Utunzaji wa nywele za asili

Utunzaji wa nywele za asili

Pole kwa kua na tatizo la nywele nyepesi..
Kwa uelewa wangu nywele zako zimekosa moisture,Ni kavu mno inayopelekea nywele kukatika na kua nyepesi.
Usi-base Sana kwenye product tuu za kupaka kwenye nywele,jitahidi kunywa maji kwa wingi,mboga za majani na matunda.utaona tofauti kwenye afya ya nywele zako.
Pia nakushauri ufanye deep conditioning kutumia line hiyo hiyo ya mega profective kila uoshapo nywele then leave in conditioner ambayo hutoisuuza na mwisho mafuta unayopenda..
Mafuta asili yatayokusaidia kukuza nywele zilizokatika Ni Jamaican black castor oil.ukimassage kwenye ngozi ya kichwa Mara 3 au 4kwa week utaona mabadiliko...
Siri kubwa ya kua na nywele zenye afya Ni moisture, usiruhusu Ziwe kavu..pia Kama Una moyo wa kuacha relaxers(Dawa)itakua vyema zaidi.
 
eti kusuka huwa kunarefusha nywele? unaweza kurefusha nywele bila kusuka?
Mimi sio arabian queen il nna jibu la swali lako.
Kusuka hakurefushi nywele Bali inaretain length..ukisuka unaprotect nywele kutoka kwenye misukosuko ya kuzisumbua na mastyle ya Kila siku kuvutavuta nywele,kukauka na upepo etc.
Kila nywele inakua sema za wengi zinaonesha hazikui kwasababu haziretain length,zinakua huku juu zinaendelea kukatika..mtu haoni progress ya nywele kukua,.kusuka ndo kunaingia hapo..it's a protective style hence retaining length.. nywele hazisumbuliwi.ukifumua nywele imekua na za juu pia zilikua protected.i hope nimekujibu swali lako.
 
Za Eid wana JF..
Hivi karibuni nywele zangu naona zinanipa shida kiasi,
hazikui haraka,kuchana scalp inaumaa si kama zamani afu zimekuwa kavu, kwa urefu nywele si ndefu sana pia si fupi,naweza kubana,kusuka na kustyle vyovyote nipendavyo,pia sio chache kichwani zimejaa kawaida tu,ishu ni huo ukavu,zinakatika hadi nasikia uchungu,
naomba ushauri wa mafuta yapi mazuri ya kupaka,kwa jina na bei na yanapopatikana ili nitumie nywele ziwe laini zisikatike wala kuuma..
Ninatumia dawa nywele sio natural...ila si mbaya pia nikajua mafuta mnayotumia wenye 'natural' kulainisha nywele
Nawasilisha
Tafuta deep conditioner nzuri ufanye deep conditioning.hii inalainisha nywele pia leave in conditioner ambayo itakua kama moisturizer..Tafuta mafuta ya grape seed oil upake kwenye ngozi ya nywele.
Kuachana na relaxers nayo Ni vizuri Kama Unaweza kua natural.
 
Zipi izo? Natamani nimpate yule ambae atajitoa muhanga kuishi nami bila kujali vikwanzo kutoka kwa wazazi au ndugu.
Mwarabu, msomali na Mhindi ndo ndoto zangu.
Ndoto zote huwa zikifikia patamu unaamka ww endelea kuota utakapofikia tu unataka kumfunua marinda tayari unaamka
 
Hahahaha

Jaribu utupe mrejesho.

Binafsi nnautummia sana huu udongo, yaani kila wiki mara moja nnafanya mud bath kwa udongo wa Bi Zainab, nnajisiriba mwili mzima siachi sehemu.
Natamani nikuone unavyofanana ukijifukia dongo mwili mzima


Inawezakana kwenda shule sijui kwenda kusomea nn vile?
 
Back
Top Bottom