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…