Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kakajambazi isimamie ndoto yako wala usikatishwe tamaa na wajaHauna vigezo.
Hinna ya unga napata wapi nipo mbeyaHaya ninayoyaandika nimefanya mm na nkaona matokeo yake ndani ya mwezi tu....matumizi ya hinna ya unga na mayai..
Kila baada ya siku nne uwe na utaratibu wa kupakaa mchanganyiko wa hina na mayai, iwe na paste nzito kiasi, upake ktk miziz ya nywele, ukimaliza kupaka nywele zifunike kwa mfuko maalum ili zipate joto kwa muda wa masaa mawil,
baada ya hapo zioshe kwa maji na shampoo, lkn maji yawe ya baridi yasiwe ya motooo au vuguvugu, yani yawe maji ya kawaida.
Baada ya kuziosha zikaushe kwa taulo
NB.. Nywele hazichanwi zikiwa na maji zimerowa kwani zitasababisha kung'oka kwa nywele na kusababisha upunguf wa nywele.
Nywele zikishakauka. paka mafuta ya nazi, au your favourate muhimu upake ktk mizizi ya kichwa .
Na wakati unapaka mafuta kichwan kichwa kiinamishe chini ,kiangalie chini ndio upake mafuta kichwa chako husaidia msukumo wa damu kufikia ktk kichwa vizuri na kupata stimulation kwa kutumia ncha za vidole huku ukifanya massage kichwa taratibu kwa mda wa dakika tano.ukimaliza anza kuzichana taratibuu mpk zilainike na uzibane.
NB.. Jaribu kwa siku uchane nywele mara mbili asbuh na jion, na nywele muda wote ziwe zenye mafuta. jizoeshe kufanyia massage kichwa chako kila wakat unaopaka mafuta kichwan.
Uhai wa nywele ni mafuta kama ilivo uhai wa binadamu utakuepo iwapo kuna maji.
Huachi sehemu!! usiniambie hadi kwenye naniliu unapaka!!Hahahaha
Jaribu utupe mrejesho.
Binafsi nnautummia sana huu udongo, yaani kila wiki mara moja nnafanya mud bath kwa udongo wa Bi Zainab, nnajisiriba mwili mzima siachi sehemu.
Huachi sehemu!! usiniambie hadi kwenye naniliu unapaka!!
wanawake mna mambo.....
Kwenye yai hakuna sulphur - hap tayari sitaki kuendelea kusoma longolongo zako!Kiini cha yai kina sulphur ina stimulate(kusisimua)mizizi ya nywele na kuongeza ukuaji wa nywele.
Ute wa yai ndio protein yenyew ambayo inasaidia mizizi ya nywele kua imara ktk kuzuia ung'okaji wa nywele pia inamadini mengine ambayo inasaidia nnywele kutotoka toka.kwaio yai inaimarisha mizizi ya nywele na kuleta ukuaji mzuri wa nywle
nikajua labda huo udongo ukiingia kwenye papuchi utakua na madharaWewe ukikoga unaacha sehemu?
Tazama video nimeiweka post namba 55.
nikajua labda huo udongo ukiingia kwenye papuchi utakua na madhara
Nenda shule kasome mkuu.Kwenye yai hakuna sulphur - hap tayari sitaki kuendelea kusoma longolongo zako!
Astakfillulah mpaka wapi?Hahahaha
Jaribu utupe mrejesho.
Binafsi nnautummia sana huu udongo, yaani kila wiki mara moja nnafanya mud bath kwa udongo wa Bi Zainab, nnajisiriba mwili mzima siachi sehemu.
Astakfillulah mpaka wapi?
hii kuosha c inakuwa ni shida kutoka kichwani au?Haya ninayoyaandika nimefanya mm na nkaona matokeo yake ndani ya mwezi tu....matumizi ya hinna ya unga na mayai..
Kila baada ya siku nne uwe na utaratibu wa kupakaa mchanganyiko wa hina na mayai, iwe na paste nzito kiasi, upake ktk miziz ya nywele, ukimaliza kupaka nywele zifunike kwa mfuko maalum ili zipate joto kwa muda wa masaa mawil,
baada ya hapo zioshe kwa maji na shampoo, lkn maji yawe ya baridi yasiwe ya motooo au vuguvugu, yani yawe maji ya kawaida.
Baada ya kuziosha zikaushe kwa taulo
NB.. Nywele hazichanwi zikiwa na maji zimerowa kwani zitasababisha kung'oka kwa nywele na kusababisha upunguf wa nywele.
Nywele zikishakauka. paka mafuta ya nazi, au your favourate muhimu upake ktk mizizi ya kichwa .
Na wakati unapaka mafuta kichwan kichwa kiinamishe chini ,kiangalie chini ndio upake mafuta kichwa chako husaidia msukumo wa damu kufikia ktk kichwa vizuri na kupata stimulation kwa kutumia ncha za vidole huku ukifanya massage kichwa taratibu kwa mda wa dakika tano.ukimaliza anza kuzichana taratibuu mpk zilainike na uzibane.
NB.. Jaribu kwa siku uchane nywele mara mbili asbuh na jion, na nywele muda wote ziwe zenye mafuta. jizoeshe kufanyia massage kichwa chako kila wakat unaopaka mafuta kichwan.
Uhai wa nywele ni mafuta kama ilivo uhai wa binadamu utakuepo iwapo kuna maji.
Hamna shida yyt mkuuhii kuosha c inakuwa ni shida kutoka kichwani au?
Je nikitaka kapaka then nisuke inawezekana?Nywele zangu za asili,mwarabu,but hio mask inatumika kwa yyte yule na matokeo ni ayoayo,mm nlikua nina nywele mwisho chini ya maskio tu coz nlizikata,nlipoanza io mask na kumasage kichwa kila siku ,ndani ya mwaka tu asaiv zimefika chini ya makalio,so every months ilikua inaleta mabadilko makubwa.alaf ukianza kufanya io mask yani huwez kujiona kama zinakua ila waliokua pemben yako ndo wataona mana,inakuza na kujaza nywele kwa kasi,hina inasaidia kukaza mizizi ya nywele kukatikakatika(kung'oka)mayai yana protein yanasaidia ktk ukuzaji wa nywele .