Utunzaji wa nywele za asili

Utunzaji wa nywele za asili

Haya ninayoyaandika nimefanya mm na nkaona matokeo yake ndani ya mwezi tu....matumizi ya hinna ya unga na mayai..

Kila baada ya siku nne uwe na utaratibu wa kupakaa mchanganyiko wa hina na mayai, iwe na paste nzito kiasi, upake ktk miziz ya nywele, ukimaliza kupaka nywele zifunike kwa mfuko maalum ili zipate joto kwa muda wa masaa mawil,

baada ya hapo zioshe kwa maji na shampoo, lkn maji yawe ya baridi yasiwe ya motooo au vuguvugu, yani yawe maji ya kawaida.
Baada ya kuziosha zikaushe kwa taulo

NB.. Nywele hazichanwi zikiwa na maji zimerowa kwani zitasababisha kung'oka kwa nywele na kusababisha upunguf wa nywele.
Nywele zikishakauka. paka mafuta ya nazi, au your favourate muhimu upake ktk mizizi ya kichwa .

Na wakati unapaka mafuta kichwan kichwa kiinamishe chini ,kiangalie chini ndio upake mafuta kichwa chako husaidia msukumo wa damu kufikia ktk kichwa vizuri na kupata stimulation kwa kutumia ncha za vidole huku ukifanya massage kichwa taratibu kwa mda wa dakika tano.ukimaliza anza kuzichana taratibuu mpk zilainike na uzibane.

NB.. Jaribu kwa siku uchane nywele mara mbili asbuh na jion, na nywele muda wote ziwe zenye mafuta. jizoeshe kufanyia massage kichwa chako kila wakat unaopaka mafuta kichwan.
Uhai wa nywele ni mafuta kama ilivo uhai wa binadamu utakuepo iwapo kuna maji.
Hinna ya unga napata wapi nipo mbeya
 
Kumbe ndo maana mnazidi kutufilic yaani mpaka mayai ya kula mnatia kwenye nywele, nywele pia hazitafutwi zinakuja zenyewe shida yote yann.
 
najiliza tu jaman

iv mara ya mwisho kula mayai ni lin
kuna benefits zipi izo nywele zikishakua ndefu

ela ya kulipa usajili nacte sina ndio ayo mayai
ngoja niwaangalie tyuuu
 
Hahahaha

Jaribu utupe mrejesho.

Binafsi nnautummia sana huu udongo, yaani kila wiki mara moja nnafanya mud bath kwa udongo wa Bi Zainab, nnajisiriba mwili mzima siachi sehemu.
Huachi sehemu!! usiniambie hadi kwenye naniliu unapaka!!

wanawake mna mambo.....
 
Kiini cha yai kina sulphur ina stimulate(kusisimua)mizizi ya nywele na kuongeza ukuaji wa nywele.
Ute wa yai ndio protein yenyew ambayo inasaidia mizizi ya nywele kua imara ktk kuzuia ung'okaji wa nywele pia inamadini mengine ambayo inasaidia nnywele kutotoka toka.kwaio yai inaimarisha mizizi ya nywele na kuleta ukuaji mzuri wa nywle
Kwenye yai hakuna sulphur - hap tayari sitaki kuendelea kusoma longolongo zako!
 
Haya ninayoyaandika nimefanya mm na nkaona matokeo yake ndani ya mwezi tu....matumizi ya hinna ya unga na mayai..

Kila baada ya siku nne uwe na utaratibu wa kupakaa mchanganyiko wa hina na mayai, iwe na paste nzito kiasi, upake ktk miziz ya nywele, ukimaliza kupaka nywele zifunike kwa mfuko maalum ili zipate joto kwa muda wa masaa mawil,

baada ya hapo zioshe kwa maji na shampoo, lkn maji yawe ya baridi yasiwe ya motooo au vuguvugu, yani yawe maji ya kawaida.
Baada ya kuziosha zikaushe kwa taulo

NB.. Nywele hazichanwi zikiwa na maji zimerowa kwani zitasababisha kung'oka kwa nywele na kusababisha upunguf wa nywele.
Nywele zikishakauka. paka mafuta ya nazi, au your favourate muhimu upake ktk mizizi ya kichwa .

Na wakati unapaka mafuta kichwan kichwa kiinamishe chini ,kiangalie chini ndio upake mafuta kichwa chako husaidia msukumo wa damu kufikia ktk kichwa vizuri na kupata stimulation kwa kutumia ncha za vidole huku ukifanya massage kichwa taratibu kwa mda wa dakika tano.ukimaliza anza kuzichana taratibuu mpk zilainike na uzibane.

NB.. Jaribu kwa siku uchane nywele mara mbili asbuh na jion, na nywele muda wote ziwe zenye mafuta. jizoeshe kufanyia massage kichwa chako kila wakat unaopaka mafuta kichwan.
Uhai wa nywele ni mafuta kama ilivo uhai wa binadamu utakuepo iwapo kuna maji.
hii kuosha c inakuwa ni shida kutoka kichwani au?
 
Nywele zangu za asili,mwarabu,but hio mask inatumika kwa yyte yule na matokeo ni ayoayo,mm nlikua nina nywele mwisho chini ya maskio tu coz nlizikata,nlipoanza io mask na kumasage kichwa kila siku ,ndani ya mwaka tu asaiv zimefika chini ya makalio,so every months ilikua inaleta mabadilko makubwa.alaf ukianza kufanya io mask yani huwez kujiona kama zinakua ila waliokua pemben yako ndo wataona mana,inakuza na kujaza nywele kwa kasi,hina inasaidia kukaza mizizi ya nywele kukatikakatika(kung'oka)mayai yana protein yanasaidia ktk ukuzaji wa nywele .
Je nikitaka kapaka then nisuke inawezekana?
 
Pole sana kwa tatizo hilo, unaweza wasiliana nami nikakuonyesha baadhi ya mafuta kutoka kwenye kampuni ya Oriflame.. Ni mazuri sana na matokeo yake utayapenda. 0672416294 wasiliana nami na karibu
 
bwenyz,
mhhhh pole...mimi nakushauri acha kutia nywele dawa! dawa znaharibu sana nywele! nmepiga moyo konde mie nimeacha two yrs sasa nina natural hair! nafanya steaming ya mayonise, napakaa olive oil! hazikatiki sasaiv! najifurahiaaaa hata nikienda shuhulini nachana nywele zangu vizuri tu znapendeza kiasili kabisa....hebu jaribu hivyo
 
Back
Top Bottom